Home
Unlabelled
UMATI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kweli Uwanja Ni Mzuri Sana Sana!...Lakini Ukweli Ni Kwamba Uwanja Haujaisha Kama Wanavyosema Umeisha, Kwani Vyooni Maji Ya Kusukumia Uchafu Hayatoki Hasa Kwenye vyoo vya siti za bluu tulipolipia elf 2o,
ReplyDeletePia Drainage System Sio Nzuri Maji Yalikua yamejaa kwenye Baadhi Ya Masink Ya Kunawia Mikono hayaendi kunakotakiwa!
Mwisho Utaratibu wakuingia pia haukua Mzuri Sana!
Tunahitaji Kujipanga Tuzibe hayo Mapungufu!
Izz Wa
Ni Baaaab Kubwa, Umati unavutia na Uwanja umependeza. Zaidi ya Kuiona Mechi hiyo Wapenzi na Washabiki wa stars wana kila sababu ya kujivunia ya kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuingia na kuona mechi katika uwanja huo mpya.
ReplyDeleteIZZ WA NAKUSHAURI KITU KIMOJA. VYOO VYA UWANJANI SIYO MAHALA PA KUACHA MIKIMBA YAKO ULIYOLIA UGALI WA KUCHOMA NA SAMAKI WA KUKAANGA.
ReplyDeleteUKITAKA KWENDA UWANJANI, JISAIDIE HAJA ZAKO ZOOOTE HADI ZIISHE NDIYO UENDE UKAANGALIE MPIRA.
UBANE MAVI NA MKOJO WAKO NA HIMA HIMA MPIRA UNAPOMALIZIKA TU, NENDA KWENYE BAA ZA KARIBU NA UWANJA WA TAIFA UKAAOMBE CHOO UJISAIDIE. TEH TEH TEH TEH UNATAKAA KUCHAFUA VYOO KAABLA HAVIJAANZA KAZI. TEH TEH TEH
Mmmh hapo mimi siingilii kitu.huyo mshikaji anaemjibu Izz Wa kanimaliza kwelikweli.Ila niliposoma hadi chini wajameni nimelipuka na kicheko kwelikweli.
ReplyDeleteSi ajabu kila mtu alikimbilia chooni wabongo bwana mpaka vikafurika.
ReplyDeleteCha msingi ni kwamba WASISAHAU SINDANO YA GANZI kabla hawajasema zimepatikana Shilingi ngapi. Sababu maumivu yake nayajua... O'C-Sinza.
ReplyDeleteMmh! Furaha kubwa kuwa na uwanja huo jamani lakini bado nalia na usafi wa vyoo. Hii elimu ya usafi hivi tunatakiwa kwenda darasani au tuzaliwe nayo??? Najua Dar maswala ya vyoo huko uswahilini ni tatizo mtu anabadi hadi ofisini, au kama hapo Nesho lakini sio mbaya. Hifadhi hiyo haja panapostahili sio juu juu!
ReplyDelete