afisa wa kampuni ya kernel mh. godfrey moshi akimueleza miss universe tz 2007 flaviana matata matumizi ya magwanda maalumu ya wazima moto yanayopatikana kwenye kampuni hiyo ambayo tovuti yake ni http://www.kerneltz.com/. hii kampuni haina mshindano bongo kwa kuuza vifaa vya kuzimia moto toka vya chupa za ndani na nje na viwanedaani na maofisini hadi magari ya kisasa ya faya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza....Hivi bongo kila mtu akiwa na cheo ni mheshimiwa? Naona kila nikisoma ni mheshimiwa ...mheshimiwa...au ndio title ya MR, MRS or MS kiswahili?

    ReplyDelete
  2. Mbona hiyo suti inaonekana kama imetengenezwa na Aluminum Foil?

    ReplyDelete
  3. FLAVIANA UKIVAA JOHO KAMA HILO BADO UTAKUWA UNAPENDEZA MPENZI

    ReplyDelete
  4. Da haya bwana naona kila mtu siku izi mhishimiwa!! Aisee meku Rombo umeenda lini baba angu? Kwani ZK hupo tena? Msalimie Tasu na tolu muhaya

    ReplyDelete
  5. Da haya bwana naona kila mtu siku izi mhishimiwa!! Aisee meku Rombo umeenda lini baba angu? Kwani ZK hupo tena? Msalimie Tasu na tolu muhaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...