pamoja na madongo yote aliyopigwa kuhusu yeye kushinda wakati ni mbongo mwenye asili ya kiasia kupitia kwenye globu hii ya jamii, miss tz 2007 richa adhia leo kanitembelea na kunishukuru kwa kuachia wadau watoe dukuduku lao.
nilipomuliza anajisikiaje kwa madongo hayo alicheka sana kisha kwa kiswahili fasaha akaniambia kwamba mwanzoni alisumbuka lakini sasa anafurahi na kuchekeshwa sana na baadhi ya maoni hasa yale yanayohusu ubishi kati ya wadau juu ya ubaguzi wa rangi, jinsia, itikadi za dini na kisasa pamoja na mitazamo katika nchi inayosifika kwa kutokuwa nao.
alimalizia kwa kuwashukuru wooote waliochangia kwa kile alichotaja kuwa ni kuonesha ni jinsi gani wadau wanajali nchi yao na kwamba kila mmoja wao hajakosea kwani katumia uhuru wake wa kusema atakacho mradi si cha kuvunja sheria ama cha uchochezi.
akasema kuwa globu yetu hii ni dole tupu na aluta kontinyua na yeye hatetereki na ataiwakilisha nchi kifua mbele na kidevu juu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 61 mpaka sasa

  1. ANANIKERA NIKIZIDI KUMWONA,WEWE ACHA TU.Mie bwana Michu si mbaguzi kabisa ila siwezi kukubali nchi yangu iwakilishwe na miss Patel Kemcho Jopernputra.

    Ukisoma Katiba ya USA, ARTICLE I Section 2 pale kwenye mambo ya Tax inasema hivi "....Representative and direct Taxes shall be apportioned among the several states.....which shall be determined by adding to the whole Number of free Persons,including those bound to Service for a term of years,and excluding INDIANS not taxed..." Unakua ni kwa nini katiba hii inasema hivyo????

    Haya bwana.Miss mwenyewe mchovuuu.Fy@3++%** wewe.Mimi Binafsi SIMTAKI HATA KUMWONA WALA KUMSIKIA.
    Majita.

    ReplyDelete
  2. YOU GO GIRL, WATASEMA WATACHOKA, U R BEAUTIFUL TANZANIAN LADY AND DESERVE TO WIN. CONGATS BABE. X

    ReplyDelete
  3. Hi Mr Michuzi well i gotta say i have a very strong feeling a good one actually about this girl i feel she is gona win, nakwambia utaniambia kumbuka siku hii she is gonna win for sure lets all support her
    urs trully
    the original faces international representin from nyc

    ReplyDelete
  4. Bongo tunapendelea na kuwaabudu wageni wakati huku tuliko unaona wazawa wanawapendelea wakwao kimasomaso. Na ukiuliza wanakwambia fika na macho makavu tu "yeah I just did that because he/she's is so and so"


    Kweli mimi bado mniite racist, prejudice, ignorant sawa tu lakini it was not fair.

    ReplyDelete
  5. POLE SANA MAMAA KWA MADONGO KUTOKA KWA WADAU.

    KAZA RICHA UZURI ULISHAKAA NA MWANZA HIVYO MIMI LEO NAKUTANGAZA WEWE NDIYE MSHINDI ULIYEWAKILISHA NA KANDA YA ZIWA!!! TEEE TEEEE

    SI UNAJUA TENA TULITOKA PATUPU!
    VIP RICHA HIVI SKULI ULIPIGA LAKE SEKONDARI NINI???

    WAZEEE WA MAPANKI(MWANZA) TUNAKUUANGA MKONO NA MGUU!! UTAFANYA VEMA!!

    WAOSHAAAAAAAAAAA VINYWAAAAA TULIZENI HIYO MIDOMO YA KIBAGUZIIIII!!

    ReplyDelete
  6. Majita,
    Kwenye katiba ya USA hao "Indians" wanaotajwa ni Native Americans (Red Indians)ambao huwa hawatozwi kodi. Sijakuelewa ulikuwa una maana gani ku-quote hiyo para. Naomba ufafanuzi hiyo quote inahusianaje na huyo dada mwenye asili ya bara la Asia.

    ReplyDelete
  7. Majita wewe unamatatizo. Mtoto mrembo huyu sana. awe mweusi mweupe Blue as long as anatoka na kuzaliwa bongo poa tu. Kwanza huyu dada anaonekana ametulia siajabu atachukua uMiss WORLD!! Believe me. Bravoooo dada Richa

    ReplyDelete
  8. wewe X wacha kujikomba mwenzio anakuona kama APE tu hata ufanyeje. Sasa ndio anakwenda kuku-represent huko maana kaonekana yeye na uhindi wake ndio bora kwani APE wewe huna kitu.Pole wewe kwa kuwa ni ignorant.

    ReplyDelete
  9. Congratulation Richa!!! Disregard the haters. You are breathtakingly beautiful. Wewe tuwakilishe.

