Home
Unlabelled
kp na miss tz 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mamaaa mzazi weee, mi sisemi,,ngojea WAOSHA VINYWA au kwa kidhungu ma MOUTH WASHER..waamke,,maana wengi wao wamelala saa hizi wametoka kubeba mabox na kuosha vizee,wamechoka, ngoja waamke, waanze kuyatapika......waosha vinywa usingizi mwema, mkiamka, KAZI KWENU kuna kipanya kinatufatuta ubaya hapa..
ReplyDeleteWow, this is great Kipanya.........Now you're talking....Wakimaliza Bungeni waende kwenye timu ya Taifa ya Cricket. Fantastic!!!!!!!!
ReplyDeleteMIMI SIMOOOOOOOOOOOOO KABISAAAAA NIMEJITOA ILO SAKATA!!
ReplyDeleteMSIMAMO WANGU UTABAKI PALE PALE NALAANI UBAGUZI WA AINA YOYOTE.
HAIJALISHI MDOSI KUMBAGUA MTIZED AU KUMBAGUA MNAII
NAWASILISHA:FUMBO MFUMBIE MBUMBUMBU WAJANJA MMENIELEWA.
Kp kula 5. Nchi imeshauzwa kwa wenye nazo hii, sisi hatujui. Watu wanalalamika Oooh Sio MMbantu mbona Bungeni hawasemai au kwa kuwa walilishwa pilau huyu miss hawezi?, Aandae pilau na yeye minong'ono itaisha.
ReplyDeleteTENA HAO WENYE KULETA MANENO YASIYO NA KICHWA WALA MIGUU WAJUE KUWA RICHA NI MISS TANZANIA NA SIO MISS MWAFRIKA MWEUSI MAANA TANZANIA NI NCHI YENYE WATU WA RANGI MBALI MBALI TENA WENYE ASILI MBALIMBALI. HAO NI UMBUMBUMBU TU UNAWAHANGAISHA..ROHO ZA KOROSHO NDIZO ZINASABABISHA MPAKA LEO TUKO NYUMA KWA KILA KITU. HAWAJUI KUTENGANISHA UTAIFA NA UASILI WA MTU.
ReplyDeletemassoud keshamtaka miss tz ,katoswa alafu sasa anajishaua anajitai kumkejeli.Anyway,hata kamaangekua sio muhindi ni mbongo ,mchina au nini,mamiss wa mwaka huu ni wabaya mno utazani ilikua title ya miss ugly face.hata ivo huyo mhindi kaokoa jahazi-peke yake ana uzuri fulani
ReplyDeleteWajameni, nadhani kweli njii hii imeshauzwa tayari! Mara nyingi watu wakifanya network, kuna mmoja lazima ata-leakish information. Kauli ya Taji Liundi kuwa mwaka huu wamefanya tofauti imeshangaza sana na kusikitisha kabisa kabisa. Huyo Mhindi waelishamwandaa na ameshinda. Bahati mbaya sana sana atakaa mwaka mzima na huo Wadhifa. Ila ajue kwamba itakuwa kazi kweli kuuzika hapa TZ. Watu watatumia muda mwingi sana kumshangaa
ReplyDeleteAnayehoji uraia wa Miss Tanzania ni Mbaguzi
ReplyDeleteMhariri
HabariLeo; Tuesday,September 04, 2007 @00:02
JUMAMOSI wiki iliyopita Richa Adhia aliibuka mshindi wa kinyang’anyiro cha kumsaka Mrembo wa Tanzania kwa mwaka huu. Tunampongeza kwa dhati kutokana na ushindi wake huo mkubwa ambao unamfanya afahamike sasa kama Miss Tanzania ambaye ataiwakilisha nchi yetu katika mashindano ya kumtafuta Mrembo wa Dunia huko China, baadaye mwaka huu.
Kwa bahati mbaya ushindi wa Richa umepokewa isivyo na baadhi ya watu wasiomtakia mema yeye na nchi yetu ambao wanadai kwamba hakustahili ati kutokana na rangi ya ngozi yake.
Tunawakemea kwa nguvu zote wote wanaomwangalia Richa kwa jicho la husuda wakidai ati si Mtanzania halisi. Tunawauliza, Ubavu na uhalali wa kumhoji hivyo Richa wameutoa wapi? Wanaiweka vipi kando misingi iliyowekwa na Taifa hili tangu enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ya kujiona sote tu wamoja bila kujali tofauti zetu za kabila, rangi, dini, jinsi au eneo tutokapo?
