dead prez wakikamua juzi british council, dar

wadau wakiwashangilia dead prez

mmoja wa waratibu wa ziara ya dead prez, rhymson, akiwatambulisha wasanii hao juzi kwenye shoo ya wazi ilofanyika british council. jumamosi marapa hawa wa andagraundi watakamua klabu ya jj blue. habari zao zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Zavara! Nimekuona kaka, hongera sana! Lini utarudi nyumbani Iringa? Utukumbuke kwa kutuletea wasanii japo waje kuangalia wanyama huku Ruaha National Park. Hivyo basi, wanaweza kusaidia katika mzunguko wa shilingi hapa Iringa. Naam! Mtu kwao.

    ReplyDelete
  2. I like what you are doin,thanks for the deadprez pics,peep my blog for their Kenyan tour!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...