Home
Unlabelled
michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wanakijiji wenzangu nasikia tu JK.Hivi kati ya hao watatu Kikwete ni yupi?????
ReplyDeleteMajita
we need changes in education system, mines contracts resolutions, minimum wages, and alot of other staff
ReplyDeleteSoccer doesn't help a normal Tanzania, go back to work mr president.
ndugu hapo juu vipi? masihala hayo mkubwa.Awamu hii soka hasa taifa stars imesaidia kurudisha umoja wa kitaifa ,lile goli la erasto nyoni kule burkinabe lilisababisha huku nyumbani kila mtanzania ccm,cuf wote walikimbilia mitaani wakiwa na bendera ya taifa mikononi kushangilia.Falsafa hii ya rais wangu katika kuimarisha utaifa wetu imenikosha sana. Mdau morogoro
ReplyDeleteAnon 12:07 unapenda uchokozi watu waanze humu, eti JK ndio yupi hahaha. JK ni wakati huyo sema mie napenda kuuliza Issa Michuzi, Hao walinzi wa JK kweli wanafanya kazi yao hapo au wamenogewa na kandanda(mpira). wazaramo oyeee. tunakuja kidogokidogo na elimu. kweli umbeya tuko mbele ila ustarabu tunao wa roho nzuri.
ReplyDeleteHivi wewe anon wa kwanza ni swali gani hilo la kijinga umeliuliza?...utashindwaje kumfahamu rahisi wako bwana??...haya ngoja nikupunguzie kazi......Ni huyo hapo aliyekaa kulia mwa hao mashabiki wawili....utamtambua zaidi kwa suti nyeusi aliyovaa. Maswali mengine bwana...
ReplyDeleteJamani msimtukane mtu akiuliza kwa vile hamumfahamu na huwezi jua ila mimi ninamfahamu mtu ...mtanzania fika amezaliwa na kusoma mpaka darasa la saba bongo ...siku moja nilikua na party ya kazini nikamkaribisha.. kwenye party ....alimingle vizuri sasa alikua anaongea na watu wengine sasa sijui walikua wanaongelea mambo ya nchi yetu in general...mara nasikia aniita ananiuliza eti jina la raisi wa Tanzania ni nani? I am serious nilishikwa na hasira lakini nikajifanya poa tu nikawaeleza wakaniuliza mambo mengine nilivyomalizana nao mimi nikaendelea kuparty... lakini sikumwacha hivyo hivyo...manake nakumbuka hata nilivyomfahamu at first alijifanya hajui kiswahili ...kuongea naye kingereza ni accent nzito tu ...oh mimi nimekulia sijui nchi gani huko wanaongea kifaransa...siku moja my friend ni mbelgium nikamwambia huyu anaongea kifaransa pia oh unajua sijaongea siku nyingi..anashindwa kuongea kifaransa...wabongo acheni bwana kuna watu na watu...
ReplyDeletelakini story ni kuwa tulivyooondoka kwenye party sikumkawiza nilimpa vipande vyake nadhani hata sahau jina la president huyu kabisa...hata miaka kumi ikipita akiulizwa jina la raisi atasema kikwete...te te te te
Mimi kwa upande wangu hata kama umehamia nchi nyingine na umeshakua raia wa nchi nyingine ni vizuri kujua at least finger tip things about your motherland. Manake hata ukatae vipi au ujifanye vipi original wewe ni mtanzania. Kama huyo ni mtoto aliyezaliwa huku ...basi nampa hongera kwa kujaribu kujua raisi wa nchi ambayo baba au mama yake wamezaliwa. Na labda leo ndio ameanza kuangalia hii blog...kwa vile picha za raisi zimeshawekwa kila siku humu. Lakini kama ni mtu mzima mpaka leo hujui sura ya kikwete basi wewe kubwa jinga tu.
Kwa hiyo tukiwajibu watu humu tuwajibu kwa upendo kwa vile hatuwajui lakini kama unamfahamu mtu fika halafu anakuuliza swali hilo...mkalie kikao
Wewe humjui Kikwete? si huo wa kushoto mwenye upara aliyeshika miwani. Uwe unaangalia nyuzi kodogo kuwajua watu.
ReplyDeleteNipigie Baadae Tafadhali, Niko Na Mh Rais Hapa Tunaangalia Mpira!!
ReplyDeleteIzz Wa
JK NI ALIYE VAA SUTI NYEUSI NA HAO WENGINE NI WALINZI KATIKA MAMBO YA NDUMBA.
ReplyDeleteRAIS WETU NI HUYO HANDSOME KATIKATI ALIYEVAA TRACKING SUIT YENYE BENDERA YETU YA TAIFA.
ReplyDeleteMICHUZI NIMETUMA ZAIDI YA MARA TATU JUU YA MAANA YA JK LAKINI UNABANA AU KUNA MAHALA MWENZETU UNARIPOTI KWA SIRI ?
ReplyDeleteSASA CHUKUWA HIYO NA USIMINYE JK NI JULIUS KAMBARAGE ALIVYOJULIKANA NA HUYU MWENZETU NI JAKAYA MIRISHO SASA HAPA SIJUI MNATAKA BADO KUMFANANISHA KWELI JAMANI NA JULIUS KAMBARAGE HIVI HIVI WEEEEE! THUBUTU HUYO ALIWEZESHA KULIPANDIKIZA HILO JINA ANAMBEBESHA MZIGO ASIOUWEZA. TAFADHALINI MSITUKUMBUSHE JUU YA BABA YETU WAKATI HUU MKIYAGAWA MADINI YETU.
ReplyDeleteUSIIIBANIE HII MICHUZI NARUDIA TENA UMESHABANIA SANA UKWELI HUU