Au wanataka turejee katika zama zile za kumwonea au kumpendelea mtu ati kwa sababu tu ni wa kabila, dini, rangi eneo tutokapo? Sisi tunawaambia kwamba kamwe hatuwezi kurudi huko kwa sababu tunaelewa na kutambua ukweli kwamba nchi yetu ni ya watu wa rangi, asili na nasaba mbalimbali.
Ndani ya nchi yetu kuna Weusi ambao ndio wengi lakini pia kuna Wahindi, Waarabu, Wazungu, Waajemi, Wachina na wengine wengi ambao si rahisi kuwataja wote hapa. Hata hao weusi walio wengi si sawa kwani wamo Wabantu, Wanilotiki na wenye asili nyinginezo lakini sote tunajivunia Utanzania wetu na tumefika mahali hakuna anayemwuliza mwenzake kabila lake au anakotokea.
Hiyo ndiyo hali halisi kwamba nchi yetu ni ya watu mchanganyiko lakini wenye fursa sawa, ikiwamo ushiriki katika Miss Tanzania.
Kwa mantiki hiyo kuanza tabia ya kukejeliana kutokana na asili ya mtu, kama baadhi ya watu wanavyofanya kwa Richa ni uchafu na wanaoiendekeza wanapaswa waiache mara moja. Vinginevyo tutashindwa kuwatofautisha na makaburu wa Afrika Kusini ambao tulitumia muda na gharama zetu nyingi kupambana nao.
Mwisho tunampa pole Richa kwa masahibu aliyoyapata kutokana na mjadala usio na sababu yo yote ulioanza juu yake ambao kwa vyo vyote vile unapaswa ufungwe mara moja.
eti miss tanzania alishinda kwa sababu ni mzuri na anaweza kuwasiliana kwa kiingereza. who cares? sisi ni wabongo na tutazidi kuongea kiswahili...mbona kwenye MISS UNIVERSE ALISHINDA MJAPANI NA HATA KIINGEREZA ILIKUWA NI KIDOGO SANA...MBONA FLAVIANA ALIKUWA ANATAFSIRIWA KULE CHICANO? SISI TULIMTAKA MZALANDO APITE HATA KAMA SIO MZURI KAMA HUYO MHINDI WENU. IDD AMIN DADA ALISEMA " AFRICA IS FOR AFRICANS, BLACK AFRICA IS AFRICA." KWA HIYO HUYO MHINDI ARUDI KWAO...
ReplyDeleteJE MICHUZI WAMECHUNGUZA KWAMBA HANA URAIA WA NCHI MBILI? LAZIMA ATAKUWA NA GAMBA MBILI BILA KUKOSEA...
KC,KS
kuna huyu hoyce temu ambaye alijidai kutoa machozi huku akisema kwamba miss aliyechaguliwa hana vigezo na kelele nyingi nyingi tu................yeye hoyce ni nani kiasi kwamba aseme wazi kwamba miss tanzania hafai na majaji wote ni wapumbavu na wamefanya makosa makubwa.mimi nafikiri kulikuwa na conflict of interest hapo.labda kulikuwa na mtoto wa mjomba wake ambaye alikuwa anategemea angeweza kushinda....naomba michuzi ufanye uchunguzi.
ReplyDeleteDunia sasa ni multicultural,ukienda china,ulaya na hata southpole utakuta kuna kila aina ya watu,mchanganyiko na wote wanashiriki kwenye nafasi mbali mbali,haya mambo ya ubaguzi kwa kweli sidhani hata mungu anapenda.Hichi kitendo cha huyu mwana mama hoyce temu kimeniuzi sana,ni kitendo cha ubaguzi na kinatakiwa kipingwe kabisa.Imagine wewe msomaji ungekuwa kwenye nafasi ya huyu miss,how could u feel....hakuchagua kuwa mhindi,she was born indian and you nor me can change that.haya ndio mambo watu kama wakina martin luther king ndio walikuwa wanapigania.Watu wenye lame ideas kama hawa kwa kweli hawatakiwi kwenye jamii yetu.tumpe moyo huyu mwanadada akaliwakilishe taifa badala ya kumkatisha tamaaaaa.mimi namtakia baraka teleeeeeeeeeeeeeeeeeee kwenye mashindano ya miss world na maisha kwa ujumla.
regards,
mwanajeshi.
I am telling you guys the truth wala sio cha rangi au kwa vile ni muhindi lakini huyu hana ile unique fitures za mamiss hawa....Akifika top 20 nitajiona mjinga sana... mark my word
ReplyDeleteMuch know - USA
mwanajeshi umeshemsha. Hoyce ameshashiriki hayo mashindano na anaelewa undani wa yote.
ReplyDeleteHao majaji ni wawili waliowahi kushiriki hayo mashindano. Na wengine sijui wanaelewa international standards kwa hiyo huwezi jua walimpa nani kwa vile majibu ni anonymous.
