dah! kumbe miss world 2001 ni tolu kiasi kwamba hata pozi la mikonozzz inakuwa shida....


TAARIFA MAALUM: BAADA YA KUKUBALI YAISHE NAOMBA NITANGAZE KWAMBA KUANZIA LEO MIE NA WADAU WA http://www.tanzine.com/ NI DAMDAM NA HAMNA NOMA WALA NINI. HIVYO NA TUWAPE TAFU KATIKA KUPASHANA HABARI...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Duh, Bro Michuzi, we jichuliage vimbilikimo tu, hayo mambo ya mamiss waachie kina ustakencheke. hehehehehhe!

    ReplyDelete
  2. Bro Micho mboni sasa hujasema yameishaishaje? ulitaka maoni yetu sie tukabwabwaja weee kisha unarudi hapa unasema yameisha hebu tuelezee yameishaishaje acha utani mkulu.

    ReplyDelete
  3. MICHUZI BWANA SIE TULISHAKUSHTUKIA NA HAO WATU WAKO ULODAI WAMEKUIBIA PICHA ZAKO,WE KNEW UNAWATANGAZA KIUJANJA...USHAKULA MSIKO WAKO,BASI TUAMBIE KAMA MTU ANATAKA UM-SUPPORT NAE ATOE NGAPI???

    PLEASE INUA VIPAJI VYA WANA BLOG WACHANGA WANAOKUOMBA UWA-BOOST,SIO UWABANIE BWANA..NDO MAANA HATA BONGO FLAVA KUNA WANAOINUA VIPAJI VYA UNDERGROUND,WHY NOT YOU???

    ReplyDelete
  4. Michuzi mbona unatuzingua.Wewe jana uliwashitaki hao watu alafu leo unasema kwamba wewe na wao ni damu damu.Kulikoni? Mdebwedo au?

    ReplyDelete
  5. Hongera Michuzi. Naona umeamua kuwasamehe 7 x 70 kama nilivyokukumbusha magizo ya Bwana JIZAS yanavyosema. Hongera

    ReplyDelete
  6. Michuzi huyo sio Miss world 2001...ukiandika vitu kuwa maanani. Ungejua blog yako wanasoma wacongo, wakenya, wakwe zako pia sasa wakiona tunajikanyaka. Itakua taaabu sana Huyo ni miss world 2001 contestant. Miss world 2001 alikua Agbani Darego

    Naomba kuwakilisha

    ReplyDelete
  7. Kaka Michu kumradhi....huyo ni mtu au skelleton?.....Khaa

    ReplyDelete
  8. We anony wa 8:57 inaelekea wewe zero kwelikweli. Kwani huyo alopozi na Michu unafikiria ni nani? Amka na acha kujifanya unajua wakati hujui lolote. Michu ni superstar wa Bongo, au unaona hawezi kupiga picha na Miss World? Huyo alopozi na Michu ni Miss World 2001, jina lake Agbani. Na alikuwa mgeni rasmi na mojawapo wa majaji aliyemchagua Miss Patel 2007.

    Ila kwa mimi binafsi naona she is anorexic. Ana upungufu wa lishe. Amekonda sana. I wish kaka Michu angempakulia japo nusu ya ule wali alojijazia sahani.

    ReplyDelete
  9. Agbani Darego was elected Most Beautiful Girl in Nigeria in 2001. While a first-year student of the University of Port Harcourt, she represented Nigeria in the 2001 Miss Universe competition, held in Bayamon, Puerto Rico. She placed among the top 10 semi-finalists, finishing seventh. She was the only black semi-finalist that year.

    In November 2001, Darego traveled to South Africa to compete in the Miss World competition, beating Miss Scotland and Miss Aruba in the final round to become the first black African winner of the title. Her victory in the pageant, hosted by American talk show host Jerry Springer, was widely welcomed in her home country.

    Her one year tenure included goodwill trips and scheduled appearances on behalf of the pageant. In addition, the organizers of the competition began preparations to host the 2002 finals in Nigeria, as the pageant is often held in the winner's home country the subsequent year.

    One week before the 2002 pageant, riots erupted in Kaduna(source required) and other cities in northern Nigeria after small protests against the competition inflamed simmering religious tension between Muslims and Christians. Several hundred died in the violence that ensued. The 2002 Miss World competition was moved from Nigeria to the United Kingdom, where it was staged in London that December.

    Source: Wikipedia

    ReplyDelete
  10. Agbani Darego was elected Most Beautiful Girl in Nigeria in 2001. While a first-year student of the University of Port Harcourt, she represented Nigeria in the 2001 Miss Universe competition, held in Bayamon, Puerto Rico. She placed among the top 10 semi-finalists, finishing seventh. She was the only black semi-finalist that year.

    In November 2001, Darego traveled to South Africa to compete in the Miss World competition, beating Miss Scotland and Miss Aruba in the final round to become the first black African winner of the title. Her victory in the pageant, hosted by American talk show host Jerry Springer, was widely welcomed in her home country.

    Her one year tenure included goodwill trips and scheduled appearances on behalf of the pageant. In addition, the organizers of the competition began preparations to host the 2002 finals in Nigeria, as the pageant is often held in the winner's home country the subsequent year.

    One week before the 2002 pageant, riots erupted in Kaduna(source required) and other cities in northern Nigeria after small protests against the competition inflamed simmering religious tension between Muslims and Christians. Several hundred died in the violence that ensued. The 2002 Miss World competition was moved from Nigeria to the United Kingdom, where it was staged in London that December.

