taifa staaz imemfanya kila mtu kuwa mzalendo na kitu kimoja bila kujali hali wala mali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. uwiiiiiii!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. sijui kama hizi ni spinners au vipi lakini jamaa nalo si mchezo ila rangi tu ndo sijui inamaanisha nini? je ni masuala ya greenhouse gases au mexico?
    kasera
    kc,ks

    NAMPA SANA ONGERA KIJANA WANGU ADAM JUMA visual lab KWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA HAPO JIJINI DAR JANA IJUMAA. ADAM ONGERA SANA NA MUCH LOVE FROM WICHITA NA KC..WE MISS BACK IN THE DAY...WINTER 2000....

    ReplyDelete
  3. haya wadAU HILI NI BENZ LA UNCLE IMAN KAJURA WA NMB , NI MZURI Sana kwa marketing

    ReplyDelete
  4. mmmh michu ndio mara yangu ya kwanza kuona benz rangi hiyo jamani!!! NImezoea rangi nyingine lakini si hii!! Inapendeza lakini!! Ni unique wangu!! Kama rangi ya icecream vile!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...