Home
Unlabelled
konozzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
eti kaka michuzi hoyce temu kweli alilia ?
ReplyDeleteUko na......tafadhali malizia
ReplyDeleteNamjibu anony wa September 3, 2007 11:57:00 PM EAT, ni kweli Hoyce Temu alilia nimemsikia leo anahojiwa BBC na Abdalah Majura, amesema alilia kwa sababu mrembo aliyechanguliwa alikuwa hastaili kuchaguliwa na wala si kwa sababu ya uhindi ila sifa hana, ametoa mfano Angela Damasi ni mchanganyiko wam Mtanzania na Mrussia lakini alipochaguliwa ulalamishi haukuwepo sababu alikuwa na sifa.
ReplyDeleteLunch ya Usiku? Or Dinner?
ReplyDeletemissupu mie nazimia na huo mwanya tu....nani huyo alifaa awe miss tz kivuli 2007!
ReplyDeleteNaona hapo wali mkavu mbona haa hukuweka mchuzi au kwa kuwa wewe mwenyewe ni.......
ReplyDeleteHuyo ndo Rashida Wanjara????
ReplyDeleteMichuzi umeweka wali mwingi?? Hujui madhara ya "stachi" kwenye nafasi kama hizo jaribu kupata "vejitebo" kwa wingi. Mimi natafuta njia ya kupunguza unene naona nagonga ukuta. Sijui wana blog wenzangu
YAANI MIMI KINACHONIBOA MICHUZI NI UVAAJI WAKO.
ReplyDeleteYOU ARE SO CONSERVATIVE.
KILA SIKU NGUO ZILEZILE.
HALAFU SIJUI VIPI KILA UKIVAA HUPENDEZI.
HUNA DAMU YA NGUO KABISA.
Kweli nyani haoni kundule, huyo hoyce Temu mbona yeye wengi walisema hastahili?, tatizo alipokuwa US alikuwa anadharauliwa, sasa na yeye anataka awatenge ma-coloured, miss TZ wa mwaka huu kashinda kwa sifa zote..watu hawamtaki kisa ni muhindi...kumbukeni Italy na Greece wameshawahi kupeleka pure blacks, ilimradi walikuwa ni muitaliano na mgiriki, rangi hawakuijali
ReplyDeleteHuyo Hoyce keso keshokutwa utamuona kasimama na miss TZ 2007 akicheka nae, wakati alilia alipochaguliwa..wabongo bwana, ndo maana hatuendelei
ReplyDeletena wewe michuzi acha kuchapia sema KUWAZAWADIA na sio KUWAZAWASIA,ebooooo kiswahili ulisomea chini ya mwembe nini! haya rekebisha upesiiiiii
ReplyDeleteKISWAHILI TABU, KIZUNGU TABU BASI ILI MRADI TU KAAAAAAZI KWELI KWELI!!! Ile picha ya dinner ya mchana iko wapi?? Kuna mtu, alisema mbona wazungu wanasema dinner mchana, yh they go for dinner at 12 ish to 2 ish as in they are having big meals. Au ndo wanaenda kula big meal wakati wa masaa ya mchana lakini they are not going for 'dinner ya lunch' Ushanifahamu Issa!
ReplyDeleteISSA HUNA RAIZONI WEWE
ReplyDelete