jk akipozi na taifa staaz leo mchana hoteli ya golden tulip alikoenda kuwapa moyo kwa ajili ya mechi ya kesho na msumbiji. jk alifika hapo kambini moja kwa moja bila kupitia nyumbani akitokea ziarani kondoa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Makobasi...

    ReplyDelete
  2. Bongo tumejaaliwa tuna rais mpenda wananchi wake habagui lakini ndo hivyo tena waosha vinywa kibao.Kila la kheri Taifa Stars.Mungu mbariki rais wetu umpe nguvu anapenda wananchi wake lakini wabongo mmmh.....

    ReplyDelete
  3. Bonge la Rais!! Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars!

    ReplyDelete
  4. nimemind vi malapa sasa hivi wawaangaliwe sana hawa wananchi ni watu muhimu sana wanawezakuingiza kipato kizuri sana cha nchi mpira unaleta amani na mshikamano sana kwa wananchi siunaona drogba alivyofanya angola mungu saidia Timu yetu

    ReplyDelete
  5. malapa ndio fashion kwa wanaume sasa hivi bongo? naona kila mwanaume analo...lapa mbele ya mtukufu raisi wetu..

    ReplyDelete
  6. Jamani raisi wetu handsome!! Na anajua kujenga moyo wa vijana wa hili Taifa. God bless Tanzania, God bless Taifa Stars...

    ReplyDelete
  7. Huyu ndo rais wa maana check pamba zake! hajali ni mtu wa kazi!
    mdau Tyler Texas.

    ReplyDelete
  8. BIG UP TAIFA STARS, TUPO PAMOJA LEO,KUSHINDA NI MUHIMU LKN KATIKA MCHEZO KUNA KUFUNGWA NA KUFUNGA KWA HIYO MATOKEO YOYOTE YAKITOKEA NAOMBA WA TZ TUKUBALIANE NAYO,. NA JK NAOMBA UENDELEE NA MOYO ULIONAO MUNGU AKUJALIE AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU. AMIN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...