Home
Unlabelled
wantedi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mICHUZI hUYO pAULO tHOMAS mMAKONDE hUYO. hUJAONA vIZURI kABILA lAKE nINI? mTU wA nYUMBANI hUYOOOO.
ReplyDeletemNYAKYUSA nAYE tOKA lINI aKAWA jAMBAZI. kULIMA mPUNGA nA kUSHIKA bASTOLA wAPI nA wAPI. wAKIKAMATWA wASIFUNGWE wALA nINI. wAPEWE wANANCHI wENYE hASIRA kALI. pOLISI sIKU hIZI mDEBWEDO.
MICHUZI PICHA YA HAWA MAJAMBAZI NA YULE MTOTO ANAYENING'INIA UTUMBO NJE IPI INA UMUHIMU ZAIDI?
ReplyDeleteHAWA MAJAMBAZI NI WATUMWA WA VIGOGO NA WALALAKHERI. TUNAOMBA TUWEKEE MAELEZO YA YULE KICHANGA ANATAKA MSAADA MKUBWA IKIWEZEKANA
CHUKUA NAMBA ZAO ZA SIMU TUMSAIDIE.
HAYO MAMBO YA KUPITIA GAZETI LA UDAKU HATUTAKI KUONA. TUNATAKA UMTOE HAPA (KWA HIARI YAKO SIYO LAZIMA) ILI TUONE KITU GANI CHA KUFANYA.
ULAYA WATU HAWASOMI UDAKU. SIKU HIZI WAZUNGU WANATAKA TUWATAFSIRIE MAMBO YAKO KILA TUNAPOFUNGUA HII BLOG OFISINI.
KUNA MAMBO MENGINE YANAWAGUSA NA WANATUPA LINKS KIBAO ILI WENYE SHIDA WAPATE MSAADA WA KWELI.
USIDHANI KILA ANAYEANGALIA HII NI MBEBA BOKSI. WENGINE TUNA KAZI ZA MAANA NA KUONGOZA HATA MAKAMPUNI YA WAZUNGU NA MSHAHARA MZURI TU.
KWA HIYO TUNAKUOMBA, TUNAKUOMBA TULETEE ILE PICHA YAKE, NA MAELEZO YAO KAMA UKIWEZA ILI TUANGALIE KITU GANI CHA KUMSAIDIA. PAUNDIS, DOLAS, KRONAS, EUROS CHOCHOTE KILE KITACHOPATIKANA. PLEASE MICHUZI.
Mimi napinga.Askari waliowekwa ndani wameonewa sana.Yani polisi Tanzania eti askari wawili au watatu wanawasindikiza majambazi kama hayo 35 bila hata pingu.wapi na wapi????????? Rais kikwete ajiuzulu sasa hivi.
ReplyDeleteMbona huyo mmakonde anafanana na Bambo?
Majita
Anony 14th aug 11.02..kutoa ni moyo na chochote ni msaada wa kutosha kwa hao unao waongelea....you do not need to prove to people what you do bruv! unaongoza kampuni za wazngu??.... watu bwana ahaaa choka..
ReplyDeletenilkua sijawahi kuona mug shot ya kibongo..thanks michuzi...
ReplyDeleteKumbe Mugshot za bongo ni za kichovu namna hiyo, ndio mara yangu ya kwanza kuziona.
ReplyDeleteaaaah! wanajifanya Scofield na Burrows wa Prison Break.
ReplyDeleteHuyo wa kushoto akipatikana atafute lawyer. Hao waliomsulubisha hivi ni nani...mhhh bongo...wanakupiga kweli ....raia wa bongo ...hao hao wanaact kama mapolisi wanakukimbiza weee, halafu wakikushika hapo hapo wanajeuka kuwa majuror wakishakuhumu hapo hapo wanajeuka wanakua judge wanakuhumu basi wewe sheria yao mkononi...mweee Sheria mikononi poa tu kama serikali haikusaidii
ReplyDeleteMichuzi hawa fans wako sijui umewatoa wapi. Hadithi na habari zako nzuri lakini wachangiaji wananiua mbavu...eti watu wamegeuka kuwa mapolisi na majudge hapo hapo...leo humu nimecheka sana...
ReplyDeleteHuyu jamaa ambaye mnasema anatafutwa mbona yuko huku kwetu kijenge ya juu(Arusha)?Kweli Gov. imedozi mno.
ReplyDeleteSasa kama yupo Arusha kwanin i hawakamatwi na mapolisi wengine wanabakia jela tu...
ReplyDelete