    Wewe Anonymous Sept 7, 2007 12:34:00 AM EAT tatizo lako nini haswa? Let me simplify things for you because I seriously think that you're dense. First of all, the girl is "Tanzanian" by every sense of the word. Get that through your thick head. Furthermore, for most of us who claim to be true Tanzanians, at one point or another our ancestors migrated to what is today Tanzania. So, am I more of a Tanzanian than you if my ancestors migrated to Tz a millennium ago and yours half a millennium? Where do we draw the line? I don't think Richa is less of a Tanzanian just because her ancestors are recent legal migrants to Tz.

    Juu ya hayo, umesikia aliomba kuzaliwa mhindi? Mijitu mingine bwana.

    Mangi wa North Carolina

    ReplyDelete
  10. Nasikia Mtu Hashindi Umiss Mpaka Wakuu Wampitie!!! Nani Kabahatika Huyo Kumpitia Mdosi????

    ReplyDelete
  11. nafikiri sasa hata umiss tumeubinaifsisha hivyo sishangai hayo yaliyojiri.

    halafu bro michu mbona ali choki uingereza hajaonekana kwenye shoo za bendi yake ya twanga? naomba tuulizie tupate jibu.

    ReplyDelete
  12. Ni mrembo kweli lakini hafai kutuwakilisha... sasa anatofaut gani na miss India ebooss!!! hawa majaji vipi??

    ReplyDelete
  13. To anonymous # 1:

    Laissez-faire,there's NOTHING you can say that will change what has happened.You claim you're not a racist,yet you proceed to use terms in an offensive-racist manner and at the same time,generalize that all Indians are named "Patel"?Hypocrisy at it's finest peak.

    Oh,and you're trying to pull a fast one on the uninformed.To everyone who read the part where the anonymous person tried to bring in the 14th Amendment to the US Constitution,the part about Indians DOES NOT refer to Indians from Asia,it refers to Native American Indians and NOT Indians from Asia or in this case,Tanzanian Indians.In other words,anonymous # 1 ni muongo!

    Miss Richa Adhia is both beautiful and sophisticated,she DESERVED the win and I and my fellow Americans and Tanzanians FULLY support her to the fullest.

    Thanks for the pics Michuzi :)

    ReplyDelete
  14. biiiig problem!!!!!!!!! trust me!!! cna cha kuongeza maana kila kitu kinajisema chenyewe....

    ReplyDelete
  15. Richa wasikutishe, uzuri unao, akili na ubavu wa kujieleza unao na hivyo anavyoita Hoyce Temu eti vigezo unavyo. Nenda kalete ushindi, mimi ngingekuwa bachelor ingekuwa mshike mshike ukimaliza umisi.

    ReplyDelete
  16. michuzi tunaomba link ya hiyo redio ya tido mhando

    ReplyDelete
  17. KUNA WATU WANA ROHO MBAYA!!!,HUYO ANONYMOUS WA KWANZA ANAONEKANA KATILI SANA,HATA KAMA KUTOA MAONI, HAYO NI MAONI YA CHUKI,HUYO JAMAA ANAWEZEKANA NI DIZAINI YA WATUTSI,NA INAWEZEKANA MTU KAMA HUYU ANAWEZA AKALA NYAMA YA BINADAMU.

    ReplyDelete
  18. Anony Majita,
    Usiparamie meli kwa mbele, hicho kipengele cha katiba ya Marekani kinahusu wazawa halisia wa huku ambao pia huitwa Indians (kutokana na neno Red Indians, Native Indians etc) Hao Indians wa huku hawalipishwi kodi ila watu wengine wote wanalipa kodi.

    Miss Tanzania 2007 Richa Adhia, ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi, Utanzania wake uko palepale hata mpige kelele vipi!

    ReplyDelete
  19. hongera Richa , dada ukawakilishe Tanzania vizuri. kila la heri
    wanaochonga, waache wachonge, matokeo hayarudiwi!

    ReplyDelete
  20. mimi nimeshakubali matokeo,but honey you need to get a bunch of tips in dressing..coz i dnt get it r u trying to make a statement...dammmmmmnnnnnnnnnnnn!!!!!!!

    ReplyDelete
  21. We Fala wa kwanza kabisa hapo juu unayejiita "Majita" hujui hata unachoongoe. Hebu funga computer yako kabebe box.

    Yaani pamoja na kukaa Marekani hujui kuwa Indians wanaoongelewa hapo ni Red Indians (wakazi asilia kabisa wa Marekani ya sasa) na sio wahindi wa Asia kama ilivyo asili ya Miss Tanzania 2007.

    ReplyDelete
  22. Msooooooooonyooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  23. Watanzania kwa unafiki bwana! majita kajisemea ukweli wake kama hakufurahia hilo chaguzi why asiseme? ingawa hawezi zuia limetokea limetokea. Hapa ni wachache tu wanaandika pitisha mic mitaani wengi tu watakuwa na mawazo kama ya majita cha ajabu nini? nie mnaomsonga ndoo mna mawazo ya kibaguzi mnata kila mtu aone mambo kama nyie mnavyo ona. Bib up majita uko huru utoa mawazo yako. Hata mimi ningependa kumwona mtanzania halisi kashinda tuna warembo kumpita richa huo ndoo ukweli lkn yamesha mwagika! achani ushamba kipenda roho..........mbafuu nie.

