bob gadi na bendi yake wanazidi kupata umaarufu kwa kualikwa kwenye hafla mbalimbali.

hapa ni hoteli ya beach comber. pamoja na uchache wao lakini muziki wanaopiga si wa kawaida

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nawafagilia. Michuzi hawa hata kama we una jua/weza kuimba wanakupa maik uimbe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...