waziri mkuu mh. el na mai waifu wake regina wakimkabidhi zawadi mkuu mpya wa kanisa la kiinjili la kirutheli Tanzania (kkkt) askofu alex malasusa na mai waifu wake erican(shoto)katika kumpongeza askofu huyo kwa kuchaguliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera baba Malasusa, ninakutakia kila la kheri kwenye utumishi utusaidie kutuongoza sisi kondoo wa bwana. Mungu akubariki wewe na familia yako, na nitazidi kukuweka kwenye sala maana kazi hii sio rahisi. Mungu awe nawe.

    ReplyDelete
  2. Baba Askofu Malasusa, hongera sana na sisi vijana wa kanisa lako tunakutakia mafanikio mema katika kazi ya bwana.... Mungu akuongoze katika kipindi hiki kigumu ndani na nje ya kanisa letu.....

    ReplyDelete
  3. Karibu na Mungu akibariki. Naomaba sala iwe kubwa kuliombea Taifa letu na viongozi wake na raia wake ili tuondokane na rushwa, magonjwa, na umasikini.

    At least watu wachini wawenze kunyanyuka na kuishi angalau kama binadamu na kama mwenyenzi Mungu alivyokusudia.

    Hongera sana

    ReplyDelete
  4. hongera sanaa baba askofu .pamoja na mama askofu.Tutazidi kuwaombea na kuwaweka ktk maombi ili mungu awasaidie muweze kuchunga kondoo wa bwanaa.
    Mbarikiwee!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...