    ReplyDelete
  24. Mimi mbaguzi sana tu halafu yaani ninavyoona anaweka dole hapo ndio nachukia zaidi kama anatucheka halafu anafurahi sana yeye na ndugu zake wametuingiza mjini sana lakini kama kweli ni haki yake basi atakuwa mbali sana na kama si haki yake basi round ya kwanza njeee this time sina mambo ya kusupport sijui tanzania ishinde nataka tuwe chiini kabisa ili tuwaprove watu wrong
    Asante mungu kwakunipa moyo huu

    ReplyDelete
  25. mawenge hiyo comment yako nimeikubali. embu wapashe wanatuletea mambo ya USA hapa bongo, eti wanajua sheria kumbe mazuzu tu. sheria kawaachie wanasheria ndungu acha ushamba.
    HUYU MREMBO ANASTAHILI BWANA ULITAKA WAMPELEKE ZUZU AKATUTIE AIBU.

    ReplyDelete
  26. We anony, hapo juu unayesema anaweza chukua miss world unaota wewe, ulionawapi Miss world akawaandunje hivyo?, huyu afiki popote tutasikia au kuona.
    Unadhani huko kuna wahindi wakumsaidia iliashinde, kama Tz?.

    ReplyDelete
  27. Hivi huyo ni kabila gani? Inawezekana ni mtani wangu!

    ReplyDelete
  28. wabongo bwana kweli awapendi maendeleo.. embu muacheni hyo mtoto nae akajalibu zali lake maybe anaweza kushinda hilo taji la miss word.. kwani nyie amuoni ufaransa.. wamekuwa mpaka mabingwa wa dunia kwenye football lakin anagaliwa wazaliwa wa france wenyewe walikuwa wanacheza mule kama hata watano wanazidi!! wengine wote wazamiaji na team ikafanya mambo!! sasa twz acheni usenge wenu tulien mtoto akatutoe kimasomaso!!! by mdauuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  29. bro michu,mambo vp?mimi ni mtanzania naishi seoul,kwa kweli nimeona waosha vinywa wanavyo msakama miss uyu?lakini tutake tusitake yeye ndiye kisha kuwa miss!!!!vzfp

    tena michu naomba ukionana nae uyo miss mwambia kuwa nimemzimia sana tena naitaji kutuma posa, kwao,kwani nimeona hana ubaguzi kabisa?/
    na pindi akija china anitafute kwa namba hii 821086802140 plzzz,
    michu usinibanie hii kwani ninania nzuri na miss ok
    WAOSHA VINYWA KAZI HIYO?/
    SEOUL,

    ReplyDelete
  30. Haya yaliyoandikwa hapa yanatokea pia Tanzania. Je wale wasioona wahindi kama wabaguzi hawalioni hili?

    Uganda's Asian elite face fresh hostility
    By Lucy Hooker
    Business reporter, BBC World Service, Kampala, Uganda



    Some Asian residents were targeted by the protesters

    On 12 April an environmental protest in Kampala turned racial. The crowds began chanting anti-Asian slogans.

    Some held placards with slogans praising Uganda's former dictator Idi Amin. "For one tree cut five Indians dead," said one poster.

    Violence targeting Asians led to the death of one young Indian man. Shops were ransacked and many Asians sought refuge in the Hindu temple or barricaded themselves in their shops. Pent up frustration over the inequality between Uganda's Asian and black communities found expression on the streets.

    "The violence was exceptional, but the bitterness expressed was characteristic," says Dr Moses Musaazi, a university academic turned businessman.

    In 1972, Idi Amin expelled the country's wealthy Asian population and expropriated their assets. But in the1980s the exiled were offered compensation and many have returned to re-establish business empires that again dominate Uganda's economy.

    Many thousand newcomers have joined them.

    Indians make up less than 1% of Uganda's population. But they control some 40% of the economy.

    "Asian employers haven't done anything to correct the situation that brought about Amin," says Dr Musaazi. "I didn't think they would make the same mistake again."

    An environmental cause

    The protest was originally over an environmental issue. Uganda's government had announced that it was giving the go ahead for a sugar cane company to develop a part of Mabira National Park, a protected area of forest.

    Our president mostly likes the Indians and the Chinese. He doesn't listen to us blacks

    Sarah, the manager of a hardware shop

    But the company in question is owned by the wealthy Ugandan-Indian Mehta family.

    "Mabira gave an outlet to fears of Asian domination, gave them a voice," says Angelo Izama, journalist and broadcaster.

    "There is resentment that the government appears to be favouring an Asian business. It has pitted the communities against each other."

    Ugandans feel that Asian business is given special treatment and has the ear of the government in a way they do not. Many Indians are not eligible to vote, but often donate money to support the political campaigns of Ugandan friends.

    The Museveni government values the investment and expertise that foreign investors bring to Uganda. And the Indian community now enjoys a kind of political insurance which was absent in the days of Idi Amin.

    "The accessibility to authorities in Uganda is so smooth and so simple," says Sanjiv Patel of the Indian Association of Uganda.

