
mama motika, mama mzazi wa mista ebbo, akiimbisha nyimbo kwenye sherehe. si ajabu kumbe mwanae kuwa na kipaji cha uimbaji

mzee motika na mai waifu wake wakitambulishwa kuwa wazazi wa nyota wa muziki mmasai mista ebbo ambaye kwanza alitingisha kwa kibao chake cha 'mi mmasai' na kufuatia na 'kamongo' ambayo amekitengeneza kwenye studio zake za motika records iliyoko tanga
aisee baba ebbo kanikumbusha enzi za former Kenyan president Arap Moi.(Harambee Nyayo)
ReplyDeleteMr. Ebbo kachukua sura ya mama yake kabisa!
ReplyDeleteISSA VIPI Mr EBBO KAVUTA MZIGO
ReplyDelete