
kama kawa globu yenu ya jamii imedaka ukurasa wa mbele wa gazeti jipya la the bongo sun linalotoka kuanzia kesho jumanne kwa hisani ya global publishers wachapaji wa magazeti ya uwazi, amani, champion na risasi nchini ya uongozi wa anko eric shigongo. kama inavyoonekana litakuwa kwa ung'eng'e na kimatumbi kwa jaaaamuuu...
Muacheni Amina atulie mahali pema peponi.
ReplyDeleteWatu wa magazeti mpaka sasa mnamfuata na wakati mtu hayupo?
Inanikera
Mmmmh..hiyo sms sounds like she killed herself mbona?Ebu Misoup leta ukurasa wa pili,she was the best woman i knew since Makongo,lakini someone will pay for this,as God knows wat went on..R.I.P
ReplyDeletejamani dada wa watu alisha fariki bado tu mnamsakama kwenye ma gazeti mwacheni apumzike huko aliko.
ReplyDeletesasa hii the sun bongo kama english is not rechebo inakuwaje?
Hao watu wa magazeti wazushi na wanataka tu kuuza magazeti. Huyo Marehemu Amina Chifupa alikuwa hajui kuandika English ya kiwango hiki. Hii kitu imeandikwa na mtu tu kwenye hayo magazeti. Nyambaaaf.
ReplyDeleteYaani hata katika kifo marehemu Amina bado ni story. Mwacheni apumzike mahali pema peponi. AMIN.
ReplyDeleteHii TX msg kama iko script vile...na kama ni ex-husband alitumiwa ni nani katoa? Hii sounds like udaku tu.
ReplyDeletehuu ushenzi gani tena??? Kwanza angalia hiyo headline Stars vs Msumbiji!! Msumbiji ndiyo mnyama gani?? Hili ni jina la Kiswahili hutumika kama unaadika Kiswahili. UDAKU BWANA. We ngoja nikamate madaraka nitayafungia haya mauchafu yote.
ReplyDeleteshe was very beautifull lady,hata kama alikua na mapungufu alikua na haki ya kuishi,roho inaniuma sana huyu dada kupotea kiutata
ReplyDeletewangapi wana madhambi dunia hii na si gumzo kama huyu dada
its painfull
Watu wengine bwana eti mwacheni akapumzike, kwanza nani kawaambia huko watu wameemda kupumzika? Na kila siku mbona mnaongelea habari za Nyerere? Au ye ameenda tofauti na alikoenda Amina? Acheni tumzungumzie shujaa wetu. Tusipozungumzia habari za watu wetu waliotufanyia mambo mazuri tumzungumzie nani? Hakuna kosa kuzungumzia habari zake, ni kipenzi chetu.
ReplyDeleteSASA HAWA WATAKUWA WEZI WA COPYRIGHT, HILO GAZETI WAMEIBA KILA KUTOKA KWA THE SUN LA HAPA UK.
ReplyDeleteAnon hapo juu kuna tofauti jinsi Ba Nyerere anavyozungumziwa na Amina.Hakuna haja ya kurudia hapa wote tunajua jinsi gani alizungumziwa wakati wa uhai wake na hata alipo kufa. Hilo gazeti nikutaka kuendela kumzungumza.HATUTAKI! ilikuwaje, sijui nini haitasaidia lolote. Kuna Watu tuliumia sana na hiki kifo na bado kidonda kibichi. YES WANA HAKI KUSEMA MWACHENI FOR GOD'SAKE WHAT DO U GAIN?
ReplyDeletemichuzi. Kwanini umebania comment zangu za Eric na baba Amina
ReplyDeleteHivi jamani kwani mkimuacha dada wa watu apumzike, mtapungukiwa nini? Kuna lipumbavu limoja limekuwa likitutumia sisi wadau tulioko nje ya nchi email chafu kuhusu Amina. Sijui linafaidika nini zaidi ya kupoteza muda wake tu. Sisi sio wajinga, we knew Amina very well so u people back home, u better stop writing these shit about her. We love her and we will never stop loving her. Shes a human just like all of us, and we both know no one is perfect in this world. Na kuna marehemu wengine hawapendi kusumbuliwa so u people better watch ur mouth.
ReplyDelete