
jk akiongea na waziri mkuu mh. el, jaji mkuu mh. augustoni ramadhani, waziri wa nchi ofisi ya waziri kiongozi zanzibar mh. machano othman said na spika mh. samwel sitta baada ya sherehe ya kumwapisha mkuu wa majeshi jenerali davies mwamunyange na mnadhimu mkuu luteni jenerali abdulrahman shimbo leo ikulu. jk anatarajiwa kuondoka baadaye leo kuelekea marekani. habari zaidi za ziara hiyo nenda www.tztimes.com


michuzi yu wapi makamu wa RAIS,MANAKE NI KAMA EL ANAPEWA KUSHIKA NCHI HAPO. HIVYI SI KAMA
ReplyDeleteRAISI
MAKAMU WA RAISI
SPIKA?
JE HAPO NANI RAISI 6 AU EL?
TUJULISHE NANI KAPEWA NCHI SASA?
never crossed your head that our dear JK is always on the tube abroad? Really wanted to know the travelling costs. Does it (these trips) bring something to our nation?BMpingo
ReplyDeleteWewe mdau unaesema Dr. Shein yu wapi?
ReplyDeleteMhe. Makamu wetu wa Rais alikuwepo siku ya kuapishwa na hata hiyo picha hapo juu ya group yupo kwa hiyo usiwe na hofu. Labda tu bwana Michuzi hakupata nafsi ya kupiga picha akiwa na maongezi ya faragha na JK lakini hilo sio suala la muhimu muhimu hapa ni Mkuu wa Majeshi kuapishwa tumuombee heri na baraka katika utawala wake.
We anony wa 11:17, Raisi mzuri ni yule mpaka anakanyaga Ikulu hakuna mtoto wake hata mmoja aliyesomeshwa nje ya nchi. Sasa hizo trip unaulizia anazofanya wewe unataka kuzijua za nini? Zinakuhusu nini? Nenda Ikulu na wewe ili ujue what those trips bring to our nation. Leave us alone!!! We endelea kubeba maboxi huko kwa wamarekani.
ReplyDeletekutosomesha nje watoto ilikuwa ni ktuzuga tu. janja ya nyani. Mwalimu na Mwinyi walisomesha wapi kabla yakuwa marais? ni hapa bongo. Lakini wao hakwenda nje kwa mtindo huuuuuuuuuuu.
ReplyDelete