    "I can assure you if there is a burning issue of Indians or minorities, or pertaining to the country, the president would call us within twenty-four hours."

    Indians in Kampala

    It's not obvious to the naked eye but almost all of Kampala's big businesses are owned by Indians including manufacturing, luxury hotels, banks and real estate. The city's finest restaurants are curry houses catering to the wealthy elite.


    Most Ugandans refer to Indians with respect

    On the street there's the occasional glimpse of a bright sari amongst the boldly patterned African clothes. A glance in many small shops reveals a sea of black faces at the service desk and one Asian in the shadows at the back.

    Indians here keep a low profile.

    "Because of a lack of integration, any small misunderstanding is blown out proportion," says Angelo Izama.

    Ordinary Ugandans readily refer to cases of Asian employers mistreating and underpaying staff. And in the city's market district small traders feel the competition from Asian rivals keenly.

    "Their prices are cheaper than ours, so we are not friends with Indians," says Sarah, the manager of a hardware shop.

    "Our president mostly likes the Indians and the Chinese. He doesn't listen to us blacks.

    "I think Ugandans have lived in harmony with the Indians for quite some time. We have been underpaid by them for quite some time in their factories, their flower gardens and their shops. All this we bear because we are poor" says Issa Sekitto representative of Kampala's city traders.

    But there's nothing like the difficult relationship there was between Indian employers and black workers before 1972. Indians have worked hard to overcome the reputation they had for arrogance and cruelty.

    Ugandans are also quick to admit that immigrants tend to work harder, put in longer hours and expect the same from their employees.

    Not racist

    Despite some obvious resentment there's little sign of outright racism against Indians. Most Ugandans, from academics to second hand shoe salesmen, refer to Indians with respect.

    They admit that when Idi Amin expelled the Asians it left the economy in a mess. Ugandans who inherited Asian property had little experience in running industry and no money to invest. The economy collapsed.

    Most Ugandans are grateful that Asians investors were persuaded to return to create work and wealth again.

    But they are suspicious of a community which worships, educates and lives apart.

    Future of Mabira

    And now the President is preparing to publish a final decision over the fate of Mabira National Park.

    The government argues the hundreds of jobs and wealth that will follow are worth the loss of some of the country's protected forest.

    But the Indian community is desperately lobbying for the plans to be shelved.

    They are quite aware that pursuing the plan could jeopardise the delicate balance of good will that they've built up in recent years.

    ReplyDelete
  31. Watanzania mwacheni huyo Richa.

    Nawauliza ngozi nyeusi watanzania wenzangu ni nani aliyewazuia watanzania weusi tusisambae duniani na kuanzisha community zetu kama wahindi ni nani?

    Wahindi wako wengi Tanzania na sie watanzania ngozi nyeusi tukarundikane India kama tuna kitu cha kufanya kule kama wao walivyo na vitu vya kufanya Tanzania.

    Tusimalizie hasira kwa wahindi wakati uvivu wetu watanzania kutopenda kusambaa na kuishi mataifa mengine ndio uliotufikisha hapa tulipo.

    Muda si mrefu usishangae Tanzania kuona imejaa mamiss wakenya na waganda sababu wenzetu wanapenda kusafiri na kuhamia nchi nyingine wakati watanzania siku zote ni kuwaza tu kufia na kuzikwa nyumbani Tanzania utadhani kama vile makaburi yao ni migodi ya dhahabu ambayo usipofia na kuzikwa tanzania watu watakosa utajiri uliomo kwenye kaburi lako!

    Tubadilike watanzania.

    Tuanze na sisi kusambaa nchi nyingine ili tuje tupate siku moja Miss Europe ambaye babu yake mkurya na mzaliwa wa Majita Musoma.

    koloboi@yahoo.com

    ReplyDelete
  32. Wajumbe mliotangulia hapo juu, shindano limefanyika Tanzania....nyinyi mnanukuu Katiba ya USA wapi na wapi.Acheni ushamba.

    ReplyDelete
  33. det er rart å tenke på at USA,som i dag er verdens mektigste land,ikke fantes for 250 år siden! Langs Atlanterhavskysten var det tretten kolonier som britene bestemte over.De som bodde der,følte seg ikke som amerikanere,men som borgere av for eksempel New York eller Virginia,som var to av de tretten koloniene.
    Lenger vest,inover i landet,levde indianerne slik de hadde gjort i titusener av år.
    anony sept7,2007 8:05:00 AM EAT.
    naomba umwambie majita atafute msaidizi wa kumtafsiria hii historia ya USA.

    ReplyDelete
  34. Sura kama kanusa harufu ya kinyesi!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  35. kaka michuzi nimekukosea nini? mbona kila nikituma comment zangu hazifiki? au umenizito ama?

    ReplyDelete
  36. Lebozzzz tumekuwa tukiwasakama kwa muda mrefu watu wanao acha lebozzzz kwenye suti zao, je vipi wale wanao acha leboz kenye Laptop zao?

