Home
Unlabelled
konvoi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo ni kibondo, hali ya hewa inavutia sana ingawa wakati fulani kuna vumbi je kundu kama kibondo,
ReplyDeleteyaani hakuna mfano wake
ni ngumu sana kuzuia mipaka hao wote watarudi tu
ReplyDeleteWanarudi kusalimia tu, bila nauli, wana nauli ya kurudi hao
ReplyDeleteHaa haaa nimefanya sana hii kazi kabla sijaja ughaibuni. Hapo ni barabara inayokwenda Kigoma kutokea Kasulu siyo Kibondo. (Katikati ya kasulu na kogoma na ni karibia na kuingia Kigoma mjini)
ReplyDeleteMzee wa TBS
hivi watu hao wakichagua kuishi tanzania (kwa sababu za ki-amani na "stability") Ni kweli serikali inayo sababu ya kuwarudisha huko kwao walikokimbia? Kwanini wasiachiwe waishi tuu Tanzania kama wanavyoishi watanzania wengine?
ReplyDelete