Home
Unlabelled
kila la heri taifa stars
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
If we win,the whole Nation will go CRAZY!!!!!!
ReplyDeleteGO TAIFA STARS!
KWAWALE WANAOTAKA KUTIZAMA GAME FREE KATIKA WEBSITE. NENDENI google then search myp2p.eu mtaona game live mara ya mwisho nilitizama tanzania na senegal kisha msumbuji na senegirls sasa sijui labda wana SHEgirls wanapendelewa kuoneshwa hapo TANZANIA OYEEEEEEEEE Japo kiroho kina dunda MOZA bin mbiki ZIRO
ReplyDeleteKILA LA KHERI TAIFA STARS.
ReplyDeleteILA KAKA MICHU UNAONAJE BAADA YA USHINDI WA STARZ HIYO T-SHIRT YAKO NAYENYEWE UIPUMZISHE MAANA SI UTANI, UMEKATINGA KWENYE MATUKIA KIBAO KWELI MIEZI HII MIWILI MFULULIZO.
USHAURI TU!!
michuzi na washabiki wako wote hapo bongo kila la kheri na tupo nanyi pamoja..hebu mpeni jk la kuongea atakapowasili mitaa ya midwest next week........
ReplyDeletePIA MPE KIJANA WETU WA WICHITA ADAM JUMA(visual lab) KWA KUFUNGA NDOA JANA JIJINI DAR JANA IJUMAA. KILA LA KHERI KATIKA MAISHA MAPYA JA JELA.....
Ningependa ni pose mbele ya hiyo Billboard. TANZANIA JUU! TAIFA STARS OYEEE!
ReplyDeletetumpe muda jamani wa miezi liyo bakia kubadilisha wadrobe. Kuanzia january 2008 vit-shirt vya ki low life hatutaki uvivaeeee tunaomba utusikilize wadau. ukiona mtu zaidi ya mmoja kasema badilika usiwemgumu kama jembe na nyundo
ReplyDelete