wadau katika harakati za kutunza kumbukumbu za hadithi zetu za kale mie nina kibarua cha kuzikusanya kwa manufaa ya wajao baadae basi wenye nazo naombamnitumie kwa email hata kama huwezi kuandika kirefu basi andika sentensombili tatu kwa kifupi.mfano wa hadithi zenyewe ni kama hizi lakini kama unanyingine zaidi tafadhali nitumieni email issamichuzi@gmail.com aurrobo22@hotmail.com
1. Kwanini Twiga ana shingo ndefu?
2. Kwanini Ngiri anacheka?
3. Kwanini Sungura ana mkia mfupi?
4. Kwanini Tembo ana mkonga?
5. Kwanini Kiboko hana manyoya?
6. Kwanini Kinyonga hubadilika rangi?
7. Kwanini Nungunungu ana miba mwilini?
8. Kwanini Jogoo anawika asubuhi/ana kilemba?
9. Kwanini simba aunguruma?
10. Kwanini fisi ana cheka cheka hovyo?
11. Kwanini fisi hula mizoga?
12. Kwanini mbwa hukaa na binadamu?
13. Kwanini ngamia ana nundu?
14. Kwanini kifaru haoni mbali
15. Kwanini nyoka hana miguu
16. Kwanini bundi ana macho makubwa
17. Kwanini kangaroo ana mfuko wa mtoto
18. Kwanini mbuni hana manyoya shingoni
19. Kwanini nyuki hutengeneza asali
20. Kwanini nyigu ana kiuno chembamba
21. Kwanini chui ana mabaka
22. Kwanini ngiri ana meno
23. Kwanini nyoka huvua gamba lake
24. Kwanini kobe hutembea na nyumba yake
25. Kwanini ngamia ana nundu
26. Kwanini fisi hucheka hovyo
27. kwanini chura hukoroma
28. kwanini tembo ana mkonga mrefu
29. kwanininkiboko hana manyoya
30. kwanini simba huunguruma
31. kwanini tausi yu mremboWhy the Peacock has a Beautiful Tail
32 kwanini fisi hucheka hovyo
33. the Flamingo Stands on One Leg/Is Pink
34. kwanini nguruwe pori ni mbaya/meno yamechomoza
10 kwanini kifaru ana pembe
11. kwanini ngamia ana nundu
12. kwanini kinyonga hubadili rangi
13. kwanini kaa hutembea upande/Why the Crab walks sideways/has claws
16. Why the Eagle has such good Eyesight
17. kwanini bundi ana macho makubwa/Why the Owl has such big eyes,
18. kwanini nyigu ana kiuno chembamba
19. kwanini sungura ana mkia mfupi/Why the Hare has a Short Tail/LongEars
20. kwanini nungununguana miba/Why the Porcupine has Quills
21. kwanini buibui ana kiuno chembamba/Why the Spider has a Tiny Waist
22. kwanini kanga ana madoa/Why the Guinea Fowl has White Dots
23. kwanini chui ana madoa/why does a leopard have dots
24. kwanini kasuku "anachonga" sana/why the Parrot talks
25. Kwanini jogoo huwika asubuhi/Why the Cock Crows
NA NDIPO UTAKAPOJUA KISA CHA KASUKU KUPINDA MDOMO...KISA?.......
ReplyDeleteAU KUCHEKA NA KULIA ZOTE NI.......
AU NDIPO UTAKAPOJUA KITUNGUU NACHO PIA NI...........
MICHUZI KAMA UNAJUA MAJIBU YA MASWALI HAYO, NTAKUTUMIA MOJA KATI YA VISA VYAKO HAPO JUU.
BYE...CHINGA
Umesahau Kwanini Ngiri Ndo Mnyama Pekee Anayepoteza Kumbukumbu Kwa Haraka Sana!...Na Pia Kwanini Tembo Anapofika Kilele Utoa Lita Tano Za .....!!
ReplyDeleteIzz Wa
Yaani kaka Michuzi unataka sie tukukusanyie matirio, we uandike kitabu, upate hakimiliki (kopi rait) kimdebwedoo!
ReplyDeleteAaaa. Vibaya hivyo. Mweeh!
Kwa nini mbuzi analiwa?
ReplyDeleteKwa nini panya hanyi?
triiii ta mpaka maka
kuku wangu katagia mwimbani
We Michuzi!!!! kwanza usipoitoa komenti hii ntakujua mnafiki.
ReplyDeleteHivi tangu umepitia Nairobi kwa Gado ndo amekufundisha utapeli na deal hiyo?
Hiyo ni deal ya pesa, tena pesa nyingi, ambayo hizo hadithi za wanyama za Kwanini..... za Kiafrika zinahitajika na kampuni moja iitwayo Tiger Aspect, ya Ukerewe, ambapo Director wake Claudia Llyods ndiyo anashirikiana na akina Gado, na Home Boyz Production ya Nairobi kutaka kutengeneza Animation film kwa ajili ya series za TV kama kampuni hiyo inavyorusha animation sasa hivi Ukerewe na US zile za Lola and Charlie. Sasa kwa kutumia hadithi hizi za wanyama za Afrika, kampuni hiyo inataka kutengeneza Animation kwa kutumia Tinga-Tinga style ya Tanzania. na sasa kaka Disney wameshaonesha interest ya kushirikiana na kampuni hiyo, kuanzia mwakani. sasa hizo hadithi ni deal kaka Michu, we unataka tukuletee bure tu? we Ukauze? hahahahaha hahahaha we kweli kiboko.
Anyway ukitaka Deals zingine nyingi nitafute nikupe.
Mimi wadau natafuta msomaji wa hadithi za watoto, ila awe mtoto, kama yupo mkubwa wake anitafute kupitia hapahapa.
Michuzi, karibu kwenye fani.....
Mvuvi
Umesahau kisa cha Michuzi kuanzisha blog
ReplyDeleteHapa na ndipo mtakapojua kwa nini Michuzi alitaka kutapeliwa.
ReplyDelete