    ReplyDelete
  37. ...if only i could sonya and be heard...i am NOT impressed...kuna mikingamo imepita hapa...nyie mnaojidai siyo wabaguzi sawa siyo wabaguzi kila mtu aachwe na opinion yake au siyo bwana?...it is a free world...RICHA IS COOL I DO NOT OBJECT...LAKINI ung'eng'e ndio zao hao angekosa vipi kung'ara?...alafu kingekuwa kikorola cha jaba na milioni mbili sijuuui...penye fungu ndio panapoongezewa waswahili mtanielewa...bkoz WAANDAAJI, WATOA BULUNGUTU, MAJAJI wote ndio haohao what was there to be expected?...mimi silalamikii richa, nalalamikia...kwa nini hakikutumika KISWAHILI???!!!...wakati ndio tunasema ni lugha ya TAIFA, lugha ya TANZANIA???...HUU UMISI TANGIA SASA KISWAHILI KIWE STANDARD LANGUAGE...when it comes to vijambo vya kuwakilisha TZ huko nje...ASIETAKA ndio azungumze kihehe, kizaramu, kichaga, kipare, kiha, kisukuma, kigogo, kichina, kiingereza and so on...ili those UNDERPRIVILAGED because the system had failed them might HAVE A CHANCE to express themselves...wasing'ang'anizwe kusema kizungu...haya, congrats richa...tume ndo imeshatangaza si ndio?...bo fine che

    ReplyDelete
  38. Hawa wahindi sasa bado kuingia Ikulu tu! ...Ila mimi napendekeza kama kweli wao ni wazelendo wa Tanzania, mbona hakuna muhindi mwanajeshi au polisi wa magereza au trafic wa barabarani?

    Rushwa ni sumu kali sana na ukiiendekeza itakufikisha pabaya, na sasa ndio tumerudi enzi za rukhsa....wahindi wamevamia mpaka kwenye Miss Tanzania, kisa zawadi ilikuwa bomba! Gari la milioni 45, fedha taslim shs mil 8 na zote zimetoka kwenye makampuni ya wahindi yaliyodhamini mashindano hayo! Tupo hapa, na bado, njaa za viongozi wetu zitatufanya siku moja tuchapwe viboko na wahindi!

    Oooooh mtanzania, mtanzania, hebu watanzania wenye uraia wa India wajaribu kugombea japo udiwani waone kama wakubaliwa, achia mbali kushinda!

    NCHI IMEUZWA!!!! Au wenzangu bado hamjashtuka tu???

    Mjita wa Ocean Road!!

    ReplyDelete
  39. BINTI MZURI,SAWA UMEZALIWA TANZANIA HATUKATAI MAMII,KOSA SIO LAKO NI LA MAJAJI NA LUNDENGA WANGEKUWEKA HATA WA PILI BWANA,HAYA MAMBO YANAELEKEA KUTUSHINDA MAANA TUTAAMBIWA TUNAPELEKA MHINDI AU MTZ? MBONA WALIKUWA WENGI TU WANA SIFA AKI YANANI VILE.NI BASI TU KWA SABABU WAMESHAKUPENDELEA MWANAWANE LA SIVYO INGEKUWA INARUDIWA TUNGERUDIA,ILA MPK DEC MOSI MBALI KAMA VP TURUDIE AU PILI AWE WA KWANZA NA WAKWANZA AWE WA PILI.O YANGU MIE.

    ReplyDelete
  40. Naombe niulize hao wakereketwa wasiomkubali Ms TZ, kwannnnniiiii katika stages za awali za kutafuta mamiss wilaya alipoibuka kuwa Ms Kinondoni hamkufikiria kuwa aweza kuwa Ms TZ???????kiasi cha kwamba mngeanza huko nyuma kutoa maelezo yenu ya kutopendezwa na Ms ambaye ana asili ya kiasia.Naomba tumpe support dada Richa kama vile tunavyotoa support kwa Taifa Starssiku hizi

    ReplyDelete
  41. Wabeba mabox hamna nyimbo (wengi wenu), kwa sababu mnaonekana kumtetea sana miss Patel. Kwanza kafupi kama mimi hapa (mie nimshinda hata kusmile, chekini basi :)....).

    Miss Patel wenu huyo mnaemtukuza hapiti hata Top 100 huko China. Vijiguu vyake viduchuuuu kama hockey stick. Halafu hapo alipotia dole sura yake imekaa kama wale mashangingi wenye mipasho katika taarab. Angalia alivyojishebedua midomo na nyusi alivyozisimamisha. Kanaonekana kashari!!!!

    Mimi na wabongo 99% hatujamkubli!!! The remainder 1% ni nyie mnaotetemekea watu weupe...

    You can not draw stripes on a donkey and call it a Zebra!!! and what you cannot see during the day, you will not see at night...

    ReplyDelete
  42. ama hakika siku mnyange huyu anatangazwa kuwa miss Tanzania mimi nilikuwa mmoja kati ya watu ambao walikatishwa tamaa kabisa hasa kutokana na kwamba watu wenye asili ya Richa hapa Tanzania ni wachache sana na ukiangalia maana halisi ya miss world mi nadhani ni kuwakilisha majority ya wakazi wa nchi unaoiwakilisha kwahiyo nikaona kuwa haimake sense kwa miss Tanzania wa sasa kuwakilisha taifa letu labda tumwite miss India Tanzania.

