Home
Unlabelled
kandambili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wewe unahitaji vekesheni ya mwaka mzima tena ughaibuni. ukae, ule, ule uamke, ulale, uangalie tv vinginevyo UTACHONGA ile mbaya mara mbili au tatu ya hivyo halafu watu wataanza kusukutua maneno machafu. Tena ukifikiria umeenda kubeba mzigo wa watani wa jadi, hapo ndiyo watasema yote. Kaa kitako, pumzika na rudisha mwili, hawa wadau na hii blog watakumaliza. UMECHONGA SANA MSHIKAJI WANGU MICHUZI. PUMZIKA KIDOGO. una mwili mzuri tu siyo huo.
ReplyDeletesasa hilo hapo ndio jumba lako michu, naona una bonge la hekalu mzee, acha kutupiga fiksi kwamba unakaa kule ulipotuonyesha, !
ReplyDeleteAhaa kweli!!!.Hakuna kivazi chenye raha kama kandambili hasa unapokuwa na fungus.
ReplyDeleteMajita
Haaaa hahaaa!!! Ni kweli Michu. Mimi mwenyewe natamani sana kuwa na kavakesheni ka aina yake nivae ndala na kutokuwa na haraka ya kuamka asubuhi....hahahaa!!!
ReplyDeleteYou can write a masterpiece story on the next sunday news magazine. Wengi watakuunga mkono kuhusu raha ya ndala.
aah, Michuzi. Yaani hapa umenifikisha. Mie siongelei kandambili wala nini. Yaani hapo ulipopiga hiyo picha najua ni wapi, maana kwetu ni pembeni kwa kushoto kidogo. Thanks for taking me home.lol.
ReplyDeleteHI ISSA HABARI ZA SHUHULI PICHA INAJIELEZA LUGHA IMEELEWEKA..NAONA ENZI HIZO ULIKUWA UKIMSUBIRI..HALAFU KANDAMBILI KAMAULIVYOELEZEA.."..RAHISI KUZIVUA.."
ReplyDeleteMAALIM ISSA UNAJUA UNAPOCHOMOKA NYUMBANI GIA NZURI VAA MALAPA UTAJULIKANA KWAMBA UMEENDA DUKANI MARAMOJA KUNUNUA TOPAZ."..KUMBE KISEBUSEBU NA KIROHO PAPO.."
ReplyDeletekanda mbili na hizo kokoto barabarani angalie usije ukatoa ukucha.we fala unayesema michuzi apumzike we ndiyo wa kwanza kupitia hii blog kila siku,kwani umesikia michuzi hajui kama kachoka au hajachoka, nenda kanye uongee point pusi wewe.
ReplyDeleteKenge huyo huyo pale juu anayesema Michu akapumzike, amakweli huwezipendwa na watu wote,he must be a dammn shit, kanichefua kabisa!!! Mshamba mkubwa we! paka shhume, How fuckin one can be, you surface pit I hope you fuckin this msg will find u in a deep shit!
ReplyDeletejamani Michu akupeni nii Wabongo ili mu-appreciate! He keep on informing you for free still you hate him!
Sawa kaka kila mtu anazo ndala au unabisha? Kama unabisha kila mtu anazo.
ReplyDeleteMichuzi ukivaa kandambili unakuwa ka teja mpiga debe!
ReplyDeleteMwenge Mia mbili u nusu....
Bibi mdogo naya atakaa hap au hapo ndio kwake...unapenda hizo garden za aina hiyo kule kwingine mdongo sio wa mchanga hivyo...
ReplyDeletehayo malapa poa lakini hiyo rangi ...mhhhh...
Michuzi Yaani Hapo Unaonekana Ulikua Unasubiria Kichenchedo chako, Halafu Ukiwa Unawasiwasi kama Utafumaniwa!
ReplyDeleteIzz Wa
IDDI AMIN DADA ALIWAKOMESHA WAGANDA ENZI ZA UTAWALA WAKE UKIKUTWA NA KANDAMBILI NJE YA NYUMBA YAKO KAMA WEWE MICHUZI UNAZITAFUNA UMEZE HADI ZIISHE. NDO MAANA HADI SASA UGANDA HATA MASIKINI ANAVAA VIATU HUWEZI MKUTA MASIKINI NA KANDAMBILI MJINI. SASA NAONA HIYO SHERIA TUIWEKA HAPA - KANDAMBILI NI KWA SHUGHULI ZA MSALANI TU. USINIAIBISHE
ReplyDeleteISSA UNASIFA ZOTE ZA KUPAKUA UNAMALAPA, UMEKWENDA WINGA (MKONO UKO MFUKONI) UNAANGAZA HUKO NA HUKU, UMESIMAMA KARIBU NA UKUTA.
ReplyDeleteBro Michuzi naomba kujua bei za hivi vitambaa vya wamasai yaani vinapendeza mtu ukivijulia!
ReplyDelete