ukiwa na tiketi yako wala hukondi ukishafika neshno mpya. unaonesha lango kuu na kuelekezwa geti na vijana wa skauti

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. NIngependa kama wangetengeza hivi viji geti vya ulaya kama tunavyotumia kwenye train station na imeze card kabisa ilikusiwe na gate crushers yaani pawe na ustarabu wa hali ya juu.

    ReplyDelete
  2. Tiketi napendekeza ziuzwe kupitia Benki.

    Haya mambo ya kusema wanahesabu usiku kucha cash na askari wakiwa wanakesha usiku kucha ni upuuzi mtupu na uhuni na yamepitwa na wakati.

    Napendekeza Benki ya Wazawa inayofanya vizuri ya CRDB chini ya Mtanzania Mbunifu Mkurugenzi Charles Kimei ipewe hiyo tenda ya kuuza tiketi kwa commision.

    Mtu aende uwanjani na Tiketi na pay in slip ya benki.

    Kwa kufanya hivyo mapato yatadhibitiwa yatajulikana moja kwa moja na ujanja utapungua.

    Benki nawatupieni changamoto hiyo kuwabunia kitu bure bila malipo.

    koloboi@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. Jamani jamani! Jana usiku nilikuwa naangalia EATV, Kuna watanzania wajanja jamani. Ili tu waingie bure uwanjani eti wanaomba Tiketi za Msumbuji zitoke mapema. Nia na madhumuni wakafanye scanning nk. wa print zao. TFF kuweni macho na hili. Tafuteni njia haraka ya kutatua tatizo la kuchelewa kuuza tiketi ili kuondoa malalamiko lakini kamwe msiuze tiketi day before mtakula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua, tena yule aliyekuwa analalamika kuwa tiketi za Mechi ya msumbuji zitoke mapema namjua sana kwa mambo ya IT

    ReplyDelete
  4. Nasikia wamechafua vyoo vya uwanja si mchezo,tayari vinyesi ukutani na uvutaji bangi mbaya sana vyooni.Lini wabongo tutakuwa wastaarabu?nashauri vyoo vya uwanja mpya vibinafsishwe ili watu walipie na viwe na walinzi spesho wa vyoo kwa sababu usafi hatuuwezi.Siku ya kwanza tuu vyoo vishachafuliwa.AIBU.
    CHA CHANDU

    ReplyDelete
  5. I totally support Annon wa kwanza..jamani ulimwengu wa teknolojia skauti wa nini?wekeni vigeti vya kuingia computerized kama vya kuingilia train station au mawanja ya mpira ya ulaya, kama tuna uwezo wa kujenga wanja hilo control units hazitushindi..hapo hakuna wizi wala usumbufuvinginevyo miyeyusho mitupu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...