balozi anayeondoka wa ofisi ya kamisheni ya ulaya bongo frans baan akijimwayamwaya kwa ngoma kutoka katika kikundi cha ngoma cha kabila la wagogo katika hafla ya kumuaga iliyofanyika dar mwishoni mwa juma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. wagogo kwa kuimba na kunengua hawajambo. Shauri zenu mwikalaje baho duuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...