inatia raha kuona kwamba hivi sasa makampuni makubwa yanawatumiamastaa wetu kutangaza biashara zao kama hii ya kipanya...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. BADO WEWE MICHUZI UTACHUKULIWA KUTANGAZA CONDOM,SABABU KILA MTU NA FANI YAKE!!

    ReplyDelete
  2. Siku hizi watu wakienda Bar wanaagizia "Naomba Masoud Kipanya baridi"! Ndo anaomba serengeti baridi!

    ReplyDelete
  3. MMH! MICHUZI HII PICHA YA KIPANYA ILILETA MANENO KWA BLOG YA MROKI SHAURI YAKO

    ReplyDelete
  4. Wewe anon wa kwanza sina hakika kama una akili nzuri.....ujue wengine tuko ofisini na hizi comments tunazisoma kwa kuiba iba....sasa inapotokea ukapambana na comment kama hiyo uliyoitoa unategemea nini.....ni kilio cha machozi......JIREKEBISHE BWANA!!!

    ReplyDelete
  5. Kipanya....mtoto mzuri a asiye na makuu......hivi status ya shule yako iko vipi baba

    ReplyDelete
  6. huyo anon wa kwanza amenichekesha sana,naona michuzi wanakufanya babu yao vile!!!

    ReplyDelete
  7. Anon wa kwanza umenimaliza mbavu..Hivi mnakua mnawaza nini? wengine mantakiwa kuwa commedian...Nusu maji yanikabe...duh....haya kaka yangu ..mie ynngu macho.....

    Huyo aliyesema ilileta matata sijui kwenye nini shauri yake...Michuzi we love you just one thing is that you are kind of bias on commentation but other than that yu a mayi numberi wani dear to hell with what others think

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...