Home
Unlabelled
tibaigana neshno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KAMANDA TIBA!
ReplyDeleteULISHEMSHA KWENYE UTARATIBU WA KUPANGA MAGARI,MAGARI YALIKUWA NJE NA BILA YA ULINZI WA ASKARI WETU NI VIJANA TU WA MTAANI WALIKUWA NDIO WANAPANGA MAGARI.NA NDANI PARKING ZILIKUWA KIBAO YANII ZA KUMWAGA.ZAIDI NDANI YALIPAKI MAGARI YA KUMWAGA MAJI YA UPUPU KWA WANA WA ADAMU ! KWANI SISI TULIKUWA KWENYE MAANDAMANO YA SIASA ? WABONGO SIE WASTAARABU KAMANDA ! TUMEENDA KUSTAREHE KWA GHARAMA YETU.WAKATI UJAO SHIRIKISHENI WADAU WANAOELEWA SHUGULI SIO KUNGANGANIA JAMBO WEEE KAMA VILE HAKUNA WASHIKA DAU WENGINE.JARIBU PATA USHAURI TOKA HATA CLOUNDS FM NA FIESTA ZAO WATAKUPA MIKOBA KAMANDA ! NA TFF NDIO HOVYOO KABISA TICKET ILIKUWA KERO VITUO VICHACHE SASA KAMA NI TONGOTONGO SASA ZIMETOKA CHANGAMKIENI SASA NEXT MATCH NA TUNATAKA SEAT NUMBERS.
Michezo ni furaha !
Mzushi
oya LAMBART naona mzee anafanya kweli pale national na ana-represent kama mzalendo...je party na a-town ilikuwaje je ulifanya kweli? karibu sana KC ili uje utupe mavituz kama yale uliyoyafanya wichita na MR. II a.k.a SUGU mwezi wa saba
ReplyDeleteAlikamata na ku 'arrest' wangapi?
ReplyDeleteSHOUT OUT KWA SIS REYDE N ESCO,I SEE POPS Z ON MOVE..
ReplyDelete