Home
Unlabelled
mwajuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nakwambiaje wabongo si mchezo kwenye maswala hayo(keep it up)
ReplyDeleteyes mwajuma...kazi nzuri mimi pia ni mtaalam wa keki naomba nikupe ushauri jitahidi kupata design nyingi tofauti naona hii picha ni ile ile ila wabadili colour tu..pia punguza kuweka artficials nyingi kwenye cake hasa ribbons..pata time uangalie zaidi websites na collections mbalimbali zitakusaidia kuboresha ..hongera unajitahidi.
ReplyDeleteBongo unaweza kukuta keki inapendeza kwa macho lakini ladha yake mbaya au iko kama ugali ndani!
ReplyDeletemwajuma nakuaminia kwa mambo yako ya keki,kweli mwanamke kujishughulisha ili kujikimu kimaisha,jitahidi sasa ufungue ofisi yako ili ujitangaze zaidi na zaidi kibiashara.hongera bro michuzi kwa kazi kubwa ya kuweka mambo hadharani inawasaidia wengi sana,hureeeeee!!!
ReplyDelete