Home
Unlabelled
foleni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona hamna wanawake?Yaani ni mijibaba mitupu.
ReplyDeleteNAWAPONGEZA SANA WATANZANIA WENZANGU MLIOPANGA FOLENI HAPO KWENDA KUWAPA HAMASA TAIFA STAZI.
ReplyDeleteMUNGU BARIKI TANZANIA,MUNGU BARIKI TAIFA STAZI.
WACHA NDUGU ZAKE NA MY WIFE WAKE MICHUZI WAFUNGWE LEO WARUDI UGANDA WAKAENDESHE BODA BODA.
vipi michuzi mbona hautupi nyepesi nyepesi si unajua wa huku ughaibuni tunakutegemea wewe tupe kwa ujumla kipindi cha kwanza mpira ulikuwaje hao vijana wetu wanaonyesha kabumbo au wameelemewa tunasubiri kwa hamu
ReplyDeleteWewe umesahau mila na desturi eeh. ukiona hivyo mama anapika home na baba anaenda na tiketi ya my waifu wake.Mwambie mwanamke apange foleni hapo uone balaa lake.
ReplyDeleteNdaki eeh,naamini mwaka 2005 ulikuwa chuo-UD.Je ni kweli kuwa field yako ulikuwa mkoa fulani hivi uko nyuma sana kimaendeleo?? jibu ndio au hapana.Najaribu kuona kama ni ndaki ninaemjua au la.
Majita