Home
Unlabelled
snepu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo ni Kenya? kenyatta int'l conference centre on the background???
ReplyDeleteNilikwambia Man U itashinda!!
Nilikuwepo Wembley jana.
Jua na joto viliwaathiri sana wachezaji, hata watazamaji walipata shida sana!
Sijui kama uwanja wetu wa Taifa una sehemu ya biashara ya vinywaji na vyakula (kwa ndani) wakati wa mapumziko au kabla ya mechi kuanza.
Nimeona Wembley wanaingiza sana hela kwa biashara ya vinywaji (hata pombe) na vyakula kama chips, mayai, piza,burger n.k. kabla mechi kuanza na wakati wa mapumziko au wakati wa matamasha mbalimbali yanayofanyika Wembley.
Ningependa kuona utawala wa uwanja wa Taifa wanaweka huduma kama hizi maana zitaingiza fedha nyingi sana mbali na viingilio vya mlangoni.
du umenikumbusha mbali sana maisha jamani kila kipindi kila raha yake na wakati ukipita umepita hiyo raha unayo kula leo kaka michuzi baada ya miaka miwili utaukumbukia utamu wake hata kama ukirudi kuvisit tena baada aitakuwa kama ya sasa hivi si kweli jamani
ReplyDeleteMambo ya Uhuru Park hayo. Wenzetu wanafaidi bustani zao, zakwetu geti kali (makufuli mtindo mmoja).
ReplyDeleteAnon hapo juu, Man U ndi na Wembley ndi nini? Nifundishe. Elimu haina mwizhi!
ReplyDeleteOhoooooooooo, keshaanza kukupiga mara hii.
ReplyDeleteKatika picha bab kubwa Bro. Michu hiyo hapo naikubali sana. John Mdau-znz.
ReplyDeletesi utani likizo ilikukubali, cheki kifriji hicho!
ReplyDeletehayo matairi ya gari yanachafua mazingira ya bwawa hilo hapo Bustani ya Uhuru!
ReplyDeleteMICHUZI UNAJIFANYA KUJIPONGEZA KWA KURUDISHIWA BLOG YAKO BAADA YA KUMINYWA, WENZIO SASA (WANIGERIA) WAMEKUONYESHA UBABE WAMEKWENDA KUFUNGUA KIWANDA CHA SARUJI KWENUUUUUU HUKO KUSINI. UNAYAJUA HAYO.
ReplyDeleteMALIZA HONEYMOON YAKO HUKO KENYA NA UGANDA UTAKAPORUDI TU UTASIKIA KITIMTIM CHA WABAYA WAKO (WANIGERIA) WALIVYOKUWA WAKALI...ALHAJI HUYO BWANAAA.
TEHE TEHETEEEEEEE
WANIGERIA PIA, UMIZA, GALAGAZA HATA UFANYE NINI, KIBOKO. WAMEPIGA HODI SASA WAMESHAINGIA NA SPIDI KALI...WE ULIE TU.
Wenzetu ingalau bustani zao zinavutia zetu michosho mitupu laiti ingelikuwa Tz ungelikuka mifuko ya rambo, mama ntilie wanauza pembeni, chupa za plastiki zimetupwa ndani ya maji. Ili mradi vulugu tupu !
ReplyDelete