Sio kwa vile huyo ni mdosi lakini hana kitu kinaitwa (IT) ....tuko nao kila siku huku na rangi zao lakini kuna mmoja ukimwona unamjua kweli huyu anafaa kuwa miss ...lakini huyu ....nooo labda ni mzuri kwa machoni lakini mpaka sasa hivi hamna picha niliyoiona nikasema nikasema waaaaaaaoooo
Umeshawaona wahindi wazuri wewe ambao wako kimodel haswa... Sasa huyu akienda...kwanza mwaka huu ni huko karibu na kwao sijui china....mhhhhhh yangu macho...
Jana asubuhi huyu binti alikuwa katika kipindi cha Breakfast Show na akina Fina, Gerald na Masoud Kipanya mwenyewe ambaye alimsalimia kwa kiSukuma na binti akajibu kwa kiSukuma! Alisema kazaliwa Dar lakini alikulia Mwanza, baba yake ni mzaliwa wa Morogoro, mama yake mzaliwa wa Pemba. Mara ya kwanza yeye kwenda nchi za nje ilikuwa mwaka jana alipoiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Ms Earth ambapo alifika mpaka 15 bora duniani. Muda wote huu alikuwa anaongea Kiswahili fasaha tena bila ya kutia kiingereza kama wafanyavyo mabinti wengi wa siku hizi of the "I was in London" type. Naam, huyu anaandaliwa vizuri.
ReplyDeleteShe is a Tanzanian, y'all, borne and bread!
Anyway, after the Wema debacle, controversy and fiasco I am willing to try and give this one a try.
Kama kuna suala Lundega amepiga bao ni kupotosha umma kwa kuacha kuongelea hoja ya msingi na kushikilia kuwa mhindi sio tatizo.
ReplyDeleteHoja ya msingi hapa ni kuwa Richa alipangwa kuwa mshindi toka siku anashinda kinondoni, ndio maana siri ikavuja Taji (MC) akaanza kusema mapema kuwa mwaka huu kuna utofauti mkubwa ktk mshindi. Huyu Richa jamani ashakum si matusi ,ana pua kubwa na pana sana kuwa miss,ni mfupi mno na hata shepu yake ni ya kawaida sana kushinda,regardless ni mhindi au mweusi!
Nataka kuamini kabisa either kina Lundega wameshinikizwa na wadhamini, maana Shivacom waliotoa gari ni ya wahindi, na mkiti wa kamati ya miss tz,Patel ni mhindi pia.na hisi hata kambi yao walipigia hotel ya wahindi, kwa hiyo wakashinikiza OR wanataka kuwahamasisha wahindi wazuri washiriki miaka ijayo, kwa kuwa miss India huwa wanashinda sana miss world!
Kisingizio wanachotoa cha kujibu maswali ni upuuuzi mtupu!
Duh, wabongo kweli balaa!
ReplyDeleteHao hao walikuwa wakilalamika ooh, hapana, sio raia, mara hivi mara vile, tena hao hao Ooh, tuache ubagauzi!
Kaazi kweli kweli.
Bado nasimama pale pale, huyu Dada hakustahili kwani sio raia mzawa wa Tanzania. This is just her 2nd Nationality jamani, sio suala la ubaguzi wa rangi wala nini, hata angeshinda Mgambia mwenye uraiwa wa pili kama Mtanzania, mimi bado ningepiga kelele!
lakini ndio hivyooo, TUTAFANYAJE!
Wabongo, acheni basi kuyumba yumba, leo hivi kesho kule, kuweni na misimamo hata kama hamuwezi badili lakini msiwe kama vinyonga!
...ni kweli haka karangi ka huyu misi TZ kametukera baadhi yetu in a different perspective kutokana na mazingira yenyewe...HOYCE HIKI NI KITU ANACHOKIJUA KUTOKANA NA KESHASHIRIKI ...hoyce kazungumzia LANGUAGE USED "kujieleza"...kISWAHILI TUNAAMBIWA KINAKUWA PROMOTED KIWE LUGHA YA KIMATAIFA SIJUI...kwa nini hawakutumia kiswahili???...hata wasomi wengine wenye masters are not comfortable speaking english...form six leavers na even some university grads english bado ni kigugumizi...hawa mamisi je!!!???...wangeachwa wazungumze LUGHA WATAKAYO tungekuwa tunazungumza mengine...kingine alichosema hoyce ni mambo ya mavazi ya kitamaduni...hili likatupiliwa mbali pia...richa angevaa nguo za kisukuma bila shaka ange look wow as well...kwa nini vipengele hivi viwili vilitiwa kapuni?...namuunga mkono temu kwenye haya...umisi siyo kuzungumza kizungu kizuri jamani waacheni dada zetu wazungumze kiswahili au hata kizaramu ili mradi pawe na mkalimani...i share hoyces pain...which was apparently genuine...bila shaka kiswahili na traditional attires havina SURA YA UBAGUZI...hapo je?
