rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mhe. amani abeid karume akiongea na waziri wa afya wa marekani mhe. michael leavitts leo Ikulu zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. 2010 karume anamuandaa Dr.shein,kikwete anamuandaa Abood,mzee mwinyi anamuandaa mwanawe Dr.Hussein,wahafidhina wanamuandaa the most feared political figure-Dr Bilal,wazee wa unguja wanamtaka Nahodha,na Shamuhuna nae anapatafuta kwa udi na uvumba
    CCM kaazi kwelikweli
    ZIONIST

    ReplyDelete
  2. ka nchi ketu japo masikini lakini US wanakafagilia kweli siku hizi. habari za kuapishwa huyu balozi mpya anayekua balozi wa bongo katika magazeti matatu ya maana nchini--niliona. Wakati mabalozi wanaokwenda nchi nyingine nobody real cares that much

    ReplyDelete
  3. Anon wa tarehe August 25, 2007 11:29:00 PM EAT, unajua kwa nini? Kwa sababu alikuwa na upinzani mkubwa. Find out ojionee mwenyewe! Sio kwa sababu ya Tanzania...ila sababu wa-Bunge wa Amerika hawakumpenda awe balozi!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...