mabaki ya ilokuwa ambassador plaza nyumbani kwa wana njenje kama panavyoonekana leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. sir michuzi nawe ukitoa habari shurti utoe roborobo hebu tufahamishe tufahamu "what happened?" wengine tunakaa nje ya nchi imekuaje mpaka hali imefikia hivyo.

    ReplyDelete
  2. We Annony hapo palipigwa "BOMU..." Unaonekana mgeni wa Blog haya andika NJENJE kisha tafuta... kwenye sehemu ya iliyoandikwa Bonyeza hapa na kutafuta... Bonyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Jamani,wazee wa Njenje wamahamia wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...