mavzi ya kiafrika ya heshima kwa jinsia zote na umri yanakungoja http://www.belle-dame.co.tz/ kwa da'ashura (pichani juu) ama dukani pake karibu na bilikanaz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Safi sana dada. Huu ndo ujasiliamali. Keep it up and all the best.

    ReplyDelete
  2. Hizo za kiume zinafana na za wanigeria!

    ReplyDelete
  3. TULICHUKUA RnB TUKAITA BONGO FLAVA NA HIZI ZA NIGERIA TUTAZIITA FLAVA GANI. KWANI ZA WAHEHE, WASUKUMA,WASAFWA ISIPOKUWA WAKINGA NA WAPARE(hawa wafupisana) FASHENI ZAO HAZISHONEKI?

    ReplyDelete
  4. Hii ni photocopy ya mavazi ya Nigeria kama mwenzangu alivyosema hapo juu.

    Afadhali vazi la wamasai, kwani wakenya wakisema wamasai ni wetu na sisi tutasema pia wamasai ni wetu.

    Shame, kwamba Tanzania bado haina vazi la taifa

    ReplyDelete
  5. Vazi la kitaifa Tanzania hakuna na hata likitungwa watu hawatalivaa labda litungwe na mgeni.
    Watanzania tunapenda sana mambo ya wageni.

    ReplyDelete
  6. michuzi,tell them to go bonde msufini huko ziko nguo za kizalendo. nawatakieni kila laheri.

    ReplyDelete
  7. Masikini Watanzania Kwa Kuiga Vya Nje!!! Hadi Miss Meiga wa nje

    ReplyDelete
  8. Huyo Miss tu ni mgeni sembuse vazi la Taifa.
    Tutatawaliwaaaa...!Tujipende jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...