Dear members of the business community,
The President of the United Republic of Tanzania H.E. Jakaya Mrisho Kikwete will make a 2nd Business visit to the United States of America, from 14th to 23rd September 2007, this being a follow-up of the 1st visit made in September last year.
Members of the business community have been asked to accompany the President in this trip.
In order to have a well coordinated visit, the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) is organizing a breakfast meeting on Friday 17th August 2007 to discuss private sector participation in this trip.
Interested members of the business community are invited to participate in the breakfast meeting to chart out modalities and effective participation of everyone in this delegation.
The meeting will start at 7:30 am and end exactly at 9:00 am. The venue is Kilimanjaro Kempinski Hotel.
Kindly take note that information regarding the visit is available online at: www.tanzania.azaniaholdings.com/2007
Members of the business community have been asked to accompany the President in this trip.
In order to have a well coordinated visit, the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) is organizing a breakfast meeting on Friday 17th August 2007 to discuss private sector participation in this trip.
Interested members of the business community are invited to participate in the breakfast meeting to chart out modalities and effective participation of everyone in this delegation.
The meeting will start at 7:30 am and end exactly at 9:00 am. The venue is Kilimanjaro Kempinski Hotel.
Kindly take note that information regarding the visit is available online at: www.tanzania.azaniaholdings.com/2007
We look forward to your timely attendance.
Yours sincerely,
Dr. Evans RweikizaExecutive DirectorLimited



taraaaaaaaa. Tumbua tumbua, kamua kamua mwanangu wakati ndiyo huu. US mara mbili kwa mwaka kama Blair anaenda kumuona Bush kupanga mikakati ya kupigana na magaidi wa Iraq! Hii sasa Kiboko. Ndiyo maana walalahoi wanalalamika. Na huo msafara sijui una watu wangapi. Michuzi ukikosa trip hii ndiyo basi tena huna bahati.
ReplyDeleteKabla ya kutoa mualiko kama huu ni vizuri wangetoa tathmini ya mafanikio au hasara waliyoliletea taifa walipokuja mara ya kwanza huku Marekani.Tatizo letu watanzania ni kupenda visafari tu bila kujali maslahi ya nchi.Billions of money zinatumika bila tathmini.Biashara ngapi za kimarekani zimetua Tanzania au masoko kiasi gani ya bidhaa za Tanzania yamepatikana kutokana na safari ya JK na lundo la wafanyabiashara?Tuambieni
ReplyDeleteHii safari ya USA haina maana kama wananchi bado wanakufa njaa....kwanza baadhi ya wafanyabiashara walioambatana nae katika msafara uliopita wametajwa katika "matatizo ya wizi wa pesa BOT"..........Nawashauri wasipoteze pesa hizo za safari, kama hawazitaki basi wakazigawe kwa wanavijiji kadhaa wanaohitaji matrekta ya kulimia.
ReplyDeleteYaani WADANGANYIKA KAZI tunayo hii sasa ni mara ya ngapi huyu bingwa JK anakwenda USA ,na je nini kilipatikana kwenye safari ya kwanza.
ReplyDeleteMie naona tunasukumwa sukumwa tuu,hii nchi kwa kweli inatakiwa iongonzwe na mtu mwenye uchungu na nchi na watu wake,na sio akina CCM na watu wake,hebu wadau nielezeni maana mimi si mjuzi kwa saana ,ni kigezo gani wametumia hawa watu wa CCM kumsimamisha ubunge zitto napale alikuwa anataka wananchi waelezwe kwa ninii huyu waziri kafanya aliofanya huko nje wakati hata rais alisimamisha mambo yoote kuhusu madini?
Nawasilisha!!
We nanihii hapo juu acha uzembe wa Kiingereza, ukiambiwa "second" haina maana ya lazima iwe kwenye mwaka huo huo. Hii ni second annual trip, ina maana ni trip inayofanyika mara moja kwa mwaka, kwa hiyo ilifanyika mwaka jana na ya mwaka huu ndiyo inaliwa deal sasa. Halafu tumia akilia kidogo tu, we mwaka huu umesikia trip gani huku USA? Acha hizo wewe, achia jamaa watanue. Michuzi ulinitonya kuhusu hili trip wahi, njoo utanue achana na vizabizabina wenye roho korosho. Watanzania ndiyo maana hatuwapiti Wakenya na Waganda kwa biashara!
ReplyDeleteTATIZO LA HUYU RAIS ANAKURUPUKA TU!BONGO RAIS MMEPATA KAZI KWEEELI!!!
ReplyDeleteKweli , Michuzi tu brekie nyuzi basi about Zitto kabwe kusimamishwa bungeni ? thru hoja binafsi??
ReplyDeletekuhusu JK kuchanja mbuga kwenda popote ulimwenguni kwakweli its beyond us hata tupige kelele namna gani
Nakubaliana na anony w 11:14:00 hapo juu. Kwa kweli sio mbaya kwa muheshimiwa rais kwenda ulaya, marekani n.k. tatizo ni kwamaba safari zinapangwa watu wanaenda lakini haitolewi tathmini ya nini mafanikio ya safari hizo. mimi kwa mtazamo wangu ni haya machache:
ReplyDelete1. hao wafanyabiashara wanaozunguka na muheshimiwa raisi wanalipa wenyewe gharama za safari au wanalipiwa na serikali yetu ya wanyonge?