ReplyDeleteNiliangalia taarifa ya habari ya Channel ten jana na hata magazeti ya leo yameandika kuhusu kujikosha kwa Hoyce Temu!nasema kujiosha maana anajifanya kwamba yeye hana tatizo na Uhindi wa MISS TANZANIA lakini kwa watu ambao tulimsikia baada ya mashindano aliongea suala la rangi sasa sijui amegundua kwamba ameharibu ameamua kujisafisha lakini ukweli ndiyo huu kwamba amembagua Richa kwa ranga yake.Lakini kidogo amenishangaza HOYCE TEMU kwa kusema majaji wamekosea inamaana miaka yote walikuwa hawakosei isipokuwa mwaka? huu au kuna mchezo mchafu ulikuwa unachezwa lakini safari hii hawakukubaliana katika mchezo wao?ndiyo maana amelia hadharani.Kwa upeo wangu mdogo na kumbukumbu yangu ni kwamba miaka yote kigezo cha lugha kilikuwa kigezo kikubwa sasa iweje mwaka huu alalamikie lugha?Mwaka jana kama sikosei Jokate ilikuwa anaonyesha dalili za kushinda lakini kwa sababu alichemsha katika kujieleza ndiyo akachaguliwa WEMA ambaye alijieleza vizuri.Sasa Hoyce atatueleza nini?Kuna warembo wngine hata kujieleza kwa kiswahili wanashindwa sembuse kiingereza?Tukatae tukubali Kiingereza ni tatizo kwa warembo wengi kwa hiyo kigezo cha lugha kisitumike kabisa.
ReplyDeleteJambo jingine ambalo limenishangaza sana kwa jinsi Hoyce alivyoact,tunavyojua ni kwamba warembo wanapokuwa kambini kuna vitu wanapimwa kama namna ya kujichanganya na warembo wenzake ,tabia yake kwa ujumla ,upeo wake wa kufafanua jambo na kulikabili,uwezo wake wa kujieleza nk.na ninavyojua ingawa mimi si mjuzi wa mambo ya urembo ni kwamba warembo wanapokuja jukwaani siku ya shindano tayari wanakuwa na maksi zao kwa hiyo pale jukwaani wanakuwa kama wanajazilizia tu baadhi ya mambo lakini kila kitu kinakuwa kimeshafanyika kambini nadhani na hili Hoyce atakuwa analijua.Bado sikubaliani na Hoyce na utetezi wake kwamba siyo rangi ila vigezo walivyotumia majaji kuamua mshindi mwaka huu.Mimi nitamwelewa HOYCE kama atatueleza VIGEZO AMBAVYO MIAKA YOTE MAJAJI WANAVITUMIA LAKINI MWAKA HUU HAWKUVITUMIA NA VIMEATHIRI VIPI KATIKA KUMPATA MREMBO WA MWAKA HUU.LA SIVYO TUTAMWAKA KWENYE KUNDI LA WABAGUZI WAKUBWA.
Naitwa Japhet Stephen,najua wengi wanaogopa kutaja majina yao eti aibu watatukanwa mi sijali hilo twende kazi jirekebisheni tabia zenu chafu na roho mbaya.
ReplyDeleteNapenda kutoa duku duku langu kuhusu wale wanao mponda miss wetu 2007 kwamba hana vigezo wengine hastaili kushinda na wengine wamejaribu hata kuonyesha hisia zao kwa kulia au kutokwa na machozi na hasa wewee...weweee weeeee....HOYCE TEMU unalia mbele ya watu kisa aliyeshinda hawamkubali nadhani kama wangefuatilia tabia zako tu wakati unakaaa Hostel za chuo Cha Elimu ya Biashara pale CBE basi wewe ulikuwa haustahili kabisa hata top 20 kama ipo au ingekuwepo.
Tanzania...tanzaniaaaa......mmeanza mambo ambayo Mwalimu aliyakemea kabla mapema kuhusu tabia hizi za kubaguana kwa ukabila ,rangi na mambo mengineyo,mwalimu Nyerere tokea amepotea duniani hata miaka ishirini haijapita tayari mmeanza kutoleana macho kwa rangi, hii tusemeje mlitaka ashinde mtu wa namna gani?,wa moshi au manake sielewi tabia hizi zimetoka wapi, miaka mingi hata ukifuatilia ma-miss wengi wametokea kanda za juu kaskazini wenye asili ya Kichaga hasa mkoa wa Kilimanjaro mbona watu wa Mtwara,Songea,Lindi,Rukwa,Dodoma nk hawakulalamikia ukabila au huko ndiyo kunakostahili tu kutoa wawakilishi wa miss Tz kaitaka nchi hii?.