    Pamoja na kuwa na fikra hizo ambazo bila kuficha ni za kibaguzi jambo ambalo ni hatari katika amani ya nchi yeyote ile nimejikuta nikibabilisha mawazo na kuanza kumkubali binti huyu mpole na mrembo na ambaye pamoja na kutokubalika na watanzania wengi hajakata tamaa.

    Naomba ifahamike kuwa hakuna kitakachobadilika kutokana na uteuzi huo hivyo ni vema watanzania tukayakubali matokeo na kuanza kumpa support ya kutosha binti huyu mdogo ili asikonde bure...... kimsingi mi namzimia kichizi basi tuuu.

    skywalkertz@yahoo.com

    ReplyDelete
  43. MWAKA HUU MIMI NASHANGILIA MISS WORLD KUTOKA KENYA,UGANDA NAMUUNGA MKE WA KAKA MICHUZI UKWENI, ENGALND,AMERICA NA NCHI YEYOTE IKISHINDA LAKINI SIO TANZANIA NIKISIKIA TANZANIA WAMESHINDA NAWEZA PATA UGONJWA WA MOYO
    ni mimi mpenda nchi yake

    ReplyDelete
  44. kuna watu wanafikiria baba yake rachwa sijui hata wapa kazi hakuna kitu acheni kimbele mbele wabongo

    ReplyDelete
  45. BAADA YA KUSOMA COMMETS LUKUKI ZINAZOMHUSU MISS TANZANIA RICHA ADHIA, SIJAONA HATA MTU MMOJA ANAYEPINGA USHINDI WA RICHA AKIWA NA SABABU YA MSINGI.
    KWA KIFUPI WENGI NI WATU WENYE ROHO MBAYA NA CHUKI.
    HATA ANGEPATA NANI, BADO WANGEKATAA.
    WATU HAWA KAWAIDA HUWA WAPENDI MAFANIKIO YA MTU YEYOTE, HATA MAFANIKIO YAKO WEWE MICHUZI KWENYE BLOG HII KWAO NI TATIZO.
    ZAIDI MAISHA YAO YANAONGOZWA NA FITMA, CHUKI, HUSDA NK.
    USISHANGAE WATU HAWA WANAWEZA KUWACHUKIA HATA NDUGU ZAO WAKUZALIWA PAMOJA ENDAPO TU NDUGU YAKE HUYU AMEFANIKIWA.
    PIA KUNDI HILI HUWA NI LA WATU AMBAO NI WABINAFSI SANA.

    ReplyDelete
  46. nyinyi wadau ni wanafiki kweli kweli juzi tu mlikua mnamsagia leo hii amekua mzuri na bomba sana mnamsifia shwaini, mxiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  47. We anony wa 8:17 pma inaonekana una roho mbaya sana na hupendi hii blog ya Michuzi kwa vile inawanufaisha wengi tena bure bureshi!! Unatamani angekuwa unatutoza vijisenti kidogo sisi tunaokuja hapa kijijini kujifurahisha na maoni ya wengi. Tena wewe inaoneka ni mfitini, una chuki na unahusudu sana watu waliokuzidi katika maendeleo. Wewe hata mama yako mzazi hujawahi kumnunulia hata kacheni kadhahabu ikiwa ni shukrani kwa kukuzaa na kukulea. Na hali una mahela kibao! Kwa mtazamo wa maneno uliyoyaandika, ndiyvo nami ninavyokuona hivyo. Acha chuki!! Toa maoni yako mbinafsi mkubwa weeeee!!! Miss India hatakiwi, kama hutaki tusimkubali basi kajitupe baharini. Hovyoooooo!

    ReplyDelete
  48. "Watanzania kwa unafiki bwana! majita kajisemea ukweli wake kama hakufurahia hilo chaguzi why asiseme?"


    Umm,sorry,but there's quite a large difference in VOICING your opinion and TROLLING.The latter,is basically bashing someone/something in an offensive manner for NO apparent reason(This is what Anonymous# 1 did).

    If you don't like Richa,then don't be a fool and turn into a racist,be logical and state your opinion and thoughts in a formal and sane manner.

    For example:I don't like the fact that people can't accept Richa as the new Miss Tanzania because she's not black,plain and simple.But you don't see me going "OMG you guys are such idiots!"etc.

    It's all about being disciplined logically.

    ReplyDelete
  49. Yani Tanzania kuna watu ma racist sijapata kuona huh! mi nilkuwa nadhani ni nchi tu za watu wana hayo mambo kumbe na Tanzania ndio wanaongoza. mimi ningependa kusikia akishinda Miss World watu wenye roho za korosho sijui watafunga midomo au la?manake miracles do happen dada wa watu wewe kaza buti u are already famous so people have to talk hata ma celebrity wa nje wanasemwa kila siku no matter how perfect u are people will never appreciate u so just be your self and dont listen to all them haters naomba Mungu akusaidie utuwakileshe vizuri.
    im only saying

    ReplyDelete
  50. nina swali kwa watanzania wenzangu?hivi ikitokea kuna msudan simnajua huwa weusi akaijiingiza kwenye miss Tanzania akashinda je mtasemaje?simnataka mtu mweusi najua watu watasema oh mbona mweusi sana oh tunataka maji ya kunde yani nyi watu u never appreciate anything.