2. kwa vile hao wafanyabiashara wanaenda kukutana na wenzao wa nchi husika, ambapo wangeenda wenyewe wasingeweza kufanya vile...hii inawapa kitu kinaitwa "opportunity to trade" ambacho kwa kweli ingekuwa busara kama wao wangeweza kulipa/kuchangia gharama za muheshimiwa raisi na watu wachache wa kiserikali. sasa rais anawapa nafasi ya kupiga dili kwa gharama za wanyonge jamani?? mbona agents wanalipwa kamisheni, wamlipe muheshimiwa naye kamisheni kwa kumlipia gharama zake, hapo hata mimi mlalahoi sitalalama kuwa raisi anatumia kodi yangu kuwatengezea wafanyabiashara ulaji!!
3. mualiko umetolewa kwa "business community"... sasa jamani haiwezekani kupata hata washika dau wadogo wadogo wakaenda na rais japo nao wakaweza kuona kiendeleacho nje ikiwemo kuiga teknlojia endelevu, kutafta masoko ya bidhaa zao changa, au hata kuelezea majamaa huko nje kuwa kuna wengine kama wao "hawavumi lakini wamo" kule Tanzania?
hii inatakiwa kufikiriwa upya kwa kweli...haya ndio mambo ya sasa tunapoenda mpaka wamachinga tumeletewa wachina, sasa wale ndugu zangu mimi wenye mitaji ya 10,000 za madafu watafanya nini kama sio kuwa "vibaka/wapiga debe/majambazi" nk?
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!!!
That is the problem of African leaders, they don't get it at all. America always take a smart move on its investment. Chines people can be lobbied and throw junk in your country not American Mr President.
ReplyDeleteI hope this time Speech writter spend some time to edit his speech, maana last time ilikuwa aibu kwa sisi wa hapa US. Also, i hope he will be ready kama wata mpa TV interview maana last time kwenye MSNBC it was a shame.. Intelligent CEO's can't invest there money in the place where ROI is equal to 0. That what Mr president need to know, we have cheap labor sawa, but less educated than even chicano in Mexico city.
Hizi safari haziwezi kuzaa matunda, he just need to understand American way......
Swala la zito kabwe kusimamishwa ubunge nafikiri ni kuwatisha wapinzani kwani wanaloongea ni kwa maslahi ya nchi. Mimi nafikiri kuna umuhimu wa wananchi kuingilia kati suala linapoonekana la kitaifa, Mbona Malima hakusimamishwa alipoongea uongo kuhusu Mengi, hapa kinachofanyika ni kubomoa ni si kujenga. Lakini mimi nasema ipo siku watu watachoka na wataamua ku-react, hawaoni mifano ya akina, Charles Taylor, Kaunda na wengine wengi. Mungu ibariki Tanzania
ReplyDeleteEE MUNGU, tunaomba kwa moyo ulio mmoja hiyo ndege ya rais ikorofishe huko angani na ianguke wakati wa safari hiyo ya Marekani ili wooote hawa watu akina kikwete na wenzake wanaotumbua kodi zetu wafie mbali na wapotee ktk ramani ya ulimwengu kabisa pleeeeeeeeease
ReplyDeleteMambo yanayofanywa na serikali ya awamu ya nne, ama hakika vizazi vijavyo vitakuja kuchapa fimbo kwenye makaburi yao kwa kusababisha matatizo kwa uzembe, tamaa ya kujilimbikizia mali na utalawa falme!
ReplyDeleteMichuzi, mbona swala zima la Zitto Kabwe hujaliweka humu?au halina uzito au halina maslahi kwa taifa.
ReplyDeleteJAMANI ZITTO kaonewa akiwa anawakilisha watanzania wote, hivi demokrasia inamaanisha nini katika bunge la Tanzania. Je ina maana kunyamaza kimya ndio kuwa na nidhamu? imenisikitisha sana.
Jamani mwenzenu naomba hii nchi iuzwe, na kama imeshauzwa kila mtu agawiwe kilicho chake, ili mimi nitumie nitakachogawiwa kutafutia visa niende kubeba mabox!
Zitto kaa chonjo kaka, kwa mtaji huo tusije ambiwa "ZITTO KABWE IS NO MORE" ibaki historia na watu kusema kuwa utakumbukwa daima kwa harakati zako.
kama anakuja kufanya anual check up ...basi asije na hiyo kundi lote..kwa vile linamaliza hela za nchi...waliokuja mwaka jana ni kuuliza tu maduka mazuri yako wapi...ouch....
ReplyDeleteHivi huyu Mkwere, zile tripu zote alipokuwa waziri wa mambo ya nje hazikumtosha? Hivi waziri wetu wa mambo ya kigeni kazi yake ni ipi km jamaa analazimika kwenda Marekani mwenyewe kila mara? Na balozi wetu huko Marekani ina maana hawezi kuifanya hii kazi ambayo inampeleka huyu Mkwere kutalii? Du! Tumekwisha!
ReplyDelete