napata lanchi ya usiku na nanihii jana usiku kwenye bonge la pati la kuwazawasia ma-miss 2007

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. eti kaka michuzi hoyce temu kweli alilia ?

    ReplyDelete
  2. Uko na......tafadhali malizia

    ReplyDelete
  3. Namjibu anony wa September 3, 2007 11:57:00 PM EAT, ni kweli Hoyce Temu alilia nimemsikia leo anahojiwa BBC na Abdalah Majura, amesema alilia kwa sababu mrembo aliyechanguliwa alikuwa hastaili kuchaguliwa na wala si kwa sababu ya uhindi ila sifa hana, ametoa mfano Angela Damasi ni mchanganyiko wam Mtanzania na Mrussia lakini alipochaguliwa ulalamishi haukuwepo sababu alikuwa na sifa.

    ReplyDelete
  4. Lunch ya Usiku? Or Dinner?

    ReplyDelete
  5. missupu mie nazimia na huo mwanya tu....nani huyo alifaa awe miss tz kivuli 2007!

    ReplyDelete
  6. Naona hapo wali mkavu mbona haa hukuweka mchuzi au kwa kuwa wewe mwenyewe ni.......

    ReplyDelete
  7. Huyo ndo Rashida Wanjara????
    Michuzi umeweka wali mwingi?? Hujui madhara ya "stachi" kwenye nafasi kama hizo jaribu kupata "vejitebo" kwa wingi. Mimi natafuta njia ya kupunguza unene naona nagonga ukuta. Sijui wana blog wenzangu

    ReplyDelete
  8. YAANI MIMI KINACHONIBOA MICHUZI NI UVAAJI WAKO.
    YOU ARE SO CONSERVATIVE.
    KILA SIKU NGUO ZILEZILE.
    HALAFU SIJUI VIPI KILA UKIVAA HUPENDEZI.
    HUNA DAMU YA NGUO KABISA.

    ReplyDelete
  9. Kweli nyani haoni kundule, huyo hoyce Temu mbona yeye wengi walisema hastahili?, tatizo alipokuwa US alikuwa anadharauliwa, sasa na yeye anataka awatenge ma-coloured, miss TZ wa mwaka huu kashinda kwa sifa zote..watu hawamtaki kisa ni muhindi...kumbukeni Italy na Greece wameshawahi kupeleka pure blacks, ilimradi walikuwa ni muitaliano na mgiriki, rangi hawakuijali

    ReplyDelete
  10. Huyo Hoyce keso keshokutwa utamuona kasimama na miss TZ 2007 akicheka nae, wakati alilia alipochaguliwa..wabongo bwana, ndo maana hatuendelei

    ReplyDelete
  11. na wewe michuzi acha kuchapia sema KUWAZAWADIA na sio KUWAZAWASIA,ebooooo kiswahili ulisomea chini ya mwembe nini! haya rekebisha upesiiiiii

    ReplyDelete
  12. KISWAHILI TABU, KIZUNGU TABU BASI ILI MRADI TU KAAAAAAZI KWELI KWELI!!! Ile picha ya dinner ya mchana iko wapi?? Kuna mtu, alisema mbona wazungu wanasema dinner mchana, yh they go for dinner at 12 ish to 2 ish as in they are having big meals. Au ndo wanaenda kula big meal wakati wa masaa ya mchana lakini they are not going for 'dinner ya lunch' Ushanifahamu Issa!

    ReplyDelete
  13. ISSA HUNA RAIZONI WEWE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...