nakula pozi na mmoja wa mafundi mitambo wa taa na sauti hapa lidaz kabla ya kuelekea neshno. baaden basi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Yaani michuzi hilo shati unalipendea nini? banange hakuvuti mguu usitoke nalo jamani nahisi anajaribu ila wewe mbishiiii au lina hirizi ya kutoa picha vizuri usilivae tena 2008

    ReplyDelete
  2. Hili shati kaka unalipenda, au kwakua Mulamu alilisifia?

    ReplyDelete
  3. Kabla ujaenda Uwanja wa Taifa--Kwanza kula five kwa Bwawa la maini kufanya kweli.

    ReplyDelete
  4. shati babu ilo litapauka..!!

    ReplyDelete
  5. poa tuu...luku isije kata moto

    ReplyDelete
  6. Haiwezekani Michu awe na shati moja tu.Nabisha.Mimi naamini Michu ulinunua mashati kama kumi hivi yote yanafanana na hilo.Uongo michu,au unafikiri ukivaa mashati mengine wanakijiji watakusahau.Poa lakini mtu wangu,kwani shida nini ,si kuvaa tu?lakini si unalifua fua mara mojamoja au?
    Majita

    ReplyDelete
  7. Usimuone Michuzi na shati lake hilo mara kwa mara ana malengo yake makubwa sana ndiyo hapendi kununua nguo nyingi.

    ReplyDelete
  8. HEE!!!HILO SHATI VIPI, AU LINAHIRIZI???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...