lidaz nako wadau kumekucha. hii ni sasa hivi ambapo uzio unatenga watu wa vvip na vip wa 75,000/- katika kuona vodacom miss tz leo usiku ambayo star tv itaonesha laivu na globu yenu ikitoka mpirani itakuwa hapo kuwapa letesti kila baada ya muda hadi mshindi atapopatikana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kwa matilaba hayo ina maana tutaweza kuona kwenye jumptv au?

    ReplyDelete
  2. Nadhani assumption hao waandaaji waliyofanya ni kuwa mvua aitanyesha ..

    ReplyDelete
  3. KWA RUKSA NILIYOJIPA MWENYEWE NAOMBA KUWATANGAZA WASHINDI WA MISS TANZANIA.

    ANAYEONDOKA NA HILO GARI YUZDI NI MISS KINONDONI 2007(MTZ MWENYE ASILI YA KIDOSI)


    MSHINDI WA TATA KANDA YA NYONYO KAMA TULIVYOZOE MAAMUZI YA MAJAJI KILA MWAKA.

    LEO TAIFA STARZ WANASHINDA 3 MDUARA

    ReplyDelete
  4. Hapo lazima jamaa wameshapiga Ramli kwa mganga wa kienyeji kuwa je Leo Mvua ipo? kama ipo izuie. Ee bana Ikianguka katikati ya show patakuwa hapatoshi hapo

    ReplyDelete
  5. Ndaki,kati ya vitu vilivyomwangusha Salim Ahamed Salum wakati wa mchakato wa kumpata mrithi wa Mkapa ni hiyo naniiii yake.Ngoja leo tuone sasa kwenye huo mpambano na utabiri wako wa miss kinondoni.Akishinda yeye baaaaaasi,Obama kala dume.
    Majita

    ReplyDelete
  6. Ndaki you are the best!

    Sasa mshkaji, hebu nitabirie lini mambo yataninyookea wangu, nahangaika shilingi haishikiki!

    hebu nitabirie nikae mkao wa kula.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...