mla vichwa maarufu nchini abdallah bitebo anacheka kwa furaha wakati akipewa tenda ya kula kichwa cha koffi olomide kwenye saluni yake migo migo karibu na lango la jiji kabla ya shoo ya fiesta jumamosi ambapo mopao atatumbuiza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. bitebo unatisha, unakula kichwa hadi cha kofi kwani nimekukubali, pia watenzi wote wa football wa mikumi tulikua tunakujaga hapo saloon kuangalia mpira, ongeza jitihada unaweza kuja kula kichwa hadi cha kikwete

    ReplyDelete
  2. kuna mtu aliniambia wakwere wanaongoza kwa kuuza machanuo ya mbao pale chalinze lakini wenyewe ukiwaangalia hawachani nywele, sasa bitebo ni bingwa wa kula vichwa lakini yeye mwenyewe hakati zake...
    chunzzz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...