Home
Unlabelled
zege halilali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka kwa misosi hujambo.... tangu umeenda huko ukweni we na misosi.. mi sosi na wewe, umeacha historia ukweni...haha ..hahaa!
ReplyDeleteMichu, Hatimaye Tumemwona kwa karibu... Ahsante sana!
ReplyDeleteeti zege, zege gani tena tuangalie?.!. no wei, sisi tunaangalia huyo uliye beneti naye tu!! Miye nimesha nukuhu sura yake kwenye ubongo wangu, usiwe na wasi, nitamsalimia tu nikikutana!!
SteveD.
Michuzi nyama inaonekana nzuri sana lakini unatuchanganya sasa yupi ni yupi. MY WIFE WAKO?
ReplyDeleteAu ulienda nao wote?
Michuzi hicho kidole chako kimeshalemaa kwa mchezo fulani
ReplyDeleteUmebaaaaaaaaanaweee Mwisho Umeachiaa.Hahahaha Kaka Misupu Hapo NimeFurahii Sanana..Mpe 5 Shem Toka Kwa Wadau Wa Sweden
ReplyDeleteangalia Rift valley du na sisi Uk imeingia bwana
ReplyDeleteHao jamaa bado tunawapiga bao kwa nyama choma sasa hizo nyanya mbili ndo kachumbali yenyewe na ugali hilo ni dona la nguvu.
ReplyDeleteWaganda mapishi hawajui kabisa katika vitu vinavyoniumiza nikienda Uganda ni upishi wao wa hovyo wa vyakula.
ReplyDeleteHuyo mkeo kwenye eneo la mapishi najua lazima itakuwa zero!
Lakini kila shetani na guu lake kuna ulichompendea ukaona umwongezee kwenye kundi la wake zako!
Lakini kwa mwanamke wa Kiganda hapo umefika Michuzi. Ukileta za kuleta kwake utaona cha mtema kuni hawako kama wanawake wa kiswahili unaoweza kuwachezea na kuwapa talaka ukawaondoa mikono mitupu huyo ukimchoka ukitaka kumtoa kakamera kako ka Daily News lazima aondoke nako utake usitake.
Mwenzio yalinikuta nilirudi kwa mke wangu wa kwanza na ndala na chupi iliyochanika matakoni kwa kuishiwa alivyonifilisi mahakamani.
Huyo mkeo mganda kaolewa kweli au Fix.Isije kuwa anazengea kutafuta uraia dezo wa Tanzania kupitia Marriage certificate.
ReplyDeleteNimekumbuka hebu Nikuulize Michuzi na Mkeo wa kwanza ulikuwa unampa good time kama huyu bi mdogo? Tupe naye tuzione picha zake basi.
Hapo mswahili Michuzi kafika! Haambiliki.Hata usemeje.
ReplyDeleteNamhurumia mke wa kwanza aliyeolewa na mwislamu kwenye Uislamu.
ReplyDeleteWake wa kwanza wengi kwenye ndoa ya kiislamu wengi huwa hawafaidi sana waume zao wakifanikiwa zaidi ya kupewa talaka au waume zao au kwa kutowajali kabisa wakifanikiwa.
Wengi wakifanikiwa huwa wanakula hayo matunda na wake wadogo kama anavyofaidi huyo bibie.
Hivi sisi wake wa kwanza kwenye Uislamu tunakuwa tumelaaniwa au vipi?
Nimemweleza binti yangu asikubali kuolewa kama mke wa kwanza kwenye na Muislamu yeyote.
Nimemwambia subiri atafute babu lenye noti aolewe kama bi mdogo afaidi raha kama hizo za mke mdogo wa Michuzi.
Mimi nina uchungu kama nini moyoni.Tulichuma na Mume wangu kaniacha uzeeni kwa talaka za kiislamu zisizo na kichwa wala miguu.
Mfumo dume kwenye Uislamu mbaya sana na hauna haki hasa kwa wanawake umetukalia vibaya.
Kurani ni kama vile ina visasi na hasira na wanawake.
ndio hapo tukiwaambia haingii akilini kuwa na mke zaidi ya mmoja, waislam wanatukandia! bibie hapo juu mwambie mwnao tafute mchumba wa kikristo kwani huku kwetu ni mume mmoja mke mmoja, badala ya kuja kuolewa na sugar daddy!
ReplyDeleteMen waki-Tanzania wakioa wageni wanakua wapole kweli, kila wanacho ambiwa wafanye wanafanya hata kubeba watoto migongoni (jaani sio wivu ndoo ukweli). Lakini kwa watanzania wenzao wanatuonea sana. Mataifa mengine wakiolewa na watanzania wanawatumia ka wapendavyo mambo yakienda mrama hakuna cha msamaha wanachukua kila kitu ila sisi tuna wahurumia tu, tuna rudi kwetu mikono tupu saa nyingine na mitoto kulea peke yetu.
ReplyDeleteWewe uliye kimbia na ch... ya kutoboka si peke yako mbona hata dingi wetu alimwancha mama eti kapata chipukizi mganda mbona tulienda mgomboa mpakani?!
Issa, sikukatishi tamaa, nakutakia kila la kheri!
tuangalie nyama ?? kwani si nyama hatuijui alaaa!!! twamuangalia huyo bibie hapo inaelekea ana dimpos ndo maana uliuliza lile swali siku ile kuhusu dimpoooozzzzzz, mashaaaaaaala ni mremboooooooo mungu akupe nini tena michuzi.
