Mozambique defender Matola dies
BBC Sport, Maputo

Matola is Mozambique's most capped player Mozambique football authorities have confirmed that international defender Fernando Matola has been killed in a motor accident.
The 25-year-old, who plays for South African side Black Leopards, was reported missing along with his wife and two children on Sunday.
The defender was driving from Johannesburg to Maputo for Saturday's Nations Cup qualifier against Tanzania when his car veered off road and went up in flames.
Mozambique's most capped player and his family were burnt beyond recognition and the bodies were only discovered on Thursday in South Africa's mountainous Limpopo province.
"We received the bad news with great shock and the government is doing all it can to help the bereaved families," Mozambique Football Federation said in a statement on Thursday.
"Caf regulations do not permit us to call for the postponement of the game so have to face Tanzania without our inspirational player."
Matola's death happened the same day South African lost one of its players Mpho "Gift" Leremi, who also died in a car accident in Johannesburg.
Mozambique will travel to Dar-es-Salam to play Tanzania in the final Group Seven Nations Cup qualifier.
The Southern Africans will clinch the group's automatic ticket if they beat their hosts and Burkina Faso defeat group leaders Senegal in Dakar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. R.I.P ....loosing best playerz hope he wasnt under alcohol influence....R.I.P

    ReplyDelete
  2. Da! Very SAD!
    Duh! Pole zao sana tu. Mungu aiweke Roho yake mahala pema. Kazi ya MUNGU.

    ReplyDelete
  3. POle zetu za dhati kwa wana-msumbiji.

    ReplyDelete
  4. Msumbiji hao kwa uchawi ndio wenyewe wameshamtoa kafara mwenzao kwa uchawi ili wawafunge watanzania.

    Watanzania mtafungwa tu wenzenu wameshawawahi tayari.

    Taifa Stars itafungwa tu.

    Hamna mjanja aweza tegua uchawi waliofanya wachawi wa Msumbiji kwa uchawi.Taifa Stars itafungwa magoli mawili bila.

    Labda mpeleke walokole wakemee kwa jina la Yesu wakizunguka huo uwanja wa Taifa ndipo mtawafunga mabao mawili bila.Wachezaji wa Tanzania wakiingia uwanjani waseme Yesu,Yesu,Yesu mara tatu ili kufukuza majini waliyokuja nayo wachezaji wa Msumbiji.

    Bila hivyo mjiandae kufungwa mabao mawili bila mbele ya Raisi Kikwete.

    ReplyDelete
  5. ooh jamani, What a loss! kijana mdogo ndo kwanza anaanza kuchipukia, anyway, kazi ya mwenyezi mungu, haina makosa,,all i can say is.......
    "Rest in Peace".Amen.

    ReplyDelete
  6. Habari ya kusikitisha, ila inaweza husishwa na imani zingine. Naomba tumwachie mungu. RIP Matola

    ReplyDelete
  7. Ni habari ya kusikitisha sana. Wapenzi wa soka hupenda kuona watu wenye vipaji viwanjani wakionyesha uwezo wao, na tulijiandaa sana kuuona ujuzi wa Matola katika soka tarehe 8 Sept lakini haijawezekana. Michezo ni furaha, ni wazi kuwa panapojitokeza suala kama hili, hali ya furaha inapungua. Poleni sana Msumbiji, Poleni sana wapenzi wa soka duniani kote. RIP. Amen

    From: Serengeti of Flowers

    ReplyDelete
  8. NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AWAPE NGUVU KATIKA WAKATI HUU MGUMU NDUGU ZETU WA MSUMBUJI.
    ROHO YA MAREHEMU F.MATOLA IPUMZIKE KWA AMANI. AMEN

    ReplyDelete
  9. Hivi watu wengine wana maadili gani? Hivi we anon wa 6:20:00 PM kuna la kufurahisha kusikia kijana, tena mwenye kipaji anapotesa maisha na familia yake! Poleni wana msumbiji. Mungu ailaze roho ya Matola na familia yake mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  10. Mungu amlaze mahali pema peponi. Ila tusibweteke na Taarifa hii, yawezekana ni janja ya nyani, Kutuzuga na kutupunguza kasi kuwa tutawalamba tu kumbe hawana matola, Hawakawii, kukanusha habari na kusema mtoa habari ni muongo na tumempa adhabu ili asirudie tena hapo tayari wameshatukanyaga.

    Ushauri kwa Stars ni kwamba hii habari kwa sasa waichukulie kama uzushi, na kufanya mazoezi kwa nguvu Kama kwamba kuna Matola watano kweye timu ya wamachinga. Tutahakikisha uwanjani [ale tutakapoona kuwa kweli matola hayupo na Refa anapuliza filimbi ya kusimama kwa DK 1.

    ReplyDelete
  11. That's too sad, we wanted to beat them with their best players. Maskini his death is going to make their resolve even harder in memory of him. We better pull up our underpants.

    Does any one of you remember The Tyson Vs Douglas Buster fight that took place in Japan? That was the first fight for Tyson to loose since he became a pro boxer. Buster had lost his Mother on the same day he was fighting Mike Tyson and he knew his mother had passed but he decided to fight and fight hard for his Mom would have loved to see him win and he worn the fight. So it was kind like he was fighting right with his mom

    ReplyDelete
  12. kaka nashauri brekin nyuuuz ya msiba iwe tofauti,kwani hiyo imekaa kama vile unafurahia kifo cha huyo difenda(Najua hufurahii kozi nimezoea kusiona ivo)
    R.I.P

    ReplyDelete
  13. INABIDI STARZ WAWE WAANGALIFU SANA MAANA HAO NDUGU ZETU KWA MSIBA WALIOPATA,WANAWEZA KUAMUA KUCHEZA KUFA NA KUPONA ILI KUPATA USHINDI IKIWA NI SEHEMU YA KUMUAGA KIPENZI CHAO.

    NARUDIA TENA MATOLA(R.I.P)

    ReplyDelete
  14. aju mmakonde andipela,nneke jo,chachooh!andipela nnume aju.Tanjania(ns) ni mwawi wandimroga nnume aju washinde mechi aju.Tangola tanjania. mojambique tutashinda.(Hivi ndivyo wanavyosema wamakonde)
    Na inasemekana wamakonde wote walio dar wamejiandaa kwenda uwanjani kuishangilia timu ya kwao,kinachonishangaza sijui ni timu gani watakayoishangilia zaidi maana wote wamezaliwa na kukulia bongo.Wachonga vinyago wa mwenge wamekodisha basi kujichanganya hiace kama 3 hivi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...