Au pia hamfuatilii nchi za wenzetu mfano Amerika ameshawahi kutoka miss mweusi mbona wazungu hawakulalamika,Zimbabwe ametoka miss mzungu, Afrika ya Kusini imewahi vile vile sasa sielewi hii tabia tuipeleke wapi jamani isirudie tena ni aibu kwa Taifa letu.
Tuweni wastaarabu miss ameshachaguliwa tumuunge mkono aende akapeperushe vyema bendera yetu ya Tanzania tuache malumbano yasiyo ya msingi.
Hongera Richa keep it up my dear.
Ebwanaeeeeeeeeeeee......ninachoweza kusema ni kwamba,watu wanapinga ushindi wake for one solid reason, "BECAUSE SHE HAS INDIAN BACKGROUND ".Sisi kama watanzania we dont entertain huo upumbavu,kuna watu toka rwanda wanaishi tanzania na ni watanzania,kuna wakongo watanzania,kuna watu toka malawi wana uraia wa tanzania.kwahiyo tanzania ni mchanganyiko wa watu wengi,na sio tanzania peke yake,africa nzima na dunia kwa ujumla.kama mambo yangekuwa yanakwenda kama nyie mnavyotaka basi duniani pasingekalika.
ReplyDeleteKama mtu ana akili timamu na analiangalia hili swala kwa jicho la tatu,hauwezi kusema kwamba nimechemsha.Huyu mwana dada ameanza mbali,alikuwa mshindi wa pili miss dar indian ocean alafu akawa wa kwanza kwenye kitongoji cha kinondoni.kelele zilianza toka alipokuwa miss kinondoni na asilimia 90 ya hizi kelele ni za kibaguzi.Umesema kwamba wahindi sio wazuri na kwamba wewe unafikiri richa sio mzuri,that is ur own jugdement/opinion/notion mheshimiwa,sio wote unaowaona wewe ni wazuri,ni wazuri kwa watu wengine.
Unaposema kuwa mtu fulani sio mzuri,ni vizuri ukatoa sababu.kama hoyce temu anayajua sana hayo mashindano,let her give us VIVID evidence kwamba miss hafai.angeanza kuchambua vipengele ambavyo anafikiri huyu mwana mama hana.be iwe ni urefu,umbo na kadhalika.maana ukisema kitu bila kutoa maelezo kwa kweli it doesnt make sense,it shows ur rude....nk...kwa mfano unaposema kwamba unamchukia mtu,bila ya kutoa sababu,then utakuwa mgonjwa wa akili.Kwakweli siamini kama watanzania tumefikia kwenye hali hii ya kuanza kubaguana.Na kwa kiasi kikubwa inachangiwa na ukosefu wa elimu pamoja na kutotembea kuangalia watu wanavyoishi duniani.Maana watu kutwa nzima wanashinda kutengeneza speculation za ajabu.utakuta watu kutwa nzima wanaongelea mke wa fulani,ama wanabishana kuhusu magari na mambo mengine ambayo hayana faida kwao.WATANZANIA,EAST AFRICAN COMMUNITY INAKUJA SASA......SASA NYIE ENDELEENI KUPIGA UDAKU TU NA KUACHA KUFANYA KAZI KWA BIDIII...WAKENYA NA WAGANDA WILL TEACH U WASSUP...HAPO NDIO MAISHA YATAZIDI KUWA MAGUMU SANA.....just a simple advice to my friend hapo juu..."MAKE SURE BRAIN IN GEAR BEFORE INVOLVING YOUR MOUTH...".
Regards,
mwanajeshi.
excuse me, i assume or rather believe that some of us in here hatujui maana, lengo na madhumuni ya huu umisi...WHICH INCLUDES ME!...huwa naona ona tu miss world, miss universe, miss america, miss TZ na admire beauty thats all!..huwa nayaacha palepale kwenye climax yake where theriz so much glitter, pomp, smiles and sometimes tears...HIVI HUYU "BEAUTY QUEEN" wa rank ya world au universe anatakiwa a full fill which conditions?...alafu, na huyu wa misi TZ, US, UK, KENYA, TOGO...anatakiwa a fullfill which conditions mpaka apate nyota hiyo?educate me...naona kuna jazbajazba kidogo hapa...i got into this with little knowledge ya huu umisi sijawahi PAY ATTENTION from someone who KNOWS kwamba VIGEZO NI VIPI...if someone can provide FACTS so that wengine tuelimike kidogo...mambo mengi yamevamiwavamiwa hapa kwetu recently, fani nyingi ZIMEVAMIWA na watu ambao opportunity knocked, na siyo that they had ambition...tumuulize nani maswali haya?lundenga?, prakash au nani sijui, hoyce?, k-lynn?, richa?, waziri husika?, odemba?,mbunge?...mambo mengi yanafanyika HOLELAHOLELA mpaka SHULE zinafungiwa, vijidispensari vinafungiwa yote hii inatokana na kutanguliza BIASHARA...JE HUU UMISI UPO KWENYE RIGHT TRACK?
