
mabosi wa clouds 88.4fm joseph kusaga (shoto) na ruge mutahaba wakiwa na mgeni wao koffi olomide wakati wa mkutano wake na waandishi leo kuzungumzia ziara yake ya nne bongo. olomide amesema amestushwa na kusikitisha sana na kifo cha madillu multi system ambaye kamtaja kama kaka mkubwa wa wanamuziki wote wa congo leo, na kila mmoja wao anamheshimu kwa umahiri wake. ameomba dakika mbili za maombolezo kabla ya shoo yake jumamosi pale lidaz klabu ili kumuenzi nguli huyo wa myuziki ya bakulutu


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...