ReplyDeleteWe anony wa ... August 6, 2007 12:31:00 PM EAT, unaelalamikia ndoa za Kiislamu naona kama hujajitendea haki. Kwanza pole sana kwa kumwagwa na kunyimwa mali mlizochuma pamoja na "mumeo". Pili katiba ya Tanzania inasema mtu anaweza kubadili dini kadri anavyotaka bila kubanwa na yeyote, kwa hio km umemaindi ndoa za dini nyingine we badili dini tu na uolewe, ila kumbuka huko nako kuna masahibu yake pia, ingawa talaka si nje nje na rahisi kutolewa km huko ulikomwagwa. Tatu, sioni busara yoyte kwako kwa kumshauri binti yako kuolewa na 'Sugar daddy', eti kisa, kuolewa mke wa kwanza hatafaidi, kwani km yeye bado ni kijana ana mahitaji tofauti sana na mzee, kwa hio watapishana tu siku moja ktk mahitaji yao. Mshauri atulie na apate mume mzuri wa kuolewa nae. Wanaume wametofautiana sana, km walivyo tofauti wanawake vile, kwa hio kuna akna baba walio tulia na wake zao bila shida, wa dini hio hio. Upo hapo?
ReplyDeleteAnon wa August 6, 2007 2:23:00 PM EAT,
ReplyDeleteShida ya mapenzi wa kina dada wengi wa kiswahili naangalia pochi kwanza. Acheni kuwepa pochi mbele muone mtakavyopewa mapenzi ya moyoni.
Yaaaani Michuzi ninakuzimia, kila siku kabla ya kufungua blog yako lazima nitumie fashion fair na perfume nikijua unanotice! Nimestuka kumuona maiwaifu wako! Lakini hongera ni kifaa!
ReplyDeleteEti bro! Nini maoni yako kuhusu shirikisho la East Afrika ya Mashariki? Ajua nimekosea swali!
ReplyDeleteEti bro Michuzi utajisikiaje Ist Afrika ya Mashariki Ikiwa inji moja?Kwenda ukweni bila pasipoti!
Kweli hili shirikisho kila mtu ana sababu zake za kuingia huko!
Ila uvumilivu wa kupokea maneno machafu au yenye kukerekete ulionao kaka, mi naukubali!
ReplyDeletewe michuzi umeona noma ku post ile comment yangu ya kupigwa misumari na mademu wa kiganda?poa tu,naona ime kutouch,usiogope lakini ukiharibikiwa nitakupeleka kwa babu mlingotini.
ReplyDeleteMICHUZI mtusaidie watanzania.
ReplyDeleteKuna chuo kimeingia hapa nchini kinaitwa Kampala International Univercity,Ofisi zao ziko pale Posta House,Ghorofa ya 8,Chumba namba 808.Posta house ni lile Jengo linalotazamana na wizara ya Mambo ya ndani ukienda wanajifanya wanatoa elimu kwa distance learning unalipa admission ya elfu 10 unapewa fomu baada ya hapo kimyaa!!! ndiyo elfu 10 imetoka hiyo!!!?
Wengi wameshachukuliwa hela hiyo na distance learning haipo! wanakusanya kupitia posta ,na ofisini kwao lakini hakuna kinachoendelea kwa upande wa Distance learning.
Mtuulizie je wamekuja kututapeli au ni nini?
Simu zao za ofisi Tanzania ni 0787153310 na 0784271486
Wamekusanya hela kibao kwa watanzania kwa kozi za kuanzia vyeti hadi degree za juu kwa kipindi kirefu lakini hamna cha distance learning wala nini.
Waandishi wa habari tusaidieni waganda wasitutapeli.
Watu tumetoa pesa lakini hakuna kinachoendelea.
Tusaidiane hadi kieleweke waulizwe hizo distance learning course zao wanazitumia kuibia watanzania au ni nini? Wanatangaza kuwa ada zao ndogo lakini hizo kozi hazipo.
muhidini issa michuzi hizi hakuna mademu bongo mpaka uvuke mpaka na kwena kwa waganda eeiii!! aibu mweee. jinsi mademu wakitanzania tulivyo ubika kwa uzuri na adamu njema leo hii umeona jiko liko uganda. mwaaaaaaa!!!
ReplyDeletebut its your choice au siyo tusubiri matokeo yake ya maisha na huyo kimwana mwana chako cha kuganda.
KAMA MJUAVYO WASWAHILI HASA HAWA WAMAKONDE WA LINDI NA MTWARA, MWANAMKE (MANDO) WAO HUITA NYAMA.
ReplyDeleteNYAMA CHOMA TAMUU KWELI. MAANA YAKE UCHI UMEMKOLEA ILE MBAYA. HILO NENO NYAMA NI KITENDAWILI. WAULIZENI WATAKWAMBIA.
MICHUZI kwa jinsi watu walivyokuwa na hamu ya kutaka kuona mikono kwa momsup wako, lazima kutakuwa na gunia la maoni ambayo nnamini mengi umetia kapuni.
ReplyDeleteSiku hizi kila kitu huru na watu nao wana uhuru wa kutoa hoja zao ziwe hoja ya nguvu au Nguvu ya Hoja. Usibanie bwana wache tu waoshe vinywa ndipo utakapojua lipi linasemwa mitaani kuhusu wewe kila kukicha.
Usitake kusifiwa kila kitu na mimi nina uhakika asilimia ELFU moja, kuna watu wamekandia sana hii tabia yako sijui niite chafu au ya aina gani.BE FARE and SQUARE!