kama kawa globu yenu ya jamii imedaka ukurasa wa mbele wa gazeti jipya la the bongo sun linalotoka kuanzia kesho jumanne kwa hisani ya global publishers wachapaji wa magazeti ya uwazi, amani, champion na risasi nchini ya uongozi wa anko eric shigongo. kama inavyoonekana litakuwa kwa ung'eng'e na kimatumbi kwa jaaaamuuu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Muacheni Amina atulie mahali pema peponi.
    Watu wa magazeti mpaka sasa mnamfuata na wakati mtu hayupo?

    Inanikera

    ReplyDelete
  2. Mmmmh..hiyo sms sounds like she killed herself mbona?Ebu Misoup leta ukurasa wa pili,she was the best woman i knew since Makongo,lakini someone will pay for this,as God knows wat went on..R.I.P

    ReplyDelete
  3. jamani dada wa watu alisha fariki bado tu mnamsakama kwenye ma gazeti mwacheni apumzike huko aliko.
    sasa hii the sun bongo kama english is not rechebo inakuwaje?

    ReplyDelete
  4. Hao watu wa magazeti wazushi na wanataka tu kuuza magazeti. Huyo Marehemu Amina Chifupa alikuwa hajui kuandika English ya kiwango hiki. Hii kitu imeandikwa na mtu tu kwenye hayo magazeti. Nyambaaaf.

    ReplyDelete
  5. Yaani hata katika kifo marehemu Amina bado ni story. Mwacheni apumzike mahali pema peponi. AMIN.

    ReplyDelete
  6. Hii TX msg kama iko script vile...na kama ni ex-husband alitumiwa ni nani katoa? Hii sounds like udaku tu.

    ReplyDelete
  7. huu ushenzi gani tena??? Kwanza angalia hiyo headline Stars vs Msumbiji!! Msumbiji ndiyo mnyama gani?? Hili ni jina la Kiswahili hutumika kama unaadika Kiswahili. UDAKU BWANA. We ngoja nikamate madaraka nitayafungia haya mauchafu yote.

    ReplyDelete
  8. she was very beautifull lady,hata kama alikua na mapungufu alikua na haki ya kuishi,roho inaniuma sana huyu dada kupotea kiutata
    wangapi wana madhambi dunia hii na si gumzo kama huyu dada
    its painfull

    ReplyDelete
  9. Watu wengine bwana eti mwacheni akapumzike, kwanza nani kawaambia huko watu wameemda kupumzika? Na kila siku mbona mnaongelea habari za Nyerere? Au ye ameenda tofauti na alikoenda Amina? Acheni tumzungumzie shujaa wetu. Tusipozungumzia habari za watu wetu waliotufanyia mambo mazuri tumzungumzie nani? Hakuna kosa kuzungumzia habari zake, ni kipenzi chetu.

    ReplyDelete
  10. SASA HAWA WATAKUWA WEZI WA COPYRIGHT, HILO GAZETI WAMEIBA KILA KUTOKA KWA THE SUN LA HAPA UK.

    ReplyDelete
  11. Anon hapo juu kuna tofauti jinsi Ba Nyerere anavyozungumziwa na Amina.Hakuna haja ya kurudia hapa wote tunajua jinsi gani alizungumziwa wakati wa uhai wake na hata alipo kufa. Hilo gazeti nikutaka kuendela kumzungumza.HATUTAKI! ilikuwaje, sijui nini haitasaidia lolote. Kuna Watu tuliumia sana na hiki kifo na bado kidonda kibichi. YES WANA HAKI KUSEMA MWACHENI FOR GOD'SAKE WHAT DO U GAIN?

    ReplyDelete
  12. michuzi. Kwanini umebania comment zangu za Eric na baba Amina

    ReplyDelete
  13. Hivi jamani kwani mkimuacha dada wa watu apumzike, mtapungukiwa nini? Kuna lipumbavu limoja limekuwa likitutumia sisi wadau tulioko nje ya nchi email chafu kuhusu Amina. Sijui linafaidika nini zaidi ya kupoteza muda wake tu. Sisi sio wajinga, we knew Amina very well so u people back home, u better stop writing these shit about her. We love her and we will never stop loving her. Shes a human just like all of us, and we both know no one is perfect in this world. Na kuna marehemu wengine hawapendi kusumbuliwa so u people better watch ur mouth.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...