Home
Unlabelled
leseni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana kaka,nakutakia mafanikio mema!
ReplyDeleteeric weee...looh unaniua mwenzio huku. hongera sana
ReplyDeleteahaaaaaaaa Erick mwenda makubwa umekuwa boss sio ahha naona umekuwa mdingi sasa haya kila raheli kweli watu wamekuwa wazee sasa na kipara juuu
ReplyDeleteerick hongera sana na haji hawa ni boys bunges primary school hongera zenu naona miaka mingi well done boys. tuko wengi tunarudi kuendeleza tazania itaendelezwa na watazania.
ReplyDeleteHuyo mwandishi aende GIM apunguze uzito hiyo soo,baadae ohooo anaki sukari.
ReplyDeleteKaka Michu, hawa akina Eric, wanapatikana kwenye mtandao? Kama upo ni upi?
ReplyDeleteRamadhani njema!
huyo anayesema mwandishi aende gym, kwa taarifa yako Neema Mbuja ni mnene hivyohivyo tokea akiwa shule ya vidudud, na kwa taarifa yako ni mchezaji mzuri sana wa netball sasa sijui ni mazoezi gani unataka afanye.Huo unene niwa kuzaliwa nao na si wakula kama unavyofikiria wewe.
ReplyDeletewanapatikana katika tovuti.. www.wiatz.com..fastest wireless internet!!!
ReplyDeletenaomba nisaidie michuzi,mbona huyo dada ameshika mic ta TVT wakati anafanya kazi ITV???
ReplyDeleteWandugu kwa kupekuwa tuu hamjambo, mnegua yote mnayatolea macho kama hivi tungekuwa mbali kweli.
ReplyDeleteanon.10:11 anazo mic mbili wewe mdebwedo nini?
ReplyDeleteIna maana anafanya kazi wapi au hizo zote ni kazi zake,lakini punguza uzito usiwe kama madilu.
ReplyDeleteanony unayesema unene wa kuzaliwa ...unahitaji uelimike...hamna mtu mnene au mwembamaba ulimwengu huu...ni life style yako .....na pia kama unaishi good health life style basi kuna magonjwa mengine yanamfanuya mtu asipungue na moja wapo ni thyroid. ..netball ya masaa mawili kwa week hayapunguzi unene.... na mazoezi in general hayapunguzi unene life style ....kama unacheza net halafu unakula ugali(carbs) kwa wigi huwezi kupungua.
ReplyDeletesasa unene wa Neema unawatatiza nini? Mnataka na sisi tunaotafuta hiyo type tutawapata wapi kama sio kina Neema. dada umependeza hasa hicho kifua kinanitatiza. Hivi umeolewa dadangu? We ndio taste zangu.
ReplyDeleteJamani acha mawazo ya ki-magharibi mwanamke wa kiafrika lazima awe na mwili, nyama. Ohoooo! Nani anataka collision za mifupa.
Wabongo hamridhiki kabisa! Eti mnene! Angekuwa mwembamba mgesema ana UKIMWI!
ReplyDelete