ReplyDeleteHAYA KAMA RICHA SIO MBAGUZI NENDENI KWENYE HI5 PROFILE YAKE KAMA ANARAFIKI HATA MMOJA MWEUSI HALAFU MMNIAMBIE KWELI MIMI SIFICHI NIME MIND VIBAYA SANAAAAA DADA ZETU WAMENYIMWA BURE HAKI YAO NEXT TIME MREMA AKICHUKUA NCHI ITAKUWA RAHA SANA
ReplyDeleteMbona Miss South Africa, au Miss namibia anakuwa mzungu. Unasikia watu wakilalamika?
ReplyDeleteMwanajeshi, I salute you!
ReplyDeleteUmeongea ukweli mwenye kuelewa na afaidike asiyeelewa hakuna jinsi ya kumsaidia.
Mchango wako ni muhimu kwa wasomaji wa blog. Kama angalau 20% ya michango yetu ingekuwa inafanana na ya kwako nadhani wengi zaidi wangevutiwa kubadilishana mawazo ndani ya blog hii, lakini baadhi ya watu huona wanatumia muda mwingi kuelimisha 'mijitu' ambayo hata ustaarabu hawaujui.
Nakushukru Mwanajeshi kwa mchango wako.
Tabia haijifichi hata siku moja, lakini itafika wakati utatokea with your true colours.
ReplyDeleteMimi sioni ajabu kwa Hoyce Temu kumponda Miss Tanzania 2007, Richa. Hiyo ndiyo tabia yake hasa 100%, kwa wanaomfahamu Hoyce kwa sura wameumia, lakin tunaomfahamu kiundani hatushangai hata kidogo.
Mkitaka kumjua zaidi mnaweza kufanya homework zenu mtamjua zaidi na zaidi ya hata alivyo sasa.
wewe Isaac ndiyo unajifanya mstaarabu wakati unaita watu mijitu eti tu kwa sababu wanatofautiana kimtazamo na wewe? Jifunze ustaarabu kwanza kwa kuheshimu wengine ndio uje kuanza kutoa mahubiri yako yaso kichwa wala miguu.
ReplyDeleteMimi naona wadau wote kama mmetoka kwenye topic. Topic ilikuwa kwamba hao wanaojiita au wanaojiona kwamba wao ni wabaguzi wakuu basi huo ubaguzi wangeuanzia BUNGENI.
ReplyDeleteHapo ndipo mahali pekee ambapo unaweza kuchangia upatikanaji wa mtu unayemtaka wewe kwa njia ya kura. Lakini utakuta watu kama hao linapokuja swala la kupiga kura wanawapigia wahindi au wanakacha kupiga kura altogether.Sijui labda kwa kuwa ktk miss tz hakuna rushwa kama ilivyo kwenye ubunge au ni ujuha tu wa wapiga kura!
Hakika mie sioni mantiki ya kushupalia ushindi na uhindi wa miss tz kwa kuwa ushindi wake haugusi maslahi ya taifa moja kwa moja kama ulivyo ubunge.
Huu naona ni umbumbumbu wa baadhi ya watu wanopenda sana mambo ya gossip na speculations kuliko ya msingi.
Hayo yaumiss ni burudani tu kama ilivyo ngwasma mdio maana watu wanalipa kiingilio kwenda kushuhudia shindano.Baada ya hapo kinchofuata waachie wenye shughuli yao wenyewe msijifanye. Wengine shughuli yetu huwa inaishia kule ukumbini ambayo ni kuosha macho. Mambo ya kuosha vinywa waachie kina ngoswe!
Huyu muhindi kama yeye siyo m-baguzi, mwambieni aseme "dereva unaonea mbuzi lakini unaogopa ng'ombe". Kama akisema "dereva, onea buzi, gombe ogopa eenh" Basi jiulizeni kwa nini wahindi wanazaliwa Tanzania, Dar-es-salaam, lakini hawawezi kuzungumza kiswahili kwa lafudhi "accent" yetu. Acheni upumbavu hapa, hawa wahindi ndo wabaguzi, na wanachofanya wabantu ni ku-"express" kero zinazowakera. Mbona wakizaliwa London wanazungumza ki-ngereza kwa London accent? lakini wakizaliwa bongo wanazungumza kiswahili kwa Indian accent?