    ReplyDelete
  51. nyie wenye ubaguzi mmelaaniwa tangu mkiwa matumboni kwa mamazenu. na hiyo laana itaendelea hata kwa watoto zenu na wajukuu zenu. dunia nzima inaomba ili hiyo laana ituondokee ila kumbe bado mpo ambao mnabeba hiyo laana. ningemuomba Mwenyezi Mungu azitupe motoni mwa milele roho zenu mara mtakapokufa. hamjui madhara ya ubaguzi nyinyi. waulizeni ndugu zenu wa rwanda na burundi. mambo ya ubaguzi huanzia huko. mkimaliza ya wahindi mtakuja kwenye makabila. na haya hayaishii hapo. mtaanza kubaguana ndani ya familia. waulizeni ndugu zenu waliosoma na wanaosoma katika nchi za wazungu walijisikiaje au wanajisikiaje wakibaguliwa. mnawaita wabeba mabox ila wakija na mali nyinyi ndiyo wa kwanza kuzikimbilia kama hizo computer mnazotumia kuandika upuuzi wenu.
    huyo binti ni mtanzania, mambo ya asili yake ni wapi inahusu nini? kama hauridhiki na matokeo sema point nyingine na si kwamba asili yake wapi.
    ustaarabu wa karne hii umewapitieni wapi?
    manaishi dunia ipi?
    hizo computer na TV zinawasaidiaje?
    wajinga nyie.
    micj

    ReplyDelete
  52. Mtoto huyu hana uzuri wa kutisha ila ana wazidi wale mshindi wa pili na watatu! Kwahiyo tumpe nafasi awakilishe nchi yetu ndugu zangu. Huyu ni Mtanzania kama nyie na ana haki ya kuheshimiwa utu na rangi yake!!Kama kweli mnaona tatizo ni uhindi alionao basi mngeanzia kwa wale wadhamini wa shindano lenyewe la umiss ambalo linadhaminiwa na wahindi kwa asilimia kubwa na sijasikia hata siku moja mkilalamika.Watanzania mnapenda sana kufadhiliwa na kusaidiwa ila madhara ya "UDHAMINI" hamuyajui na wala hamtaki kuyakubali pindi yanapotokea. Embu acheni ubaguzi ambao hauna kichwa wala miguu...

    ReplyDelete
  53. nipofungua comment kwenye picha ya huyu miss tz kwanza nasikia harufu ya roho mbaya inafuka kwenye computer,huyu dada najua kajifunza mengi kwa watanzania weusi na ubaguzi nimeamini hupo kila sehemu.

    ReplyDelete
  54. RACISM IS EVERYWHERE...when it came to richa, to some degree some of us hatujapenda...but what do we do?...kubali matokeo it is only a sport anyway...but kuwe na FAIRPLAY basi, kuna mazingira ya upendeleo...TUSIJIDANGANYE...ubaguzi UPO DUNIANI...you have to be absolutely naive to believe ubaguzi hakuna...mbona huko ma airport ulaya immigration kuna lines za EU citizens na 'others'...labda nimeelewa vibaya but always mnajikuta wenyewe kwa wenyewe majority wa third world...mkoholeane msogeleane wenyewe kwa wenyewe...why not mix?...

    ReplyDelete
  55. I REQUEST THAT US WITH RACIST INCLINATION BE TOLERATED...IN HERE, PEOPLE AIR THEIR VIEWS PERIOD...IT IS ENTERTAINING AND EDUCATING AS WELL...TUSITIANE VIDOLE VYA MACHO LET US USE FACTS...WHEN IT COMES TO RACISM, MBONA IT SURROUNDS OUR LIFE?...sorry to say kuna baadhi ya vitengo hapa TZ vimeshikiliwa na kabila fulani, hiyo imeonekana na mpaka kwenye credible newspapers ikawa featured one time..yaani tiiaraei...mifano ipo mingi...ulaya niliishaambiwa "you niger go home" na mzungu mlevi but i could tell he wasnt that drunk...huko nje kuna hawa 'skin heads' wanasumbua watu weusi...kuna cults za fanatics wa hitler...the list goes on all in the name of ubaguzi either ni wa rangi au huku kwetu, wa kabila...ni kitu ambacho KIPO na kitaendelea kuwepo KUNA ANNON HAPO JUU AME DOCUMENT MAMBO YA UGANDA, THANKS A LOT BUDDY hiki kitu kipo EVERYWHERE even within OURSELVES...allow us to give reaction...you have to be so naive to believe that there is no racism today...

    ReplyDelete
  56. Michuzi mbona hilo bango la easy finance katika blog yako linaloonekana kwenye screen ya ki laptop chako alipo Richa sie huku hatuoni?

