katika kuipa tafu taifa staaz globu yenu hii ya jamii imefanya kolabo na A1 Outdoor kama inavyoonekana katika bango hili nlililopo nje ya jengo la nyumba ya sanaa. bango lingine liko kijitonyama sayansi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kusema ukweli nimeshindwa kulala kabisa..niko so excited na hii mechi..yaani mara ya mwisho kuwa excited hivi ni siku nilipoenda kuonana na my wife wangu baada ya kukaa ughaibuni kwa zaidi ya miaka 2..sipati picha kama tanzania italala ikitokea tukashinda hii mechi na senegal wakatoa angalau droo..

    ReplyDelete
  2. Pole sana anon wa hapo juu, ila nafikiri sasa utalala baada ya vurumai kuisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...