mwandishi na mtangazaji wa itv neema mbuja akimhoji bosi wa wa kampuni ya kisasa ya huduma za mawasilaino ya mtandao wa intaneti mh. eric b. mwenda baada ya kupokea leseni ya undes leo ofisi za tume ya mawasiliano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Hongera sana kaka,nakutakia mafanikio mema!

    ReplyDelete
  2. eric weee...looh unaniua mwenzio huku. hongera sana

    ReplyDelete
  3. ahaaaaaaaa Erick mwenda makubwa umekuwa boss sio ahha naona umekuwa mdingi sasa haya kila raheli kweli watu wamekuwa wazee sasa na kipara juuu

    ReplyDelete
  4. erick hongera sana na haji hawa ni boys bunges primary school hongera zenu naona miaka mingi well done boys. tuko wengi tunarudi kuendeleza tazania itaendelezwa na watazania.

    ReplyDelete
  5. Huyo mwandishi aende GIM apunguze uzito hiyo soo,baadae ohooo anaki sukari.

    ReplyDelete
  6. Kaka Michu, hawa akina Eric, wanapatikana kwenye mtandao? Kama upo ni upi?
    Ramadhani njema!

    ReplyDelete
  7. huyo anayesema mwandishi aende gym, kwa taarifa yako Neema Mbuja ni mnene hivyohivyo tokea akiwa shule ya vidudud, na kwa taarifa yako ni mchezaji mzuri sana wa netball sasa sijui ni mazoezi gani unataka afanye.Huo unene niwa kuzaliwa nao na si wakula kama unavyofikiria wewe.

    ReplyDelete
  8. wanapatikana katika tovuti.. www.wiatz.com..fastest wireless internet!!!

    ReplyDelete
  9. naomba nisaidie michuzi,mbona huyo dada ameshika mic ta TVT wakati anafanya kazi ITV???

    ReplyDelete
  10. Wandugu kwa kupekuwa tuu hamjambo, mnegua yote mnayatolea macho kama hivi tungekuwa mbali kweli.

    ReplyDelete
  11. anon.10:11 anazo mic mbili wewe mdebwedo nini?

    ReplyDelete
  12. Ina maana anafanya kazi wapi au hizo zote ni kazi zake,lakini punguza uzito usiwe kama madilu.

    ReplyDelete
  13. anony unayesema unene wa kuzaliwa ...unahitaji uelimike...hamna mtu mnene au mwembamaba ulimwengu huu...ni life style yako .....na pia kama unaishi good health life style basi kuna magonjwa mengine yanamfanuya mtu asipungue na moja wapo ni thyroid. ..netball ya masaa mawili kwa week hayapunguzi unene.... na mazoezi in general hayapunguzi unene life style ....kama unacheza net halafu unakula ugali(carbs) kwa wigi huwezi kupungua.

    ReplyDelete
  14. sasa unene wa Neema unawatatiza nini? Mnataka na sisi tunaotafuta hiyo type tutawapata wapi kama sio kina Neema. dada umependeza hasa hicho kifua kinanitatiza. Hivi umeolewa dadangu? We ndio taste zangu.

    Jamani acha mawazo ya ki-magharibi mwanamke wa kiafrika lazima awe na mwili, nyama. Ohoooo! Nani anataka collision za mifupa.

    ReplyDelete
  15. Wabongo hamridhiki kabisa! Eti mnene! Angekuwa mwembamba mgesema ana UKIMWI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...