leo nimebahatika kupata dina ya mchana na mdau toka osaka...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. bro michu unaniuwa kwa vibwagio vyako vya vijineno,'dinner ya mchana" kweli msani wewe. sasa glasi mbona hamna jamani bado tunakunywa kwenye chupa. wambiye wanatia aibu wenye hoteli hiyo.

    ReplyDelete
  2. michuzi dina mchana? mbona mnatutisha!!!

    ReplyDelete
  3. Huyu bwana sio Job Msuya? Amepotelea Osaka kumbe? Nilisoma naye Shaaban Robert.

    ReplyDelete
  4. ni sahihi akisema dinner mi mbona nina mzungu nafanye naye kazi ikifika muda wa kwenda lunch ananiambia im going for my dinner at 1 oclo'ck so bwana michu hajakosea duh nimemiss coca cola zetu za bongo za wazungu hazina ladha. lol

    ReplyDelete
  5. cocacola ya kikwelii ni ile inayotengenezwa ATLANTA . kama kuna taste tofauti basi formula haijafuatwa.

    ReplyDelete
  6. .......ETI ZA WAZUNGU HAZINA LADHA!KENGE KWELI WEWE,HIZO ZA BONGO FORMULA YAKE NI YA NANI?

    ReplyDelete
  7. Unajua watu wanakuwa wanajua sana kutukana wakidhani wanajua ukweli kumbe hawajui. Huyo ndugu ambaye anaikumbuka sana Coca Cola ya bongo yuko mkweli kwa mtazamo wake. Watu wengi hawajui kwamba japo Coca cola wana formula moja, lakini vile vijisukari (sweetener)wanavyotumia huwa tofauti toka sehemu hadi sehemu. Mfano Mexico wanatumia sukari ya miwa (au Sucrose) kuweka kwenye Coca Cola na hizo Coca Cola zao ziko nafuu kidogo ukilinganisha na za USA ambazo hutumia sukari nyingi toka kwenye mahindi (au fructose). Japo kunakuwa na ubishani wa ladha, lakini watu wanaona kuwa ladha ziko tofauti na ukweli unabaki kuwa wanatumia sukari tofauti. Fuatilia kwanza kitu, usirukie tu wenzako wakati hujui. Usiongee kama huna uhakika.

    ReplyDelete
  8. Wacha wasema kula umekula! usijali Bwana Michuzi SIKU HAZIGANDI.
    HONGERA unajua kutumia "side plates"

    ReplyDelete
  9. huyo ndugu anayesema coca cola za wazungu hazina ladha sio kosa lake jamani. msaidieni kwa ushauri sio mnamsimanga. cha msingi ndungu ukienda nunua coca, hakikisha unanunua inayosema coca cola peke yake, usinunue iliyoandikwa diet coke. hiyo ina ladha tofauti.

    ReplyDelete
  10. Michuzi, mie huyo kaka nilimpenda sana lakini aliuvunja moyo wangu nikakimbia.Hebu nisaidie kuniulizia kama ameoa tayari au mie nirudi Sony Tokyo nikamtafute?
    Job jamani asante.

    ReplyDelete
  11. Cokes zinatofautiana ladha, si kwa ajili ya type ya sukari inayotumiwa tu, pia ni type ya maji, kwa waliotembea mtaniambia kuwa ladha ya maji ya Marekani na ya Europe zinatofautiana, leave alone maji ya nchi za Africa, maji ya huko Bukoba tu yanatofautiana ladha na ya huko Dar na Zanzibar.
    Aliyeponda hapo juu yaelekea hajatembea hata katika mikoa ya nchi yetu, iwe nje ya nchi?, lack of exposure. Na aliyesema Diet coke inaelekea pia hana exposure, it looks like type ya coke anayoijua ni ile normal na diet cokes tu, hajui kama kuna cokes zenye flavours za matunda..tembea uone

    ReplyDelete
  12. huyu kaka namkumbuka tuliishi wote Upanga mitaa ya Baharini, tena babake alikuwaga Waziri, ule mtaa ulikuwa na Waziri Nyang'anyi na Msuya, sikumbuki alikuwa anatiokea nyumba gani.
    Nimekumbuka mbali sana, mitaa ya kina Baraka shelukindo, Marehemu Ippi, kina Makotas, kina Mwalimu mwingine wa Muhi2 primari, duuuh, long timeee man, natumaini wote hawa ni wazima wa afya

    ReplyDelete
  13. Nakuona Job long time tokea Sea View, mpaka Old Moshi almost 20yrs ago si utani...

    ReplyDelete
  14. Kaka Michuzi, kumradhi...hivi huyo mtoto keshaoa???

    ReplyDelete
  15. huyu annon wa
    August 17, 2007 7:36:00 AM EAT

    excuse me mr formula people are entitled to their opinions so when i said the uk's coke is tasteless i knew what i was sayin coz i have tasted it b4 get ya facts right mr know it all!

    ReplyDelete
  16. Duh! Job, za miaka? Si utani tokea enzi za Old Moshi hatujaonana. Holla! Patrick

    ReplyDelete
  17. Nyie watu wa enzi za Sea-View hamjambo?
    Yaani mmenikumbusha mbaliiii,Bulgarian Club nk...!All the best.
    Dadammoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...