naona inabidi mai shem wangu nimpeleke koleji akajifunze kupozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mnh, hiyo pozi ya kutolea hajandogo!

    ReplyDelete
  2. hahahhaaaaaaaaaaaaaaaa, shem wako amekaa mkao wa kupunguza maji mwilini.mwee!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Hata mie kwa haraka haraka nilizani anakojoa mkojo

    ReplyDelete
  4. Kwa kweli mfundishe kupozi maana hapa anaonekana kama vile anataka kujisaidia 'peepee' haja ndogo ndani ya hayo maji. Bahati polisi wa Kenya hawakumkamata.

    ReplyDelete
  5. rahisi,muulizi Mr. Blue chuo alichojifunzia pozi kale kademu kake

    ReplyDelete
  6. anon august 7, 2007 3:55:00 AM EAT, umeniacha sina mbavu.Thats a good one.lol

    ReplyDelete
  7. huyo jamaa, siyo anaitwa Mtita Collin kweli, au wamefanana tu.

    ReplyDelete
  8. Sema Mtita Collin, Kijana nakuaminia mambo yako huwa si mchezo

    ReplyDelete
  9. Bwana mi-STEW mbona my shemu wako ana "contaminate" hayo ma "water"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...