
HII NDIO TIMU YA FANJA YA OMAN AMBAYO WACHEZAJI WENGI WA BONGO WALIWAHI KUICHEZEA AKIWEMO MAREHMEU RAMADHAN LENNY, MADARAKA SULEIMANI, ATHUMANI CHINA, TALIB HILAL, HILAL HEMEDI, ABDUL WAKATI, ZAHER SALIM, AHMED AMASHA, SHABANI RAMADHANI, TIGANA NA PIA ILIWAHI KUFUNDISHWA NA MAKOCHA MAARUFU WA TANZANIA AKIWEMO MANSUR MAGRAM, MAREHEMU KINANDA NA HIVI KARIBUNI NA ABDALLAH KIBADENI. HIVI SASA TIMU HII INASOTA DARAJA LA PILI LAKINI MWAKA HUU WAMEPANIA KUFANYA UZURI ILI KURUDI DARAJA LA KWANZA, AMBAPO KUNA WACHEZAJI WATATU KUTOKA NIGERIA WAPO NJIANI ILI KUIPA NGUVU TIMU. WENGI WA WACHEZAJI WA SASA NI CHIPUKIZI -
A
A
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...