sikujua kama shemeji yangu ni mkali wa masnepu hadi aliponipiga hii leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hapo ni Kenya? kenyatta int'l conference centre on the background???

    Nilikwambia Man U itashinda!!
    Nilikuwepo Wembley jana.
    Jua na joto viliwaathiri sana wachezaji, hata watazamaji walipata shida sana!
    Sijui kama uwanja wetu wa Taifa una sehemu ya biashara ya vinywaji na vyakula (kwa ndani) wakati wa mapumziko au kabla ya mechi kuanza.

    Nimeona Wembley wanaingiza sana hela kwa biashara ya vinywaji (hata pombe) na vyakula kama chips, mayai, piza,burger n.k. kabla mechi kuanza na wakati wa mapumziko au wakati wa matamasha mbalimbali yanayofanyika Wembley.
    Ningependa kuona utawala wa uwanja wa Taifa wanaweka huduma kama hizi maana zitaingiza fedha nyingi sana mbali na viingilio vya mlangoni.

    ReplyDelete
  2. du umenikumbusha mbali sana maisha jamani kila kipindi kila raha yake na wakati ukipita umepita hiyo raha unayo kula leo kaka michuzi baada ya miaka miwili utaukumbukia utamu wake hata kama ukirudi kuvisit tena baada aitakuwa kama ya sasa hivi si kweli jamani

    ReplyDelete
  3. Mambo ya Uhuru Park hayo. Wenzetu wanafaidi bustani zao, zakwetu geti kali (makufuli mtindo mmoja).

    ReplyDelete
  4. Anon hapo juu, Man U ndi na Wembley ndi nini? Nifundishe. Elimu haina mwizhi!

    ReplyDelete
  5. Ohoooooooooo, keshaanza kukupiga mara hii.

    ReplyDelete
  6. Katika picha bab kubwa Bro. Michu hiyo hapo naikubali sana. John Mdau-znz.

    ReplyDelete
  7. si utani likizo ilikukubali, cheki kifriji hicho!

    ReplyDelete
  8. hayo matairi ya gari yanachafua mazingira ya bwawa hilo hapo Bustani ya Uhuru!

    ReplyDelete
  9. MICHUZI UNAJIFANYA KUJIPONGEZA KWA KURUDISHIWA BLOG YAKO BAADA YA KUMINYWA, WENZIO SASA (WANIGERIA) WAMEKUONYESHA UBABE WAMEKWENDA KUFUNGUA KIWANDA CHA SARUJI KWENUUUUUU HUKO KUSINI. UNAYAJUA HAYO.
    MALIZA HONEYMOON YAKO HUKO KENYA NA UGANDA UTAKAPORUDI TU UTASIKIA KITIMTIM CHA WABAYA WAKO (WANIGERIA) WALIVYOKUWA WAKALI...ALHAJI HUYO BWANAAA.
    TEHE TEHETEEEEEEE
    WANIGERIA PIA, UMIZA, GALAGAZA HATA UFANYE NINI, KIBOKO. WAMEPIGA HODI SASA WAMESHAINGIA NA SPIDI KALI...WE ULIE TU.

    ReplyDelete
  10. Wenzetu ingalau bustani zao zinavutia zetu michosho mitupu laiti ingelikuwa Tz ungelikuka mifuko ya rambo, mama ntilie wanauza pembeni, chupa za plastiki zimetupwa ndani ya maji. Ili mradi vulugu tupu !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...