    She has modeled for L'Oreal cosmetics.

    Source: Wikipedia

    ReplyDelete
  11. Ni kweli we anano wa 08:57 usijifanye unajua saaaana huyo ni miss world wa 2001 kama kaka michuzi alivyoandika bwana acha hizo bwanaa we kazi yako ni kuangalia makosa tu basi huna kazi nyingine.pole sana.ila amekonda asije akatufia hapa bongo bwana ikawa noma kwa Nigeria.nadhani kuna haja ya kuwasaidia hawa mamiss ktk suala la lishe bwana anatisha kiasi bwana.michuzi mambo ya kuwashika mabega angalia bwana wengine mila haziruhusu,nenda zenji kama wazee hajakutenda huko bwana......

    ReplyDelete
  12. MREMBO wa dunia, ‘Miss World 2001’, Agbani Darego, anatarajiwa kuwasili nchini leo, ambako anatarajiwa kuwa mmoja wa waamuzi katika kinyang’anyiro cha kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2007, Jumamosi kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Agbani raia wa Nigeria, alikuwa ni kati ya washiriki Miss World 2001 na kuibuka Mwafrika wa kwanza kutwaa taji hilo miongoni mwa warembo waliokuwa wakiliwania.

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, inayoratibu shindano hilo, Hashim Lundenga, alisema kuwa mrembo huyo anatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam, leo majira ya mchana.

    Alisema kuwa mrembo huyo ataendelea kuwa mkufunzi wa Miss Tanzania atakayechaguliwa kuliwakilisha taifa mwaka huu, lengo likiwa ni kumpa ujuzi na mbinu za kushiriki kwenye shindano la dunia. “Hii ni nafasi ya pekee kwa Watanzania kuweza kuona ni jinsi gani msichana anaweza kujiendeleza na kuweza kushika nafasi ya urembo wa dunia. Hivyo, warembo wetu waige mfano kwa mrembo huyu, ili waweze kupata nafasi ya juu,” alisema Lundenga.

    Source: Tanzania Daima and Bongo5.com

    ReplyDelete
  13. Sijawahi kuwa na wasiwasi wa shule yako Kaka Michuzi. Ila leo umenidhibitishia kwamba UMEENDA SHULE, na wewe ni MSTAARABU. Umefanya vizuri kakaa na hao jamaa na kuyamaliza kistalabu.

    ReplyDelete
  14. kaka huyo ni bibi yako yule ulonambia kipindi kile.....????????????

    ReplyDelete
  15. kaka huyo ni bibi yako ulonambia kipindi kile

    ReplyDelete
  16. Watu waliposema Richa--miss nanii kuwa ni mfupi sana kweli nimeamini baada ya kuangalia picha aliyopiga na michuzi na kulinganisha hii picha MIchuzi aliyopiga na Miss-world. Kweli wajinga waliwao

    ReplyDelete
  17. Jamani hivi yule miss wetu m-tz mtanzania halisi anamfikia hata begani huyu miss world 2001?
    kama hamfikii basi tujitoe tu mashindano ya miss World.
    Chikaka

    ReplyDelete
  18. Kaka Misosi,
    kweli umefanya la maana hata jana nilikusihi uwasiliane nao kwani wameweka link tena kubwa kuonyesha source, kwa maana nyingine wamekutangaza tena BURE. huu dio ushirikiano unaotakiwa katika ulimwengu huu wa "GLOBAL VILLAGE".pia jamaa wanaitangaza tz kama ufanyavyo wewe na sisi wengine wote tunaofanya kimyakimya.

    Chikaka

    ReplyDelete
  19. MISS ITALY 1996- Denny Méndez (born on July 20, 1978 in Santo Domingo, Dominican Republic)

    “Denny Méndez . . . born in the Dominican Republic to a naturalized Italian mother and an Italian [step]father, was named Miss Italy after receiving nine million telephone votes from the television audience.” Nine million Italians voted to shatter the prism of race, just by watching a TV beauty pageant and phoning in their votes! Beauty is, indeed, in the eye of the beholder, and the eyes of the world today are quite capable of seeing past skin color. The Italian people’s choice was Denny Méndez, notwithstanding the objections of a pageant official who said, “A black girl can’t be Miss Italy. It’s not in the rules.”
    JET MAGAZINE

    ReplyDelete
  20. jamani nimesikitika sana kuona miss tanzania mwaka huu kwa weli wote walioshinda miss hasa mshindi wa kwanza wapili wabaya mno miss would haji tanzania hata siku moja labda hao wakongwe waondoke wanaojidai kuwa majaji na hawana hata mazoea ya umiss kwa nini wasimuulize mr tramp aibu kubwa.miss victoria alikuwa the miss wa bongo wamemjima haki yake mbona aibu .

    ReplyDelete
  21. Duh kama huyu ndio huyu MISS WORLD 2001
    Basi kazi ipo....What happened????

    ReplyDelete
  22. michuzi naomba picha ya yule dada aliyeuliza maswali ms tz maana nataka kuangalia kile nilichokuwa nakiona kwenye kwenye tv ni kweli, ni kweli ule mshepu ni wake au tv ilidanganya na jina lake nani?

    ReplyDelete
  23. MIIIIIIIICCCCCCCHHHHHHHHOOOOOOO, we have a kid in Chagrin Falls Ohio whose name is Micho just like yours, do you live in Zimbabwe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...