mai nanihii wenu naona hana shabaha maana nusura anikose hapa....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mwambie mai wifi aweanalengesha bwana sasa amekukata kabisa hapo

    ReplyDelete
  2. Inawezekana alikuwa kafumba macho wakati wa kupigwa. maana flash inawezekana ilikuwa kali sana michu.

    ReplyDelete
  3. Mai Waifu Wako Anaweza Akashtakiwa Kwa Kuidistoti Hiyo Picha!

    Izz Wa

    ReplyDelete
  4. aaahaaaaa, now i understand kwa nini hutaki kuweka picha ya mai waifu wako kwa karibu,inawezekana ana macho mazuri sana mpaka ameshindwa kulenga, hahahaaaaaa.

    ReplyDelete
  5. MICHUZI YUNAOMBA PICHA ZA HARUSI YENU

    ReplyDelete
  6. hahahahah alikwua amemind majengo heheheheheh

    ReplyDelete
  7. Michuzi acha uhuni wa kumlaumu mke wako. Angalia mkono wako wa kushoto upo juu. Inaonekana hiyo picha umejipiga mwenyewe ndio maana ipo karibu, nusu ukose sura yako.

    ReplyDelete
  8. Wacha mambo Michuzi hiyo picha umejipiga mwenyewe,huo utaalam nauweza mimi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...