ReplyDeleteWabaguzi sana hawa, wana shule zao, hospitali zao, na makaburi yao. M-bantu lazima uwe "middle class" ndiyo uweze kuingia kwenye anga zao.
'Asiyejua maana, haambiwi maana.'
ReplyDeleteNi kawaida kwa mamisi wengi waliopita mara watangazwapo kuwa misi Tz hupiga picha na wazazi wao,lakini cha ajabu huyu misi wetu wa sasa akufanyiwa hivyo badala yake wakamwaisha kwa Simba wa Yuda"Mzee Kawawa"kuna nini walichoficha hapo?Jaribuni kuchunguza mlioko Bongo mtupe majibu
ReplyDeleteWewe mwanajeshi na Japhet stephen tukiwapeleleza nyie tutawagundua na nyie pia sio raia halisi wa Tanzania. Au pengine mmetumwa na jammi ya Jamatin wa huko Kisutu na Upanga mumpigie debe miss Patel.
ReplyDeleteMajority of Tanzanian's are not happy, whether you like it or not. Hivyo achana na hayo mahubiri yako utasema tuko kanisani. Kwanza usimtaje taje na wala kumhusisha marehemu baba wetu wa taifa, hayati Mwl. Nyerere kwenye mambo haya ya kijinga jinga, malumbano na maneno yako hayana kichwa wala kiwiliwili. Tupe analysis zako binafsi, utuambie kwa nini unaona anafaa na wala usitumie mifano na kutufananisha na nchi nyingine. All we need are facts! Concrete facts...
Na usitufananishe na Marekani wala Zimbabwe. Sisi ni Tanzania, its like you are now comparing mangoes and organges.
Ngoja mkeo akuzalie mtoto wa kihindi halafu tuone kama utambagua mwanao. Kitanda hakizai haramu, sawa?
Hiyo Rav4 aliyopewa ni ya 2009 au 2010? mbona iko so pricy....Ya 2008 the highest you can pay ni 32,500,000,000 na hapo ni kuwa huku bargain wala nini but you can even get too way cheaper than that na kuuingiza TZ na gharama zote iwe hivyo 45 millions au ni wadosi kuokolewa kwenye kodi ya mapato ya bishara zao?
ReplyDeleteI don't care what they do with their money but atleast they should put up the right price for that car au ndio kulanguana bongo hivyo?
Naomba mnieleze hiyo Gari ina cost 45,000,000,000????? Kama kweli inacost hivyo .... Wake up guys kama madealer wanawacharge hivyo bora kuagiza lako tu. Watu wana make so much mark-ups kwenye biadhaa zao na sijui Govt iko wapi kucontrol hili.
Tanzania hiyo
Hivi jamani seriously mwenzenu
ReplyDeleteNimekuwa na hamu sana ya kuwa na “Bibi” (girlfriend) wa KIHINDI.
Lakini hawa Mademu inasemekana wagumu sana kupatikana kwa mswahili.
Kuna Mdau yoyote anaweza kunipa mbinu za kupata girlfriend wa Kihindi jamani?
Nisaidieni mwenzenu tafadhali!
Anony wa 10:46 you are good. that is the point. the majority of Tanzanians are not happy to presented by an Indian to the Miss World Beauty Pagentry. Period.
ReplyDeleteHuu utetezi wa baadhi ya wamatumbi unashangaza. kwanza wanapaswa kuwaacha wahindi wenyewe wamteteee ndugu yao kuwa wao sio wabaguzi na sio wao kujifanya ma-PR wa wahindi!
Nina hakika ukichunguza sana utagundua wote wanaomtetea Mhindi huyu kwa njia moja ama nyingine wana aina fulani ya mahusiano ya faida wanayopata kutoka kwa wahindi.
Hii mifano sijui ya Marekani, Afrika Kusini na wapi sijui haina mantiki kwa sababu sisi ni Taifa na sio lazima kwamba kwa sabau Marekani ana utamaduni wa kushika kinyesi basi na sisi lazima tuige!!!
kuna wanaotaja mifano ya wabunge wahindi. ndio tatizo lile lile kwamba hatuna uzalendo na nchi yetu ndio maana tunaona rahisi rahisi tu kuuza kura zetu kwa mhindi na sio kumpa mbantu mwenzetu mwenye uchungu na ndugu zake.
Naomba mniambie ni michango ipi ya maana inayohusu wabantu ambayo imeishatolewa na hawa wabunge wahindi. Unless mniambie kuwa kumbe Zitto ni Mhindi!!!!!
