mojawapo ya mageti ya neshno. leo wahusika wametuhakikishia kwamba tiketi zitakuwa na namba za geti na viti ili kuhakikisha jumamosi hakuna tafrani katika kuingia uwanjani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sehemu kama hii ktk mawanja ya hapa UK panakuwa na service ya bar, na fastfood etc hapo pana nini Bro Michu?

    ReplyDelete
  2. Annon 5:45pm ..sehemu hiyo haijajengwa kitu pameachwa maalum kwa ajili ya kuandika matusi na kupakaza vinyesi...wabongo aibu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...