mashabiki wa viti vya 3,000/-


mashabiki wa viti vya 30,000/-

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hapo wenye machungu na timu ya taifa ni kajamba nani sh 3,000 unaona wanavyojuwa kushangilia siku nyengine wawekwe chinichini wachezaji wapate kichwa. hawa wa 30,000 wanatuyayusha tu wapo kimya sauti hawatoi. Taifa Stars natabiri itakuwa nchi ya kwanza Africa kucheza Final ya world cup 2010 na Holland. Holland 2 Starz 1.

    ReplyDelete
  2. KULALEKI WATU WA KAJAMBA NANI WANAONEKANA WANA ENJOY GAME KISAWASAWA, THEY ALL LOOK SO HAPPY, WANASHANGILIA AND EVERYTHING.
    HAO WANAOJIFANYA WA VIP WAPO TU KIMYA WAO GOLI LIKIINGIA WANAJIFANYA KUSHANGILIA HAWAJUI WANATABASAMU TU. LOH! HATA KUNOGA!

    ReplyDelete
  3. naona Edward white, Mirza na Mugasa mnawakilisha upande wa elfu 30...msikose ya mozmbique jumamosi.

    ReplyDelete
  4. Angalieni tofauti ya mwenye pesa na walala hoi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...