    ReplyDelete
  57. Mchangiaji, nataka kusema hivi huko Marekani mbona hatuoni rais Mhindi Mmarekani wao ndio nchi yao ama sivyo, mbona watu weusi wako wengi kwenye mpira wa kikapu, baseball, na mengineyo mengi tu.

    Ukizingatia kwamba hapo awali, walikua katu hawaruhusiwi kujiingiza au kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au michezo katika mifano ya hiyo milengeo niliyoitaja katika kuchanganyika na wazungu.

    Na wale Wamerakani wa Kihindi, wako Wapi ?? na nyinyi huko mliko huko Marekani, Ujapan, UK na kwengine kokote duniani, ambako nchi zilizoendelea, hamta rudi hata hatua moja kutochukua gamba/pasipoti zao kama mutapewa.

    Kwa hiyo tuache unafiki, roho mbaya, choyo na vinginevyo vilivyovibaya zaidi ya hivyo, tuwe wenye kujifunza, kupanua upeo wetu wa akili na kuondoa mabaya ndani ya mioyo yetu.


    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  58. ACHENI UBAGUZI WATANZANIA. HUYU DADA KAMA ALIKUWA NA KILA KIGEZO CHA KUSHIRIKI NA ALIWEZA KUSHINDA KATIKA MAPITO HAYO MADOGO MADOHO, NAMUOMBA MUMUACHE. S. AFRICA KILA MWAKA WANAPELEKA WAZUNGU, NA WANAFANYA VIZURI KI DUNIA.

    HUU NI UBAGUZI TUPENDE AU TUSIPENDE, KAMA RICHA ALISTAHILI JAMANI MWACHENI. NA NINA UHAKIKA ALISTAHILI NDIO MAANA LIPEWA.

    rICHA MWAYA, WEWE NI MSICHANA MREMBO NA NINA UHAKIKA UTAFANYA VIZURI, HUU UBAGUZI NDIO KILA SIKU TUNAOUNA HUKU MAJUU, HALAFU WATU MNALAAMIKA, KMBE HATA SIE TUNAFANYA HIVYO HIVYO.

    KAMATI YA WAREMBO TANZANIA, WANAJUA RICHA ALISTAHILI KUSHIRIKI, NA PIA ALISTAHILI KUSHINDA, SIKU ZOTE KUA MANENO YA WAKOSAJI!

    ReplyDelete
  59. WATANZANIA HEBU ACHENI ULIMBEKENI JAMANI, FUNGUENI AKILI ZENU NA FIKRA, HIVI LEO HII MUHINDI ANAIWAKILISHA TANZANIA KWA KIPI HASWA??? INA MAANA TANZANIA WAREMBO WAMEKWISHA???? JAMANI TWENDENI MBELE TURUDI NYUMA HATA NCHI ZA JIRANI ZINATUCHEKA KIASI GANI HATUJIAMNI MPAKA TUNAWAPA USHINDI WAHINDI!! LOL!! AIBU TUPU JAMANI, SIPATI PICHA AKIFIKA HUKO SANYA, CHINA WAKATI WA UTAMBULISHO WA MISS WORLD, MISS TANZANIA ANAJITOKEZA MWENYE ASILI YA KIHINDI!! WATU WATASHANGAA!! HIVI TANZANIA SIKU HIZI IMEKUWA INDIA?? HE HE HE !! BALAA WALAHI!! YAANI ASHINDE ASISHINDE UKWELI UNABAKI PALE PALE "WAHINDI SIWAPENDI NA HUYU NDO KABISAA ANANICHEFUA ROHO YANGU"

    ReplyDelete
  60. Unajua mtu kama unataka kutoa maoni yako juu ya kitu unapaswa kuondoa jazba na pia kufanyia utafiti upasavyo juu ya maada hiyo, vinginevvyo utaonekana mwehu na mawazo yako kudharaulika hata kama una hoja ya msingi.

    Mfano hai nii huyo ajiitaye Majita (Anony wa 1 kuposti). Amenukuu kipengele cha katiba ya marekani kinachozungumzia "Wahindi" na kukiweka hapo bila kujua kuwa wanaozungumziwa hapa ni "Wahindi wa Marekani (American Indians)" Au kama wanavyopenda kujulikana siku hizi; Natives (waasilia) au kwa majina mengine wasiyoyapendelea kama Red Indians (Wahindi Wekundu).
    Watu hawa ni tofauti kabisa na wahindi toka India.

    Isitoshe hujui unachokizungumza maana hujafuatilia kipengele hiki ulichonukuu kinazungumzia nini. Hao "Indians" ndio watu asili wa bara la Amerika ya kaskazini na wazungu ndio waliowaua na kukaribia kuwatokomeza. Kwa hivyo basi, katika baadhi ya majimbo ya Marekani huwa hawatozwi kodi kama njia ya kufidia ukatili na uonevu wote waliofanyiwa.

    ReplyDelete
  61. MICHUZI ACHA UBAGUZI, JANA NIMEWEKA COMMENTS ZANGU UMETOA!! WHAT DO U MEAN?? SISTAHILI KUTOA COMMENTS AU??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...