MCHEZO HAUKUWA MBAYA JAPO TUNAHITAJI KUNOA SAFU YA WASHAMBULIAJI ILI KUONA NYAVU. PICHA KIBAO BAADAE KIDOGO...NAWAHI MISS TZ LIDAZ. UWANJA ULIJAA KAMA ASILIMIA 75 NA INAONYESHA SIKU NA MSUMBIJI TUTAUJAZA 100%. UMEME ULILETA NOMA NA MECHI ILICHELEWA KUANZA KWA SAA MOJA NZIMA. HATA HIVYO ULIPORUDI ILIKUWA KAMA MCHANA NA KILA MBONGO KAONDOKA NA FURAHA/ SASA TUELEKEE LIDAZ TUONE NANI KANYAKUA TAJI...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Naodha Mecky Mexime Ameruhusu Mashambulizi Mengi Sana Langoni Mwa Starz Katika Kipindi Cha Kwanza....Kocha Maximo Anastahili Kumuangalia Vizuri Na kumweleza Makosa Yake Ili Kama Atacheza Na Msumbiji Hali Isiwe Vile...Wengine Tuna BP.

    Izz Wa

    ReplyDelete
  2. Michu eeh!umeme ulete shida kwani sijui richmond au rich monde hawajamaliza kufunga mitambo????Mmmh watanzania hao na rais wao.Kulikuwa na upungufu wa mvua wakaitwa waokoaji wa haraka haraka sana kuja kuokoa shida za mgao wa umeme.Walipatikana wataalamu wa chap chap na mitambo yao mipya kabisa.Mvua ikawakuta,mabwawa yakajaa na hela wakala na bado shida palepale.Msijali wanakijiji mitambvo hiyo nitapeleka kijijini kwetu Bugunda siku nikiwa mbunge wao.Tehehehehe,Kidumu chama cha naniii.Rais wa Tanzania oyee, Umeme zidi kukatika tu.Na yana mwisho.
    Majita

    ReplyDelete
  3. Bora usingewahi tu huko maana si Miss tz Ni Miss India!I think Reds Beer ambassador was the best.Anyways Mungu Ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  4. Nilisema hizi mechi za usiku, umeme kama wanategemea Tanesco tu, wataumia, sasa imekuwa kweli, na hiyo afadhali unaweza katika kabisa. Tutajasikia hilo tusishangae.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...