Kama ni ubaguzi basi ubaguzi wanao Wahindi na sio sisi na mifano ipo tele.na ndio maana inatia simanzi kuona watu wanavyoutetea ujinga huu. Watanzania tuamkeni na tusijifanye sisi tuna huruma sana!!!
kelele nyingi sana mnaniumiza kichwa na huyu mhindi wenu mimi sitaacha ubaguzi kwasababu wao ndio wabaguzi wakubwa wanataka tuwapenini tumewakaribisha tumewapa pakuishi bado heshima hakuna pita upanga ukute wanavyopelekeshwa dada zetu wakina fatuma na juma mpaka watoto wao wa miaka mi 5 wanawatukana wafanyakazi mimi kunasiku nilienda kwenye party ya mtoto wa kihindi akatema mate kwenye chakula changu ikabidi nijizuge tu unajifanya siunajua mtoto lakini mbona hakutema cha mhindi mwenzie nitawatenga sana tu na wenye tabia nzuri nitawapenda sana maana hata mimi nina rafiki wahindi kama ndugu zangu watu wote walio kaa na wahindi mnawajua wahindi sio
ReplyDeleteIna shangaza sana na inasikitisha kupita kiasi kuona watanzania wa leo jinsi tulivyo.Hawa tunaowaona eti siyo wa Tz au (wa bantu) ni watu ambao wamezaliwa hapahapa na kukulia hapahapa na tunajichanganya nao katika shughuli mabaliambali za maisha.“mbona sijawahi kusikia eti mhindi,mzumgu au mwarabu fulani amefukuzwa makaburini katika shughuli ya kumzika rafiki au jirani yake kwakuwa yeye si mbatu? Hivi huyu Miss TZ angekuwa mngoni mngemkataa eti kwa sababu asili yake ni SOUTH AFRICA? Au pia angekuwa mmasai, mjaluo au m iraq(mmbulu) mngemkataa kwa sababu asil yake siyo mmbantu bali ni nilotic.Hivi hao mnaojiita wa bantu mnajua asili yenu?mnajua mlitokea wapi mkaja ku seatle hapa mnapopaita TZ?.Mashindano hayo yalikuwa na vigezo vyake na majaji ambao walipewa mafunzo ya jinsi ya kujaji hatimae judgement yao tumeiona! Kama huyo mshindi hakuwa na sifa ambazo zinastahili mbona hamukusema kuanzia hatua ya vitongoji? Kwa mtazamo wangu huyo miss anastahili taji lake this is Art na kama ilivyo sanaa zingine ina uzuri wake.Sanaa yoyote lazima isanifiwe na ipendeze katika nyanja zote.Moja ya usanifu wa sanaa hii ya urembo ni Lugha! Kwa kuwa nchi yetu ina tumia Lugha mbili basi niwazi kila mshiriki lazima aonyeshe ufahamu wa hizi Lugha.Tusidanganyane eti tunamtafuta miss TZ pekee!hapa tunamtafuta miss world pia ! kama ingekuwa ni miss TZ tu basi haya mashindano yangeishia hapa hapa Bongo na kusingekuwa na sababu ya kumtuma huyo miss katika ngazi ya Dunia.Lugha ni kipimo cha ufahamu wako! ni wangapi wanashindwa kujieleza kwa kiswahili sembuse English! Kama miss anaweza kujieleza kwa kiswahili na kiingereza akaeleweka basi huyu amaeiva kuweza kutuwakilisha ikizangatiwa hii fani tumeiteka kutoka kwa hao watu weupe basi tuifanye kama vigezo vyao vinavyosema hadi hapo tutakapo kuwa na tyipic Tanzania beauty contest.Wakati wa zama zile warembo wetu tulikuwa tunawashindanisha ktika kuurudi Mdundiko au Sindimba na mwenye kukizungusha kiuno na kulizungusha kalio kwa ufundi kuzidi wenzake basi huyo ndiyo mshindi (that was bantu) malalamiko hayakuwepo.Magere:Germany
ReplyDeleteAnon September 6, 2007 3:15:00 PM EAT wacha kuhubiri hatumtaki basi mwisho
ReplyDeleteMagere, watch your back while your in Germany (unless your not a nigger like me). You should read the philosophy and opinions of Marcus garvey.
ReplyDeleteYou cannot have a National identity that is pluralistic. There can only be one national identity, otherwise it will not be an identity. In that context, you tell me what should be the identity of Tanzanian given, its general ethnicity and geographic location.
Also, one who represents a nation must be part of the whole society and not one who intentionally maintains the state of being apart from the society he/she lives in.
The only place unakutana na wadosi ni kwenye maduka yao. Planckscale